mawasiliano

The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), established by the TCRA Act No. 12 of 2003, is an independent Authority for the postal, broadcasting and electronic communications industries in the United Republic of Tanzania. It merged the former Tanzania Communications Commission and the Tanzania Broadcasting Commission. The TCRA is accountable to the Communications and Technology Ministry. The Information Communication and Technology (ICT) sector reform in Tanzania is notable in that development was influenced by regional, political (national) and technological factors. Tanzania is one of the few African countries to liberalise the communications sector whereby the Converged Licensing Framework (CLF) is used as a key strategy, in terms of the Tanzania Communications Regulations. Since inception in 2003, the TCRA has issued a number of regulations to administer the sector, but still faces a number of challenges such as the roll-out of services to under-serviced rural areas.

View More On Wikipedia.org
  1. Pongezi kwa Weledi, Maoni kwa Ufanisi: Mawasiliano Bora Serikalini

  2. KERO :Mkandarasi kafunga njia hakuna mawasiliano

    Habari wadau, kwa muda mrefu Tabata Kimanga kumekuwa na kero ya obovu wa barabara kipande cha Chama mpaka Savanna pale. Hivi karibuni serikali imesikia kilio cha wakazi wa eneo hilo na kuweka mkandarasi ajenge kipande hicho. Maendeleo ni mazuri kwa ujumla lakini kuna namna lazima utaratibu...
  3. Unawasiliana na wazazi wako mara ngapi kwa mwezi?

    Mimi nimekuwa closed sana na wazazi hasa kwa mawasiliano ya simu daily kujua hali zao Ila naona kuna dharau fulani ya kuwa available nahisi wananichukulia poa sana. Hii imekaaje kwa upande wako kwao?
  4. Je, ulishawahi kukaa na ndugu yako mkimya sana!

    Je, ulisha wahi kukaa na ndugu yako mkimya sana, yani hawezi kuanzisha mazungumzo hata iwaje? Na hata kama anaumwa hakwambii, ila majirani na watu usio wajua wanajua kwamba ndugu yako anaumwa. Na akiwa na shida huwaeleza watu wengine na sio wewe? Na je ingekuwa wewe imekukuta hali hii...
  5. Linda heshima yako epuka tabia ya kuwapigia watu ama kuwatext mara mbili mbili.

    Kumekucha tunaendelea kukumbushana mambo mawili matatu binadam sisi rahis kusahau au sio wakuu. Sasa sijui mwisho wa kila mtu ana uhuru wa kufanya anavyoona ni sawa kwake ila mm in general siwez kumpigia wala kumtext mtu mara mbili km text ya kwanza hajarespond,yan ile kupandisha texts mbili...
  6. Mjapani Company, Computer desktops and laptops tunauza, tupo dar es salaam, magomeni, kariakoo, na mawasiliano

    Kama unahitaji gaming PC na workstations za custom build yaani unawekewa hardware unazotaka kama RAM, HDD au SSD , CPU kulingana na mahitaji yako...kwa desktops Computer, pia kwa laptops zipo aina zote za gaming, professional na mobile workstation zenye gpu ya NVIDIA graphics card... Njoo na...
  7. Responded TANROADS: Tunaendelea na matengenezo barabara ya Singida–Gehandu pamoja na Singida - Manyara

    Wakati kukiwa na madai kuhusu hali ya barabara ya Singida – Katesh – Dareda – Babati – Minjingu, hatua za matengenezo zinaendelea katika sehemu mbalimbali za barabara hii muhimu yenye urefu wa kilomita 223.5, inayounganisha mikoa ya Singida na Manyara pamoja na kurahisisha safari na usafirishaji...
  8. TANESCO yanyakua tuzo nne katika vipengele mbalimbali kwenye Tuzo za Umahiri wa Mawasiliano kwa Umma

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanikiwa kutwaa tuzo nne za umahiri katika mawasiliano kwa umma, ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuboresha eneo la utoaji wa taarifa, kuimarisha mawasiliano ya kimkakati na kutumia ubunifu katika kuwafikishia wananchi taarifa kwa ufanisi...
  9. I

    Responded DC Mpogolo: Nyaya za mawasiliano Kariakoo zimetanda kama buibui

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema ufungaji holela wa nyaya za mawasiliano katika eneo la Kariakoo na baadhi ya maeneo mengine ya Jiji la Dar es Salaam unaathiri mandhari ya Jiji, huku ukisababisha changamoto katika upitishaji wa mizigo kwa magari makubwa na ufikishaji wa vifaa vya...
  10. TANESCO yang’ara tuzo za umahiri wa mawasiliano kwa umma

