mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Polisi kamateni Faris Burhan Mwenyekiti UVCCM Kagera kufuatia kutekwa kwa Mdude

    Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute. Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya...
  2. Mbona timu za Zanzibar hazipigwi goli nyingi na Yanga kama za huku bara?

    Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika. Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli...
  3. Hili gari namba A mbona kama ni model mpya?

    Hili gari namba A ni kama linanipa mashaka, wataalam ipoje hii?
  4. Watu wa DSM mbona mko kimya majanga ya mvua ya Tarehe 28-29 May 2025

    Msikae kimya semeni matokeo ya hio mvua madaraja na majanga mengine
  5. Matokeo ya usaili TRA 2025

    Matokeo haya hapa https://www.tra.go.tz/images/uploads/public_notice/english/MAJINA_YA_USAILI.pdf Hongereni mliochaguliwa mmeupiga mwingi
  6. Sayari ya Pluto imepotea? Mbona si sikii

    Ndg Zang Hata watoto sik hiz hawaambiwi hii sayari imeemda wapi. Miulize mtoto kama.wanaandikiwa hii sayari. Je imeenda wapi
  7. Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), liko wapi? Mbona haki za wananchi wake zinakandamizwa na polisi?

    Wakuu, Moja ya Kazi yake sio kulinda Katiba ya nchi? Kwanini katiba ya nchi inasiginwa mchana kweupe na wao wapo wanaangalia bila hata kuchukua hatua yoyote? Ni kweli wameamua kuacha polisi kuonea wananchi? Hili si Jeshi la Wananchi? Na wananchi si ndio sisi? Au tafsiri ya wananchi ni...
  8. M

    Mbona CHADEMA baada ya uchaguzi walimtenga Kibatala? Hapa wamekosea

    Mkurugenzi na mwanasheria wa chama kwa sasa hawana mvuto ndani ya nje ya chama. Licha ya mwanasheria kuwa Phd from Havard University lakini ukweli katika kesi za kisiasa haziwezi. Uwasiliwashaji wake mbele ya jamii sio mzuri Sijui kwanini walimtenga kibatala ktk uongozi wa CHADEMA Kibatala...
  9. S

    Sheikh Mwaipopo ni mnafiki wa kupindukia. Kama sio mnafiki, mbona hakutaja jinsi Kataliki walivyokemea utawala wa Magufuli?

    Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili. Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema...
  10. Mbona tamthilia ya dunia haijadiliwi humu ndani

    Hii tamthilia inafanya vizuri kwa sasa Ina trend sana YouTube visa vyake ni usaliti,maisha ya ndoa,unafki w marafiki,ulevi,uwongo.. Kwa sasa tuko episode ya 70.karibun tujadili tunaoifuatilia.
  11. Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

    Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo. Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni. Kwa...
  12. S

    sisi tumesema no reform no election viongozi wa ccm wanatabiri vurugu mbona kila kiongozi anasitiza amani

    no reform no election sio vurugu wala nini kichatakiwa hapa ni mabadiliko
  13. M

    Hivi mbona Salama Jabir haolewi na hana Mtoto

    Naona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
  14. R

    Hivi sisi waafrika wanyama walitukoseaga kitu gani, mbona inakuwa ngumu kuishi nao ?

    Kama mtu akifa anarudi duniani kama mnyama, Afrika inipite kushoto kabisa
  15. Nalipiaje UTT kwa njia ya simu mbona naitafuta siipati

    Wakuu wa uwekezaji. Nalipiaje UTT kwa njia ya simu mbona naitafuta siipati
  16. Mkwakwani mbona kama iko vile vile hata baada ya matengenezo

    Uwanja umefungwa kwa mda mrefu sana kwa matengenezo ila naona pitch iko kama Ile ya zamani Labda rangi kwenye majukwaa Inaonekana kitu "matengenezo"kwa nchi hii tumefail kabisa
  17. Trump anaipambania Marekani kwa faida ya kina nani, mbona hata Ibrahim Traore anaonekana kumshinda uzalendo?!

    Niaje wakuu Leo ningependa kujua haya anayoyafanya Trump sasa ivi hapa duniani na nchini kwake kwa ujumla anayafanya kwa faida ya nani? 1. Nchi? 2. Wananchi 3. Au yeye na genge lake? Nauliza hivi kwa sababu toka amekamata wahamiaji, na kuwarudisha kwao kwa nguvu hakuna mabadiliko yoyote ya...
  18. 3

    Magari aina ya Toyota Noah mbona yanaibwa sana

    Mambo vipi. Kwa wajuvi wa mambo hebu tuelezeni mbona tukisoma taarifa nyingi za habari kuhusu wizi wa magari utakuta ni Toyota Noah zinaibea sana na zaidi hasa Kilimanjaro na pia Nairobi. Zina ni I hasa Hadi wezi waziibe sana? Pia unafanyaje ili ulinde gari lako dhidi ya wezi wa namna hii?
  19. KERO TANESCO Mkoa wa Katavi mmepatwa na nini, mbona kila siku mnakata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku?

    Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?. Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…