mbingu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    “Ruto Aliahidi Mbingu, Akawapa Wakenya Jehanamu!” Bennyhinn Walubengo Aikosoa Serikali ya UDA

    Katibu Mkuu wa chama cha People's Party of Kenya (PPK), Bennyhinn Walubengo, amemkosoa vikali Rais William Ruto, akidai kuwa umaarufu wake umeshuka kutokana na kushindwa kutimiza ahadi alizowapa Wakenya wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2022. Akizungumza katika kipindi cha JKLive cha...
  2. U

    Ndugu zangu Chadema hata ikitokea mbingu zimeagiza muunde serikali nyie hamtoweza kwani hamna hata mbunge mmoja, sijui kwanini mlisusia uchaguzi

    Sasa leo kwa mfanyo Malaika mkuu kaagizwa na mbingu mkiambiwa muunde serikali mtawezaje wakati ham a hata mbunge mmoja? Si bora mngeingia kwenye uchaguzi angalao mngeambulia wabunge wachache Huo ndiyo ukweli hata kama mtanuna Jioni njema
  3. Hakuna mbingu wala moto

    Acha kulishwa matango pori na DINI zilizokuja na mashua, hakuna pepo wala jehanamu. Pepo yako ukikomaa unaipata hapahapa duniani, au haujui Kuna familia tayari hapa Tanzania zishafika peponi kabla ya kufa!? Mambo ya peponi na jehanamu ni vitisho kwa maskini ili wasiwasumbue ambao tayari wapo...
  4. Hofu ya kifo inatoka wapi ikiwa mbinguni, peponi kupo kweli na sio story tu?

    Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa? Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema. Ajabu ni kwamba dini zote zina ahadi ya maisha marefu hapa duniani. Sijawahi kukutana na muamini...
  5. Mbingu ya Waislamu inatamanisha na kusisimua kuliko ya Wakristo.

    Waislamu wao katika mbingu yao watakuwa wanapewa chochote wanachotaka, raha zote watapewa. Hadithi zinaenda mbali zaidi kusema wanaume watapewa wanawake mabikira 72 wanaojirudia ubikira wakifanya ngono. Kutakuwa na mito ya pombe, asali na maziwa na raha nyingine zote za kila aina unazotaka...
  6. Mine me, Baba wa mbingu, Seran, Mshana Jr na wengine

    Habari za leo? Wapendwa ningependa kuwe na utaratibu wa member mmoja wa Jf labda kila alhamisi achaguliwe ili members wa humu tuwe free kumuuliza chochote na ajibu postive. Ishu binafsi ambazo zinaweza kumuanika uhusika wake anaweza asizijibu. NINGEPENDELEA TUANZE NA HAO TAJWA HAPO JUU MAANA...
  7. Unatamani kuingia mbingu ipi? Firdaus au paradiso ya milele?

    Mpaka Sasa naona Kila Imani na mbingu yake, wakristo wanaamini katika paradiso, Yesu alimwambia yule mwizi msalabani: “Leo hii utakuwa pamoja nami katika Paradiso.” (Luka 23:43) Lakini pia waislam wapo na Firdaus Hao ndio warithi, ambao watairithi Firdaus, watadumu humo milele." (Surah...
  8. M

    Tofauti ya Africa na Mataifa mengine ni mbingu na ardhi.

    Kiwango cha tofauti ya nchi zote kabisa za Africa hasa za watu weus na nchi zingine ni kikubwa kwa kila eneo. Maendeleo, ugunduzi, utafiti, siasa, elimu hata michezo. Muda wote wenzetu kuanzia kwa watoto wao, wanafundisha, wanazingatia, wanajadili, wanaelekeza maendeleo halisi, ugunduzi...
  9. Kwanini naamini Mbingu ipo , Mungu na Pia Shetani

    Hapo kale, Jamii nyingi walipenda mno Pombe, mpaka ikafikia mahali vitabu vya dini vikatamka wazi ahadi ya uwepo wa mito ya mvinyo huko Mbunguni. Yesu pia aliwahi tengeneza divai katika harusi huko kana ya galilaya. Kizazi cha sasa watu wanapenda mno kudinyana. Ahadi inayotrend ni ya mabikra...
  10. D

    Hata kama kuna kitu angetamani kufanya, hawezi kufanya….she has no legitimacy, mbingu zimemkataa na dunia imemkataa

