maxence melo

Maxence M. Melo
Maxence Melo is a Tanzanian Building Economist turned Digital Innovator and “Information Architect”.

He leads JamiiAfrica, a dynamic regional non-profit entity on a mission to create a well-informed citizenry, promote responsive governance, and encourage active citizen participation.

He has played an enormous role in revolutionising digital democracy while promoting Transparency & Accountability.

Maxence was recognised by the African Union as one of the top 3 Leading African Innovators for Change in 2018 for strengthening the viability of Whistleblowing Policy tools in Africa.

Maxence is a recipient of various awards, including the 2019 International Press Freedom Award by the Committee to Protect Journalists (CPJ)

Between December 2016 and November 2020, he appeared before the court 159 times on three charges related to protecting his clients' personal data in Tanzania.

In 2023, he was appointed as a Board Member of Tanzania’s Personal Data Protection Commission, representing CSOs, the Media, and the Private Sector.

Other local Awards

He is a recipient of various Human Rights Defenders awards, including the Online Freedom of Speech Champion in Tanzania 2018 by Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) and the Daudi Mwangosi Award (2019) by the Union of Tanzania Press Clubs - an award for Promotion of Media Freedom in Tanzania.
  1. U

    Ni wakati muafaka kwa Serikali kumpangia Maxence Melo majukumu makubwa ya Kitaifa kwa Maslahi mapana ya nchi yetu

    Ndugu zangu wa JF Naongea kwa upendo na uzalendo mkubwa kwa nchi yangu ya Tanzania Namzunguzia Ndg Maxence Melo Huu ni wakati muafaka kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumteua na kumpangia Maxence Melo majukumu makubwa ya Kitaifa. Amekuwa na Utumishi uliotukuka akiwa Mtendaji...
  2. Stories of Change: Golder Anael Mmari ashinda Tsh. 5,000,000/- toka JamiiForums

    Yule mshindi wa Shindano la “JF Stories Of Change” atakayejinyakulia kitita cha Tsh. Milioni 5 anatarajiwa kupewa kitita hicho Jioni ya leo Oktoba 15, 2021 katika hafla fupi itakayoanza saa 12 jioni Jijini Dar. Mshindi wa Kwanza atapata Fedha taslimu Tsh. Milioni 5, Mshindi wa Pili Tsh. Milioni...
  3. SoC01 Majigambo ya nahodha na dereva

    MAJIGAMBO YA NAHODHA NA DEREVA. NAHODHA: Kazi ya majasiri..!!! Unahodha kazi nzuri, mtumbwi naendesha, Kwa nyuma naukalia, mawimbi naachanisha, Raha kisogoni naisikia, kasia langu kupigisha, Unahodha kazi nzuri, wengineo jifunzeni. DEREVA: kazi yenye heshima…!!! Udereva ni heshima...
  4. SoC01 Baadhi ya vitu nitakavyowafundisha wanangu kabla ya kifo changu

    Karibuni Sana kwenye JUKWAA LETU LA (Stories of Change) Tujifunze - Teulemike & Tubadilishane mitazamo. Naamini 99.9% umaskini unarithishwa sawa tu na utajiri unavyorithishwa. Na wala hii sio breaking news 'tajiri huongezewa, maskini hupungiziwa'~ BAADHI YA VITU NITAKAVYOWAFUNDISHA WANANGU...
  5. Ushauri: Serikali iboreshe Elimu iwe na tija kwa mhitimu

    MHESHIMIWA JOYCE NDALICHAKO (WAZIRI WA ELIMU) NAOMBA TUZUNGUMZE KIDOGO) Mhe Waziri, Heshima kwako.................... ….. Nakupa salamu kwa lugha ya kikwetu Usukumani, "Ulimholla mayu ungumbyala" Ni matumaini yangu u mzima wa afya tele, kama nakuona vile unavyozunguka zunguka katika kiti cha...
  6. Maxence Melo: Changamoto za Vyombo vya Habari na kukosa Matangazo

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums Maxence Melo amesema vyombo vingi vya habari hukubali matangazo kwa kuwa yana hela nyingi Kwa JamiiForums amesema wana sera ambayo inawafanya wakatae matangazo ya Pombe na Matangazo ya Betting japo yana hela. Aidha Chombo cha habari kutegemea matangazo ni...
  7. Asante Maxence Melo kwa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan Katiba Mpya LIVE

    Kwa heshima naomba nkuvulie kofia niliyovaa wakati huu naandika huu uzi. Wakati historia inaandikwa juu ya upatikanaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maxence Melo tutamtambua kama prominent figure wa kwanza kabisa kutoka hadharani na kumuomba Mheshimiwa Rais Mama yetu...
  8. Maxence Melo: JamiiForums imefanikiwa kujenga Fikra Mbadala kwa watanzania wengi

    Leo mkurugenzi wa JamiiForums amefanya mahojiano kwenye kipindi cha Clouds 360. Pamoja na mambo mengine ameongelea suala la hofu ya kuingia matatani na kusema ameshaingia mara kadhaa na haijawahi kuwa hofu kwake pia ameongelea awamu ya sita ilivyoanza kwa kuwasikiliza. ======== SWALI: Kama...
  9. Hongera sana Maxence Melo

    Kwa heshima na taadhima, nakupongeza na kukushukuru sana Maxence Melo kwa kubuni jamvi hili zuri na kulisimamia vema tangu ulipolianzisha miaka mingi iliyopita. Nakuvulia kofia, Mkuu. Mimi binafsi nimepata faida nyingi sana humu. Kupitia jamvi hili nimeelimika kisiasa, kiafya, kibiashara na...
  10. Maxence Melo apewe PhD ya heshima

