Natokea Wilaya ya Mlele, Kata ya Inyonga, mpaka sasa hivi hakuna mbolea za ruzuku kwa Mawakala wa Mbolea, na gharama ya mbolea ni Sh 130,000/=, naomba serikali ije ifanye utafiti ifike Inyonga Katavi kwa udharura kwa adha ambayo Wananchi wanapata muda huu wa kilimo.
Nashauri Serikali isiwe ya...