mbao

  1. Ubunifu: vyombo vya mbao kwa kutumia miundo ya wanyama

  2. Ubunifu saa za ukutani za mbao na miti

  3. Kijana Mwenye kuhitaji kuwekeza kwenye soko la mbao, nguzo za umeme kwa mtaji wa milioni mbili tu nipo hapa nitamsaidia

    Vijana kama unatamani mafanikio na unamtaji mdogo na unatamani kuwa mfanya biashara mkubwa mimi kijana mwenzenu nipo hapa kukusaidia najua kuna wengine mna mitaji hamjui wapi muwekeze na mpate faida ya haraka Karibuni tuwekeze kwenye soko la miti ya mbao pamoja na nguzo za umeme Kwa mtaji...
  4. Sanaa bunifu inayotokana na Mbao, masalia ya mbao, miti, magogo na mizizi ya miti

    Fenicha, urembo vitu na nyenzo mbalimbali.. Kwa wapenzi wa asili na wana mazingira
  5. Manula, kaa sawa Camara anapata uraia, Taifa Stars utakalia mbao tu

    Manula, kaa sawa Camara anapata uraia, Taifa Stars utakalia mbao tu( Bechi)
  6. M

    Mnatumia mbao za aina gani kuezeka nyumba?

    .
  7. Nauza kitanda cha mbao ngumu 4×6

    Ukubwa ni 4×6 Bei 65,000 Kipo Mbezibeach Tangibovu 0687614981
  8. Mchepuko wangu anahitaji ushauri kuhusu biashara ya mbao

    Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana. Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa. Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu...
  9. Nauza marine boards, mirunda na mbao zilizotumika

    Habari.Nauza mirunda, mbao, na marine boards zilizotumika. Marine boards ziko size 18mm, Mbao zipo size 2x2, 4x2, 1x9, na 1x 10. Bei maelewano. Vifaa vimetumika mara moja tu, nategemea kuezua slabu yangu tarehe 23/11/2024 site ipo Msumi Dar. Mawasiliano 0747109975.
  10. Nauza mbao za mti wa Eucalyptus/Mkaratusi kwa bei ya shambani

    Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao hizi ninachana mwenyewe maeneo ya Mgololo, Mufindi (Iringa) na Uchindile, Mlimba (Moro). SIFA ZA...
  11. Nauza mbao za mti wa Eucalyptus/Mkaratusi kwa bei ya shambani

    Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao hizi ninachana mwenyewe maeneo ya Mgololo, Mufindi (Iringa) na Uchindile, Mlimba (Moro). SIFA ZA...
  12. V

    Naomba kufahamu kuhusu Biashara ya mbao

    Biashara ya mbao nahitaji mtaji kiasi gani?
  13. B

    Mkaa na Mbao

    Habari ndugu zangu, Natafuta Masoko ya Mkaa na Mbao...Na bei zikoje. Nachana mbao za mti wa Mtondoo na Mkurungu kwa saizi zote kulingana na mahitaji ya mteja. Nina uwezo wa kusuply gunia 200 hadi 300 kwa mwezi za mkaa...Nina vibali vyote vya wakala wa misitu (TFS) Nasikia pia kuna soko la...
  14. Biashara ya mbao

    Wakuu habarini Nauza shamba la miti ya mbao ekari 4 lina jumla ya zaidi ya miti 2350 kwa bei ya kila mti 8,000 na midogo 6,000 kwaio jumla inakua 15milioni. Shamba lipo mafinga,Iringa.
  15. Kwanini jeneza lazima litengenezwe kwa material ya mbao?

    Nini kipo behind mbao maana hata Yesu stori yake ya kufa ilibidi msalaba uwe ni wa mbao hata baba yake wa kufikia alikuwa seremala fani ya kuchonga miti. Hata Yuda na ye alijinyonga mtini. Hata Abeli alibarikiwa alikuwa mkulima ana deal na miti mazao ama vegetables. Jeneza lazima tu liwe...
  16. Natafuta kitana kizuri cha mbao Dar

    Guys nina hela hapa, Leo nimesema nimuungishe mwana hapa uwe humu JF Usiniconect na mtu nawajua hapo Keko Uwe unauza wewe kizuri mbao bora kabisa Nipo hapa kisuma kama karibu na temeke nakifata sasa hivi kama ni mbali nifanyie delivery Yaani leo leo 6*6 Mbao nzuri mnaita mninga sijui
  17. Nauza mbao za mti wa pine

    Habari wanaforums! Nauza Mbao za mti wa pine zenye ubora, kipimo kilichojaa na bei rafiki. Size ambazo zinapatikana ni 2 by 4 2 by 2 2 by 3 1 by 4 1 by 10 1 by 8 1 by 6 Ninapatikana Wino Songea Tanzania Yard yetu iko Mkabala na njia juu ya Songea - Njombe Kwa Mawasiliano zaidi piga namba...
  18. Naitaji mtu wakumsaidia kuwekeza kwenye soko la mbao

    Karibuni
  19. Kupaka mbao dawa au kupaka oil ipi inakaa muda mrefu bila wadudu kula?

    Wakuu mimi Niko hapa kwenu nawapa tip ya ujenzi hii hapa maana mimi kwenye ujenzi nmeboboa. Kutreat mbao kwa dawa zile za kijani kijani wanazopiga wengi wauzaji wa mbao. Oili chafu inadumu muda mrefu zaidi kuliko hizi dawa. Ukweli ndio huo oili kwanza kadili inavyopigwa joto ndio kwanza...
  20. I

    Mambo za wakenya

    Aiseee🤣🤣😂
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…