mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hili pepo la mwaka wa mbele

    Hili pepo nimeshindwa kabisa kuliclassify sijui linatokea ukoo upi? 😂
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania imeshinda mbele ya vigingi vya wanaharakati wasiotutakia mema 🇹🇿🔥Jihan❤️

  3. JamiiForums Tanzania Tumeanza kuzoeshwa Mafwele mbele ya media, tujiandae na yajayo!!

    ZCO wa Kanda Maalum wa Dar, jana ametoa tamko la usalama kuhusu derby ya Kariakoo. Watu kama hawa huwa hawaletwi kwenye spotlight bahati mbaya. Huyu anaandaliwa wadhifa mkubwa kwa siku za usoni Tujiandae…
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Algoriti na Shauku ya Umma: Kwa Nini Maudhui ya "Machawa" Yanasonga Mbele Kuliko Mada za Msingi?

    Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, kuna kitendawili kinachoshangaza lakini kikitazamwa kwa kina kinaeleweka kijamii na kisaikolojia: mada zinazohusu ushangiliaji wa kisiasa au kijamii—maarufu kama "uchawa"—zinapata wafuatiliaji na mwingiliano wengi (engagements) na kujadiliwa kwa kasi kubwa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Jamiiafrica inapaswa kuwa mstari wa mbele kukuza teknolojia za ndani wao ni walezi na wakongwe kwenye tasnia

    JamiAfrica na Ukuaji wa Teknolojia za Ndani JamiAfrica inapaswa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuunga mkono teknolojia za ndani. Kama mmoja wa walezi na wakongwe katika tasnia, JamiAfrica imekuwa na mchango mkubwa kwa jamii na Afrika kwa ujumla katika nyanja mbalimbali, ikiwemo...
  6. JamiiForums Tanzania Mnyika anaipaisha Tanzania kidemokrasia mbele ya IPU

    Mnyika ameithibitishia dunia mbele ya wajumbe wa IPU (wabunge wa dunia) kuwa Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kusema na kukosoa serikali na demokrasia kubwa sana ya kiwango cha dunia. Hiki anachokifanya Mnyika na chadema cha kusema na kuikosoa serikali na viongozi wakuu mbele ya ujumbe mzito wa...
  7. JamiiForums Tanzania Iliwezaje mpaka shaikh mwaipopo kuwa anaweza kuongea mbele media na kujinasibu wakati ni raia wa Burundi.

    Ni kwamba CCM ukiweza kuisifu hata ukiwa muovu inakutunza na kukulinda. Kwa taarifa za ndani hata ilo jina mwaipopo wanadai ni kujipandikiza watu wasigundue uraia wake. Ila kigoma wana mfahamu vizuri kuwa alitokea burundi.
  8. JamiiForums Tanzania TFF ingesogeza mbele dabi kama mechi za kirafiki kwa Taifa Stars zingekuwa muhimu kwao.

    Wanaozilaumu timu kuwaita wachezaji wao kurudi kambini kujiandaa na mechi ya dabi badala ya kuilaumu TFF ni wahuni kama wahuni wengine tu. TFF ina mamlaka ya kuisogeza mechi kubwa sana kwenye mashindano yake ya ligi kama ingekuwa inataka timu ya taifa icheze mechi za kirafiki. Haiwezekani timu...
  9. JamiiForums Tanzania Unadiliki kulia mbele ya mwanamke kisa mapenzi alafu mwanamke mwenyewe anakuchukua video anakupost mitandaoni. Hivi huwa mnayapendea nini magube gube?

    Hivi ni hayo makebo yao makubwa na sura za kutmbeka ndio zinawapa hamsha hamsha mnachanganyikiwa? Moja ya kitu ambacho kimedondosha wanaume wengi ni "USHAMBA WA MAPENZI"
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume mbele, Mwanamke nyuma! 😳 Kuna nini kinaendelea kwenye Bodaboda siku hizi?

    Asubuhi hii tu nimeona bodaboda Tano (zimebeba mishikaki) zote zimewaweka wanawake nyuma, yaani ule mfumo wa mwanaume, mwanaume, mwanamke. Enzi zetu mwanaume lazima akae nyuma ya mwanamke, siku hizi ku nani wakuu? Monetary doctor.
  11. JamiiForums Tanzania Polisi : Marufuku Bajaji kubeba abiria siti ya Mbele.

