Habari za Jumapili wapendwa.
Kama kichwa habari kinavyojieleza, kuna dada wa rafiki yangu amepata hili tatizo la Cancer.
Alianza kuumwa mwaka jana June alikwenda hospital wakampa rufaa ya kwenda Ocean Road ambapo walithibitisha ana Cancer ya ziwa, ila mgonjwa na mume wake hawakuanza tiba yaani...