    📌 Yanyakua tuzo nne katika vipengele mbalimbali 📌 Yatambuliwa kwa ubora katika mawasiliano ya kimkakati, elimu kwa umma na usimamizi wa mawasiliano wakati wa migogoro Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanikiwa kutwaa tuzo nne za umahiri katika mawasiliano kwa umma, ikiwa ni kutambua...
  11. W

    Tumieni vitengo vya mawasiliano kufikisha taarifa kwa wananchi

    Taasisi za Sekta ya Maji zimetakiwa kuwa na mifumo ya dharura itakayo saidia kupunguza athari zinazoweza kujitokeza wakati wa mvua za El Nino kama ilivyo tabiriwa na Mamlaka ya Hali Hewa (TMA). Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Andrew Mathew (Mb) ametoa angalizo hilo akipokea taarifa...
  12. Nawatafuta sana ndugu zangu

    Naomba mawasiliano ya watajwa hapo kwenye majina yaliyoorodheshwa,wanatokea mkoa wa Ruvuma Songea....mimi ni rafiki yao lakini kama ndugu yao pia... vijiji ndio ivyo tajwa ,kama kuna ndugu yako hapa naomba mawasiliano tafadhari sana,na kama utahitaji kujua kwanini nawatafuta naomba tuwasiliane...
  13. Tetesi: Kuna kiongozi wa Yanga anafanya mawasiliano na baadhi ya wachezaji wa Simba ili awarubuni kuelekea darby ya kariakoo ya tar.10.10.2026

    Hapo vip! Za chini ni hivi kuna kiongozi wa Yanga mpumbavu sana yule mtu,ameone hii darby yanga anaenda kupoteza hivyo anatumia njia mbadala ya kuta kuwarubuni wale key players wa Simba ili wacheze chini ya kiwango ili apate ushindi. Na hili linaanza kutupa wasiwa kwa darby iliyopita kwa...
  14. L

    Shughuli za mwaka wa mawasiliano ya watu kati ya China na Afrika zaendelea katika hali motomoto

    Shughuli mbalimbali za mwaka wa mawasiliano kati ya watu kati ya China na Afrika zinaendelea kufanyika katika sehemu mbalimbali za China na Afrika, na moja ya shughuli zilizofanyika hivi karibuni, ni uzinduzi wa sehemu ya sita Maonyesho la Filamu Bora za Kichina na Vipindi vya Televisheni...
  15. Diva the Boss Ailipua Wasafi Media Akidai Stahiki Zake za Miezi Minne, akimtaja na Mwigulu Nchemba

    Mtangazaji mashuhuri wa habari na burudani, Diva the Boss , amejitokeza na kuishutumu waziwazi kampuni ya Wasafi Media kupitia ujumbe mzito alioochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram mnamo Septemba 15, 2026 . Diva amechukua hatua hiyo ya kuweka wazi hisia zake ili kupaza sauti na kuiomba...
  16. Kati ya Pesa, Mawasiliano na Wivu, kipi hasa kinasababisha ndoa kuvunjika?

    Wakuu Katika mihangaiko yangu, nimejikuta nimepita kwenye kijiwe nongwa kimoja. Kimekolea! Watu wamekaa wamezunguka, kila mmoja ameshikilia upande wake, na mjadala uliokuwa unaendelea ulikuwa kuhusu migogoro ya ndoa. Mmoja anasema, “Ndoa nyingi zinavunjwa na pesa. Bila pesa, mapenzi yanageuka...
  17. KERO Wananchi Kibiti Wateseka na Mtandao, Waining’iniza Simu Juu ya Paa Kupata Mawasiliano

    Wakazi wa Kijiji cha Mbwera, Kata ya Mbuchi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani, wanalazimika kuning'iniza simu zao kwenye paa la baraza la nyumba mojawapo kijijini hapo ili kupata mtandao wa mawasiliano. Kwamba katika miaka 65 baada ya uhuru, karne ya 21, chini ya utawala wa Serikali...
  18. H

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za -Waziri Mkuu Nchemba

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za kimawasiliano-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bumbuli...
  19. E

    Jaji Warioba: Sioni uwezekano wa kupata Katiba mpya kufikia 2030, asimulia mawasiliano na Nchimbi kabla ya kuondolewa CCM

    Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema haoni uwezekano wa Tanzania kupata Katiba mpya katika kipindi kifupi kijacho, akionya kuwa nchi inaweza kuingia katika madhara makubwa zaidi ikiwa itafanya uchaguzi mwingine kwa mfumo wa sasa. Jaji Warioba amesema mchakato unaopendekezwa kufikia...
  20. H

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini -Waziri Mkuu Dkt Nchemba

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za kimawasiliano-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bumbuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…