    Alichokifunga Mungu mwanadamu hawezi kukifungua. Huyu keshapigwa pin mazima, hawezi kufanya lolote hadi apishe hiyo ofisi. Baada ya Kaini kumwua ndugu yake Abeli, Biblia (katika Mwanzo 4:8–16) inaeleza mambo yafuatayo: Mungu alimlaani Kaini – Mungu alimwambia kwamba damu ya Abeli ilikuwa...
  11. Leo utaona safari ya roho kupitia mbingu 7 kisha kwenda Barzakh

    katika vitabu vya kidini imeandikwa kila nafsi itaonja mauti wakati huo ukifika macho yatafunga pumzi zitasimama na Ruh itaondoka kwenye mwili lakini nini kitatokea baada ya? Roho inaenda wapi? baada ya kifo roho hupanda hadi mbingu 7 ambako huvumbua siri za ulimwengu katika kila mbingu...
  12. M

    Kumpitisha Ole Sabaya hata Mbingu itakasirika

    Kiukweli kipindi huyu kijana akiwa mkuu wa wilaya alionyesha Kiburi kikubwa sana. Utendaji wa kibabe, Mabavu, jeuri na dharau . Sitasahau siku aliyomuonyesha dharau ya wazi yule Mama aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro. Inawezekana anavebwa na influence ya Baba yake ambaye ni kati ya...
  13. Fanya haya ufungue Mbingu yako ya 7 ya ufahamu

    Mbingu ya saba” si tu mahali angani bali ni hali ya juu kabisa ya fahamu, uelewa, na muunganiko na Mungu/Nguvu ya Juu. Katika mafundisho ya dini na mila nyingi: Mbingu ya kwanza hadi ya sita ni viwango vya uumbaji na uhai wa kiroho. Mbingu ya saba ni ya juu zaidi, iliyojaa mwanga, hekima, na...
  14. Isaya anatuambia huko kwenye mbingu mpya tukuwa tunazaa na kulima Yohana naye anatumbia vingine nani tumuamini?

    Isaya anatuambia huko kwenye mbingu mpya/Yerusalemu mpya Kutakuwa na maisha kama ya hapa duniani tu yaani anasema watu watajenga nyumba watalima Wazee hawatakufa kabla ya wakati (hivyo kumbe kuna kufa tena kwenye mbingu hii) Na watazaa watoto kama kawaida haya yote yameandikwa na nabii isaya...
  15. Usinyooshe mkono ukiwa hujui wapi Mbingu ilipoanguka

    Nature is always brutal si kwa sababu inachukia, bali kwa kuwa haijifunzi. Maji hayakubali kubebwa, bali hubeba. Mwanga haufuati giza, bali hulivunja. Waliokaa kimya ndani ya kelele wamezoea kutafuna pumzi badala ya mikate. Nguzo za uhai hazisimamishwi na sarafu, bali na kivuli cha dhamira...
  16. Yesu aliumba Mbingu na Nchi

    Maandiko haya yote yanathibitisha nafasi ya Yesu Kristo katika kazi ya uumbaji. Yohana 1:1-3 "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwa kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika." Wakolosai 1:15-17 "Kwa kuwa...
  17. K

    Tukilinganisha Wasira na Heche! Ni Mbingu na Ardhi

    Baada ya wazee wenye maono kama Pinda na Mama Makinda kukataa kazi ambayo itafanya historia yao iharibike ya kuwa makamu wa CCM kwenye chama ambacho kwa sasa kinategemea Polisi na usalama kushinda. CCM imemchagua mzee wasira mwenye miaka 80 na anasahau mpaka wajukuu zake majina. Kwa ufupi...
  18. Japan wako mbingu ya saba, miaka laki moja mbele ya CCM

    # Tokyo Flood Tunnels, an underground engineering marvel that protects the city from flash floods. # # These tunnels, located beneath Tokyo’s bustling streets, are a stunning example of modern Japanese engineering. # # They not only channel rainwater away from urban areas, but also provide...
  19. M

    Hekalu la mbingu duniani”heaven on earth”.

    Hili hekalu la mbingu duniani linaanza kuwa tishio kwa akina mwamposa. Huyu profet upepo unavuma kuelekea kwake. Hivi hawa waumini hasa wanawake ni hao hao wapo na makanisa mengine ama wao wanajitegemea tu. Yaan hakuna intersection ya waamini na madhehebu wanayohudhuria.
  20. ENOKO: Duniani mpaka mbingu ya 10

    Ukisoma kwenye Biblia, ni watu wawili tu ndiyo ambao hawakuwahi kuonja mauti, nao ni Nabii Eliya na Enoko. Mungu hakutaka kuwaua, aliwatwaa na kuwapeleka mbinguni. Sasa kama ilivyo kwa manabii, wafalme wa zamani na watumishi wengine kuandika vitabu vyao, basi naye Enoko aliandika kitabu chake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…