Ukikaa chini ukatafakari Tanzania ya leo na Tanzania ya miaka iliyopita, kuna vitu vingi ambavyo huwezi kuvipuuza.
Tunaona barabara zikijengwa, madaraja yanaendelea kujengwa, vituo vya afya vinaongezeka, shule zinaboreshwa, maji yanafikishwa maeneo mbalimbali na umeme unaendelea kusambaa. Hata...