    Sheria ipo, polisi hapa anakumbushia tu, abiria wa bajaji ni 3 tu, hao wanaozidi wakipata ajali bima haiwatambui. Bajaji kalipa LATRA kubeba abiria 3 u, wewe unayeongezea untafuta balaa tu. Bajaji zote zinazopata ajali na bairia mbele, hakuna anayepona , sababu, derev anakuwa kashikilia...
  12. JamiiForums Tanzania Kwasababu ya "Bad Weather", Tesla wamesogeza Mbele Tena Event ya Roadster 2, sasa ni October 15.

    Tulitegemea tar 1 October, Tesla wafanye event ya kuzindua Roadster 2, ila imeshindikana kutokana na kutegemea kua na bad weather na Tesla wanasema hii event lazima ifanyike nje. Kwa heshima yenu, naomba tukutane week mbili zijazo, Tesla watushangaze. Kwanini wanalazimisha ifanyike nje? Au ni...
  13. JamiiForums Tanzania Mali na madaraka isikufanye upoteze , udhulumu haki ya mwingine . Kesho una la kujibu mbele ya Allah .

    Mali na madaraka ni vitu vya kupita, tamaa ya mali na madaraka isikufanye udhulumu , ushiriki au kushadadia haki ya mwingine ya kuishi ikipokwa. Kila mja ni mchunga na mbele za Mwenyezi Mungu ataulizwa alichokichunga.
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

    Hii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu! Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala...
  15. JamiiForums Tanzania Twende mbele, turudi nyuma, watanganyika tunazalauliwa mno, mbona sie ndo twatekwa, twapotezwa kwao hata kunguni haikuwahi tekwa?

    Mama Dr Samia suluhu Hassano, nina tumah u mzima wa Afya, na umemaliza Eda ya kifo cha mumeo salama salimini. Nina uhakika mwenyezi Mungu Baba Wa Mbinguni atakuwa amepokea dua zako ulizokuwa unamwombea Mumeo. Dr Samia suluhu Hassani mimi ni mtanganyika, mkazi wa kanyigo, jumapili ya leo...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaoichukia AI wapata pigo: Sasa Injili ni mbele kwa mbele!

    Hivi karibuni wamejitokeza watu inaoonekana wanatumiwa na adui shetani kujaribu kuzuia habari njema za Yesu Kristo zisiwafikie watu wengi duniani. Watu hao wamekuwa wakiipiga vita teknolojia mpya ya AI kwamba haifai kutumiwa katika kazi za Injili. Sasa, kuanzia leo jina AI limebadilishwa rasmi...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kama utani, dudu baya ameipeleka mbele hoja ya ushoga Hadi JF😌😌

    Ilianza kama utani lakini ndo hivyooo, great thinkers Sasa wanaongelea ushoga tu muda wote. Kijijini kwetu, mwanaume unatakiwa kujiamini na hutakiwi kuyazungumzia mambo ya kijinga kama ushoga Kila dakika.....yaani Kila unapofungua kinywa basi wewe ni kutaja neno hilo tu. Jamii itaanza kukuwekea...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa: Lissu alitoa tu taarifa kuwa DCI amekataa kuwa shahidi wake, hivyo lilikuwa ni jukumu la mahakama kumtaka DCI afike mbele ya mahakama

    Baada ya kusoma maelezo ya wakili Matata, hiyo ndivyo nilivyoelewa. Kwahiyo, mpaka hapa, Lissu aliitega mahakama na mahakama ikaingia kingi ingawa nashindwa kuamini kuwa mahakama haikuona hii kasoro. Swali ambalo bado linaumiza kichwa changu, ni kuhusu CDF ns IGP kusemewa na DCI na...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli Lissu amewatangulia Wanasheria wa CCM kwa miaka mia moja mbele

    Lissu Yuko mbele ya Muda dhidi ya CCM na wanasheria wote wa CCM. Kwa kifupi watu wengi hawakuelewa,hata Mimi sikumuelewa aliposema mashahidi wake ni RAIS Samia,CDF,IGP,DGTISS na Kingai. Kwa kifupi alipowataja Hawa kua ndio mashahidi wake alikua amelenga mitego miwili kwa ajili ya kupiga TKO...
  20. JamiiForums Tanzania Hakuna muumini yeyote asiye muislamu ambaye anaweza kumchinja NGAMIA,huu ni uthibitisho tosha kwamba uislamu ndio dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu

    Ngamia hachinjwi hovyo hovyo kama wanavyochinjwa wanyama au ndege wengine. Ngamia ili achinjwe lazima asomewe dua na aridhie kuchinjwa na anaye msomea dua asiwe mtu wa makando kando mengi kinyume na hapo ataumbuke peupee. Hii iliwahi kutokea hapa hapa TZ kuna masheikh walikesha kuomba ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…