    Ni bahati mbaya sana kwa vyuo vya nchi zetu hizi kuangalia zaidi wanasiasa na matajiri wakubwa na kuwagawia heshma hii kuliko kuangalia watu wenyemchango mkubwa mahususi katika jamii pana. Kwa wenzetu mfano Harvard & na Oxford hutazama zaidi watu wenye mchango mkubwa katika tasnia flan, au...
  11. Watumishi waliohamishwa Utumishi kuanzia Agosti 2019 hadi Julai tarehe 15, 2020

    Idara ya Tamisemi embu mjitathimi kwanza, kuna majina yali leak mwezi wa September ya Uhamisho kwani watu hawajatolewa au kupewa Uhamisho kwa muda mrefu sana na mbaya zaidi inaonekana wengi mnataka rushwa na kujuana wakati barua za watumishi zimepitishwa kufuata utaratibu. Inakuaje mnashindwa...
  12. Hivi Robert Kyagulanyi a.k.a Boby Wine na JF Founder Mtani wangu Maxence Melo ni Mtu na Kaka yake au? Wanafanana ile mbaya!

    Kuna uwezekano mkubwa Kijana na Mwanasiasa Machachari nchini Uganda Robert Kyagulanyi ( alias ) Boby Wine akawa ana Ndugu yake wa Damu kabisa huku Tanzania aitwae Maxence Melo ila bado hajafahamishwa tu. Ukiwaangalia hawa Wawili wala hutopata shida kuhisi kuwa huenda wakawa ni Ndugu kabisa kwani...
  13. Hukumu dhidi yangu: Asante Watanzania, asante Ndugu na Marafiki

    Naam, miaka 4 ya nenda - rudi kortini imehitimishwa leo baada ya hukumu ya mwisho kusomwa mahakamani. Nachukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake katika safari hii; nawashukuru ndugu na familia kwa kuwa nami bega kwa bega katika kesi hizi na kunitia moyo; nawashukuru uongozi na...
  14. Maxence Melo: Nashukuru kuwa mtu huru kutembea nje ya Dar bila kuomba ruhusa

    Mkurugenzi mtendaji wa JamiiForums amesema anashukuru sana kwa kuwa sasa ni mtu huru kutembea nje ya Dar-es-Salaam bila kizuizi chochote cha kisheria. Awali alikuwa na zuio, ambalo lilikuwa linamtaka apate ruhusa maalumu ya kutoka nje ya Dar kutokana na kesi zilizokuwa zinaikabili JamiiForums...
  15. KISUTU, DAR: Maxence Melo akutwa bila hatia shtaka la Kikoa. Apewa 'Conditional Discharge' kwenye shtaka la kutotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi

    Hukumu ya kesi namba 458 ya 2016 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums inatarajiwa kusomwa leo Novemba 17, 2020 katika Mahakama ya Kisutu Katika shauri hili lenye mashtaka mawili, watuhumiwa wanashtakiwa kuendesha mtandao ambao haujasajiliwa kwa kikoa cha DO-TZ Katika shtaka la pili, Polisi ilimtaka...
  16. Maxence Melo, amewaomba Watanzania kuepuka kununua simu zilizotumika 'Used' kutoka katika mataifa mbalimbali

    Mkuu Maxence Melo, Mshauri wa Masuala ya Mtandao yupo Mubashara akifafanua masuala mbalimbali yanayohusu utapeli wa kimtandao. Msikilize upate kufahamu mambo mengi kuhusu jambo hili, ikiwamo na matumizi sahihi ya mtandao kwa ujumla. Mkurugenzi wa JamiiForums na Mtaalam wa Mawasiliano ya...
  17. Happy Birthday to our Tanzanian hero Maxence Melo

    Leo tarehe 9 May ni siku kubwa ya kuzaliwa mtu anayewezesha uwepo wetu humu. Maxence Melo Tunapata nafasi ya kufanya yote kwa kuwa amesimama na kutupatia uhuru wa kutoa yetu ya moyoni. Tunakuombea Mwenyezi Mungu aendelee kukupigania na uzidi kutupigania sisi na Uhuru wetu wa kujieleza...
  18. Mahojiano ya Maxence Melo, Clouds+

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo akihojiwa Clouds+ katika kipindi cha sebuleni ====== Katika mahojiano haya amejibu nadharia zilizopo. Moja ya nadharia iliotolewa ufafanuzi ni kudhani kuwa Jamiiforums ipo 'against' serikali, nadharia hii, haina usahihi kwa kuwa hata kesi...
  19. Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

    Habari! Natafuta Ajira nimesomea uhandisi wa Umeme 'MUST', nimemaliza mwaka 2019. kazi yoyote ya Umeme nipo tyr kufanya hata Kama ni wiring n.k,,, Kwasasa napatikana Morogoro 'Msamvu', Nahitaji msaada wenu nipate japo connection niapate kazi ya kusogeza maisha. Simu 0654409392
  20. Hukumu ya kesi namba 456 ya 2016 inayowakabili Wakurugenzi wa Jamii Media iliyokuwa itolewe leo, imeahirishwa kwa mara ya 5

    Kesi namba 456 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Mike William) ambapo Kampuni ya Oilcom iliandikwa katika mtandao wa JamiiForums ikidaiwa kukwepa kodi na kuchakachua mafuta bandarini Dar imeahirishwa tena leo Aprili 02, 2020 hadi Aprili 08, 2020. Hukumu hii awali ilipangwa kutolewa Novemba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…