mavazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JWTZ: Baada ya siku 7 atakayepatikana amevaa, anatumia au anauza mavazi ya Jeshi atapatiwa adhabu kali

    https://www.youtube.com/watch?v=Z3MzD0q8MMA Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limebainisha hatua hiyo inatokana na ongezeko la raia wanaotumia mavazo hayo wakikinzana na Sheria ya Ulinzi wa Taifa, Sheria ya Taifa na Sheria ya Kanuni ya Adhabu zinazokataza raia kuvaa au kutumia...
  2. Wanawake wa Maduka ya Mavazi na Ukahaba mambo leo

    Salamu wamebaki nazo Wazanzibar, huku bara salamu ni utumwa. Juzi wakati natoka zangu Hifadhi ya Taifa ya Lake Manyara nikiwa zangu kwenye gari ikiniwahisha Airport ikabidi nichukue simu nitazame ambayo yanajiri kila uchwao, nilipowasha simu nikazama Instagram ili kujionea habari kwa picha za...
  3. Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

    Kwani mavazi ya kikahaba ni yapi jamani, mbona mnanichanganya? Je ni kweli mavazi ya kikahaba yanamfanya msichana kutopata mume? Mbona wanawake wanaokaa uchi wameolewa sana mpaka na kuacha na kuolewa mara ya pili? Je, kupata ndoa ni lazima uvae mavazi kama staha? Skia hii: Shouger: Money...
  4. Kuna haja ya kuangalia mavazi ya mtu kwenye usaili wa kazi?

    Kwenye kutafuta ajira kuna mambo mengi sana. Wasakatonge tunahangaika huku na huko kutafuta mrija wa Asali, iwe nje ya nchi au ndani ya nchi, iwe serikali au taasisi binafsi. Sasa basi nikiwa mmoja wa wasakatonge nilibahatika kuomba hizi kazi za TRA, na mara baada ya kuomba nikafanikiwa kupata...
  5. Mamlaka badilisheni mwonekano wa mavazi ya wanajeshi wawe nadhifu kama hawa

    To be honest lijapo umakini, nidhamu na hata mwonekano Wanajeshi wa Rwanda wapo mbali sana! Mwanajeshi wa Rwanda mda wote awapo kazini ni mtu makini na mzingatifu na bila kusahau hupendeza kwa uniform safi kabisa! KAMWE HUWEZI KUKUTA UNIFORM ZA YULE ZIMEPAUKA AMA ZA HUYO ZIPO VILE. WOTE...
  6. Rais Samia awainua Mbowe na Lipumba kwenye baraza la Eid, amsifia Mbowe kupendeza kwa kanzu

    Akizungumza katika Baraza la Eid El Fitri katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Rais wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha na kuyaishi maono yake ya kuwa na Tanzania moja isiyogawanywa kwa misingi ya kisiasa Kabla ya kuanza...
  7. M

    Mwanaume akamatwa akishiriki mashindano ya CHESS kama mwanamke

    Hii imetokea nchini Kenya. Dume limejifunika vazi la dini fulani ambalo kwa kawaida huvaliwa na wanawake, na likashiriki mashindano ya Chess kwa wanawake!! Kwa bahati mbaya kwake wakalishtukia!! Male chess player caught competing as woman The Kenyan man wore a hijab and signed up for the female...
  8. Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

    Wakuu, nijibuni haya maswali:- Huwa unavaa mavazi ya aina gani, pale unapoenda kukutana kwa mara ya kwanza, na mpenzi wako mpya, mliyefahamiana naye kupitia mtandaoni? Na kwanini unavaa hayo mavazi?
  9. "Mungu anaangalia roho haangalii mavazi" ni kauli inayohamasisha mmomonyoko wa maadili. Wakristo tuwe na msimamo juu ya mavazi kanisani

    NB: mods nawaomben msihamishe huu uzi jukwaa,kuuedit,au kutoa kipande chochote kile, kwa niloandika, Kuna funzo kubwa sana hapa kuzuia kasi ya mmomoo wa maadili (Moral Decay) ambao unazidi kumea. Ni jukumu letu kama wakristo kujaribu kukumbusha waumini juu ya wajibu wao kuvaa mavazi...
  10. Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

    Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu. misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya...
  11. Ni ulimbukeni kuwazuia wasanii kutumia mavazi ya Polisi katika filamu zao

    Jana nilipata wasaha wa kutizama luninga na bahati nzuri nikabahatika kutupia jicho katika muvi zetu almaarufu Bongo movies, kusema ukweli vijana wanajitahidi na kufanya kila wawezalo kuweza kuifikisha sanaa yao mbali licha ya changamoto kibao. Baadhi ya changamoto kuu za kiwanda hiki ni; 1...
  12. Mbunifu wa mavazi wa Kitanzania ampata Afisa aliyemuibia Begi la Nguo

    Mbunifu wa kike wa Kitanzania anayeishi Houston nchini Marekani amedai kuwa nguo zinazovaliwa na afisa wa zamani wa Wizara ya Nishati (DOE) Sam Brinton zilikuwa kwenye mzigo wake uliopotea katika uwanja wa ndege huko Washington, D.C. mnamo 2018. Asya Khamsin, ambaye ametengeneza brand yake ya...
  13. L

    Wiki ya 20 ya Mitindo ya Mavazi ya Dakar yafanyika ili kuonyesha mitindo ya kienyeji katika Afrika Magharibi

    Wiki ya 20 ya Mitindo ya Mavazi ya Dakar yafanyika ili kuonyesha mitindo ya kienyeji katika Afrika Magharibi.
  14. Kwanini Serikali haipigi marufuku uingizaji wa mitumba?

    Hakuna nchi inayoweza kuendelea bila kulinda na kuendeleza viwanda vya ndani. Na njia kuu ya kulinda viwanda vya ndani ni kuzuia bidhaa cheap kutoka nje ya nchi. Ndiyo maana China waliikataa Google, facebook nk. Ndiyo maana US waliipiga pini Huawei. Hili jambo mataifa karibu yote ya Afrika...
  15. Wanaume wa Urusi wanavaa mavazi ya wanawake na kukimbia nchi

    Wengi wanaona bora aibu kuliko kwenda kufa. ======== When Moscow announced its military mobilization drive on September 21, Liliya Vezhevatova almost stopped sleeping. She was asked by several friends and acquaintances to help men to leave Russia. Vezhevatova herself lives in the Armenian...
  16. Kwanini naamini Zuchu atafanikiwa kwenye brand yake mpya ya mavazi

    Kwanza hakuna ubishi Zuchu ndio msanii wa kike namba moja East and Central Afrika. Pili ndio msanii mwenye influence kubwa kwa sasa Tanzania kwenye lifestyle kuliko msanii yoyote yule. Kila binti sasa hivi anataka kuwa Zuchu kuanzia mavazi, mapozi, swaga na ustaa. Ama kwa hakika amejua kuwa...
  17. Hawa ndio Warembo waliouawa kwa kutembea uchi huko Iran

    Biblia na Qur'an ziko pamoja na nchi ya Iran, unaweza usitamani kutembea uchi lakini ukawatetea wanaotembea uchi. Kufurahia mwanamke kutembea uchi elewa umefurahia mama wa mtu kuwa uchi. Naanza kwa kumnukuu mwana JF Donatila aliwahi kuandika humu ''Kama mjuavyo utandawazi umezidi kukua...
  18. Diamond na baba Levo kweli wametoka mbali si kwa mavazi haya

    🤣🤣🤣🤣🤣Sitii neno lolote hapa
  19. Iran: Watu 36 wajeruhiwa katika maandamano kupinga kifo cha mwanamke ambaye alishikiliwa na polisi kwa kutositiri kichwa

    Mataifa yanayoongozwa kidini huwa kama mazombi vile, mwanamke anauawa kisa tu hakufunika kichwa, watu wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kupinga mauaji hayo. ====== At least 36 people have been injured in the Kurdistan Region of Iran, in the northwest of the country, during protests sparked by...
  20. Wakuu Kwa Nini hakuna t-shirt za drafts katika designs za mavazi.

    Nimekuwa Nikiona shati a drafts tu. Najiuliza Kwa Nini sikioni hakuna t-shirt cotton nzuri lakini na zenyewe ziwe draft lakini nzuri za kisasa. Kun mwenye ufahamu kuhusu vazi hili na Kwa Nini sio common
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…