mbeya

  1. Mchele Supa kutoka Mbeya, sampo zote na kiasi chochote

    Nauza mchele nipo Mbeya 1. Kiasi - kuanzia 1kg hadi tani utakazohitaji 2. Bei - kuanzia sample ya 1000 kwa 1kg, 1200 kwa kg, 1400 kwa kg, 1500 kwa kg na kuendelea 3. Pia mpunga na pumba laini za mpunga zinapatikana 4. Nje ya mbeya tunatuma hadi ulipo kwa gharama nafuu Karibuni sana
  2. Karibu tufanye biashara ya mazao mbalimbali kutoka Rungwe, Mbeya

    Habari wanna JF. Sisi n wasambazaji wa mazao mbalimbali kwaajili ya biashara sehemu mbalimbali tz bara, tuliamua kufanya hii kazi ili kuwarahisishia wafanya biashara mbalimbali kujipatia mazao wanayoyahitaji kwaajili ya biashara zao yanayopatikana huku RUNGWE mbeya kwagharama nafuu sana tena...
  3. Ziara ya Waziri Mkuu yaahirishwa Mbeya

    Mbeya. Mkuu Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema kuwa ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mkoani humo imesitishwa kufutia kifo cha aliyekuwa Waziri wa ulinzi wa Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa. Homera amesema leo Jumanne Agosti 3, 2021, akiongeza kuwa Waziri Mkuu Majaliwa ameondoka...
  4. Mbeya: Polisi wadaiwa kuwakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30

    Polisi Jijini Mbeya imewakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30 usiku huu. Waliokamatwa ni Pamoja na -Joseph Mbilinyi (Sugu) -Emmanuel Masonga (Katibu wa Kanda ya Nyasa) -Paschal Haonga( Alikuwa Mbunge wa Mbozi) na Viongozi na wanachadema wengine wengi.
  5. Mbeya: CHADEMA wapinga agenda ya Katiba Mpya

    Wanachama wa CHADEMA Mkoani Mbeya wamejitokeza kupinga agenda ya Katiba Mpya huku wakiwa wamevalia Tshirts za kuhamasisha Katiba Mpya! Source: TBC1 Habari
  6. R

    Natafuta Mchumba 'Mwanamke ' - anayeishi Mbeya

    Kichwa cha habari chahusika. Natafuta mwanamke ambaye anahitaji kuwa na mwanaume for long term relationship ili kujenga familia pamoja. Sifa za mwanamke nimtakaye: 1. Awe anaishi mkoani Mbeya. 2. AWE TAYARI KUPIMA HIV 3. Awe na umri kuanzia 20 hadi 35. 4. Elimu yake kuanzia kidato cha nne na...
  7. Askari wavamia kanisa Mbeya kuwafuata wafuasi wa CHADEMA

    Hili ni Kanisa Katoliki Mwanjelwa Jijini Mbeya. Hao ni Askari wakiwa na defender 3. wameenda kuwaondoa wafuasi wa Chadema wanaodaiwa kuwa wamevaa sare zenye uwiano na za Chadema. Hivi kwani kanisani kuna mavazi maalumu ya kuvaa.?
  8. J

    TRA, Soko la Mwanjelwa Mbeya hawatoi risiti EFD

    Soko la mwanjelwa mkoani Mbeya ni kama Soko la Kariakoo kwa Dar es Salaam!! Ni kama Business District. Biashara ya mabilioni ya Shilingi inafanyika hapa kilasiku! Lakini kwa uchunguzi wangu wafanyabiashara hawa hawatoi kabisa risiti za EFD! Nimeingia sokoni hapo zaidi ya Mara tatu kufanya...
  9. Natafuta shule nzuri ya Nursery kwa Mbeya

    Natafuta shule nzuri ya Nursery kwa Mbeya.
  10. K

    Sauti ya KIGOGO katika Space ya Maria Sarungi ina lafudhi ya Iringa to Mbeya

    Ni muda mrefu watu wamekuwa wakijadili kuhusu kiumbe asiyefahamoka anayejiita shemasi au Kigogo. Wengi walidai ni kundi la kina nape, Makamba nk na kwamba siyo mtu mmoja. Ila Sasa nadhani ameamua kujitokeza adharani kupitia sauti. Kitendo Cha yeye kuchangia mada kwenye SPACE kupitia sauti halisi...
  11. Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kufanyika July 31 , 2021 Jijini Mbeya

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , leo kimetangaza siku ya kufanyika kwa mkutano mkubwa kabisa wa chama hicho ambao ni Baraza Kuu la Chama , uliopangwa kufanyika Jijini Mbeya July 31 2021 . Taarifa hii imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho , Freeman Mbowe , Jijini Mwanza . Kikao...
  12. S

    Rungwe, Mbeya: Shaka Hamdu Shaka alaani faini kwa wazazi wa wanafunzi wanaopata Mimba

    Na Mwandishi Wetu, Busokelo-Rungwe *Ataka sheria zisimamiwe kuzikomesha Atoa Maelekezo mazito kwa DC wa Rungwe. *Alaani watendaji kuvunja sheria za nchi kwa maslahi yao Chama cha Mapinduzi kimesikitishwa na ongezeko la matatizo ya ujauzito na utoro yaliokithiri kwa wanafunzi wa shule za...
  13. Naomba muongozo wa usafiri wa treni Mbeya - Dar es Salaam

    Heshima yenu wapendwa, Naomba msaada jmn Kwa wale walowahi kusafiri kwa tren; kwa mara ya kwanza nataka Kutumia usafiri wa tren Sasa sijui nianzie wapi niishie wapi kuanzia kwenye kukata tiketi;cjui madaraja yake; uzuri wake na changamoto zake pia ili nione kama naweza kumanage! Safari yenyewe...
  14. Kwanini soko kuu lililoungua Mbeya Mjini hadi leo halijajengwa?

    Wakuu poleni na janga la moto Kariakoo. Janga hilo limenikumbusha kuungua kwa soko kuu la mjini kati Mbeya. Ni kama miaka 10 hivi imepita toka liungue. Kwanini hadi leo halijajengwa? Kweli kwenye baraza la jiji hakuna mwenye akili akaona huo ni uzembe wa hali ya juu? Kama soko limeungua si...
  15. TANZIA Buriani Peter Richard Mwendamseke

    Peter Richard Mwendamseke alikuwa kijana mjasiriamali, akijikita zaidi kwenye mifumo wa mawasiliano. Pia Peter Richard Mwendamseke alikuwa ni mdau mkubwa wa burudani na michezo. Hakika wana Mbeya wamempoteza kijana wao mahiri. Mungu ailaze Roho ya marehemu mahala pema. Amina
  16. Kero: Tabia ya ajabu Mbeya kuchangisha pesa za misiba imezidi mno

    Binafsi niweke wazi kabisa kwamba napenda kuishi kijamii na wala sinaga tatizo na misiba ila hali ya mbeya imezidi sana Sasa kwa huku Mbeya hali ya misiba imekuwa tofauti sana, watu hawajali kushiriki kwako msibani hawakwambii hata msiba ulipo mpaka uwauilze na hata hawajali ukaribu wako na...
  17. Kwanini upinzani una nguvu sana Mbeya na Songwe tangu miaka ya 1990 hadi sasa?

    Kwa miaka mingi mikoa ya Mbeya na Songwe imekuwa ikitoa wanasia wenye kuelwmea upande wa upinzani, wakiikosoa serikali ya CCM bila ya woga wowote, hata wakitishiwa mateso na kifo hawatetereki. Je, ni nini haswa kilichopelekea watu wa mikoa hiyo kuwa hivyo? Hukk ndiko sehemu ambako CCM hupita...
  18. Q

    Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

    Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya. Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020. Mdude...
  19. Nataka kwenda kufanya biashara Mbeya, ushauri wenu tafadhali

    Habari zenu wakuu,Mimi ni kijana mpambanaji kwa sasa Niko Dar es laam nina mpango wa kwenda Mbeya kutafuta maisha rasmi....je ni sehemu zipi kati ya hizi: Kyela mjini, Border-Kasumulu, Tunduma na Mbeya Mjini. Ambazo ziko vizuri kwa fursa za kiuchumi, population nk.... Msaada tafadhari...
  20. T

    Inakuaje Tabora ambayo si tegemezi kwa kila kitu inakuwa na barabara nzuri kuliko Mbeya tegemeo la chakula?

    Nianze kwa kuipongeza serikali kwa kujenga barabara nyingi na nzuri sana hapa Tabora manispaa. Kwa wale waliofika tabora miaka ya karibuni watakubaliana na mimi kwamba serikali imewekea pesa nyingi kuijenga hii manispaa. Naomba nieleweke kwamba sina tatizo kabisa na ujenzi wa miundombinu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…