matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tafiti: Matumizi ya fedha taslimu yanasababisha mfumko wa bei

    Utafiti uliochapishwa katika Jarida la Advanced Research in Economics and Business Strategy umeonesha matumizi ya fedha taslim yanaathiri jamii katika mipango ya kuunda bei na kusababisha mfumuko wa bei. Utafiti huo uliofanywa na Francis Nyonzo, Mchumi ambaye pia alikuwa mshiriki wa moja ya...
  2. Nimechoka kuigiza, mara kadhaa nimekua nikiona matumizi ya neno "KOBAZI" kwenye nyuzi mbalimbali humu jamvini. Naomba anaejua anisaidie maana yake

    Wanajamvi kama nilivyotangiliza heading, mara kadhaa nimekua nikikutana na neno KOBAZI kwenye comment mbalimbali humu jamvini, nimejaribu kufuatilia bila mafanikio. Juzi nimeuliza nikaambiwa ni viatu lakini kila nikiangalia uhusiano kati ya viatu na comment za watu jamvini nakua sielewi kabisa...
  3. Majengo yanauzwa,yalikuwa yanatumika au kukodishwa kwa matumizi ya chuo

    #forsale ENEO LENYE MAJENGO MAZURI YA HUDUMA ZA KIJAMII LINAUZWA ENEO LIPO TABATA CHANG'OMBE MWANZO LIMETUMIKA NA CHUO (x) BEI=BILLION 1,MAONGEZI YAPO KIDOGO KUNA 🔹Madarasa 9 makubwa 🔹Ofisi 🔹Na Mambo mengine mengi KWA SASA ENEO LINAWEZA KUTUMIKA KWA MATUMIZI MBALIMBALI KUTOKANA NA MNUNUZI...
  4. C

    Wengi hawajui matumizi yao kwa mwezi ni kiasi gani

    Habarini wanajamvi. Ukitaka kujua matumizi/bajeti yako kwa mwezi fanya hivi. Chukua matumizi yako yoote unayotumia kila siku/kwa mwezi then uyagawe kwa siku 30. Mfano unalipa 1. Kifurushi cha Tv 20k per month 2. Umeme 20k per month 3. Maji 20k per month 4. Maemezi ya chakula (hapa unatakiwa...
  5. Mwigulu Nchemba: Tujadiliane kuhusu matumizi ya mkopo sio takwimu za deni

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza kuhusu hoa ya Deni la Taifa kwamba linazidi kukua, amesema ni vema Wananchi wakajadiliana kuhusu matumizi ya Mkopo na sio idadi ya ukubwa wa deni lililopo au linalojadiliwa. Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025
  6. Mechi ya Leo Jumapili, Tarehe 22/06/2025 Kuelekea Kilele Cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya

    Mchezo wa mpira wa miguu – hatua ya fainali unatarajiwa kufanyika kwa shamrashamra kubwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Makatifu John (St. John’s University), jijini Dodoma. saa tisa Jioni. Tukio hili ni sehemu ya kampeni endelevu ya kuhamasisha jamii, hususan vijana, kuhusu madhara ya...
  7. Nusura nife kwa tatizo la moyo kisa matumizi ya smartphone hadi usiku wa manane!

    Habari ndugu na dada zangu. Kama mnavyojua starehe ya kutumia smartphone Iko amazing hivi. Wiki iliyopita nili zidisha dozi ya kutumia kifaa hiki. Unakuta naperuzi hadi usiku wa saa 9 na dakika kibao kisha nalala .Kuamka saa moja asubuhi.Aisee! Basi wiki hii nineshtukia afya yangu haiko...
  8. Matumizi ya juice ya mkaa kwa ajili ya kuondoa sumu mwilini

    Kunywa juice ya mkaa (hasa mkaa wa miti au activated charcoal) ni jambo ambalo limekuwa likifanywa na watu kwa sababu za kiafya, lakini linaweza kuwa na faida na madhara, kulingana na namna inavyotumiwa. Hapa chini ni muhtasari: --- ✅ Faida za Kunywa Juice ya Mkaa (Activated Charcoal): 1...
  9. Mavazi na matumizi ya ngozi ya chui wa Africa

    Ngozi ya chui hutumika kama ishara yenye nguvu ya uungu na mamlaka katika tamaduni mbalimbali za Kiafrika, inayojumuisha nguvu, uhusiano wa kiroho, na utambulisho wa jamii. Katika Kusini mwa Afrika, watu wa Himba wa Namibia wanaona ngozi ya chui kama ishara ya utajiri na uhalali wa viongozi...
  10. Ushauri: Upinzani kabla ya kuanza utekelezaji wa slogan zenu pimeni kwanza Kama zinatekelezeka ili kuokoa matumizi mabaya ya Ruzuku.

    Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya viongozi wa Upinzani za kuanzisha program/slogan na kutumia hela nyingi (ruzuku) ili Hali wao wenyewe wakijua akilini mwao hazitekelezeki hii ni ishara ya kuwa na viongozi duni kifkra, imagine bajeti ya uchaguzi imeshatengwa Leo hii Kiongozi wa chama bado...
  11. KERO ya Ku-block / Cease / Blacklist Matumizi ya NIDA NIN (National Identity Number); Tafadhali busara itumike tusirudishane zama za Kale,

    Ni kwamba huenda wewe yamekukumba hapo ulipo na wala haujui kama yamekukumba huenda unadhani upo salama kumbe haupo salama mpaka siku ukitaka service ambayo Taasisi itatakiwa kuvuta information zako NIDA ndio hapo utakutana na ujumbe wa THERE IS A PROBLEM PARSING MESSAGE RECEIVED FROM NIDA; au...
  12. Allah alitoa kibali cha kufaidi wake zenu vyovyote tutakavyo. Tusipangiane matumizi ya mashamba yetu

    ALLAH AMEWARUHUSU WAISLAM KUNYONYA MATITI YA WAKE ZAO NA KUNYWA MAZIWA YAO NA KUWAINGILIA KATIKA TUPU ZAO WATAKAVYO. Allaah Kamhalalishia mume kufurahi kwa mkewe atakavyo. Anaweza hata kufanya naye mapenzi kwa njia mbalimbali. Allaah (Ta´ala) Kasema: نسآؤكم حرث لكم فأتوا حرثكم أنى شئتم "Wake...
  13. K

    Mapato na matumizi

    Hivi karibuni nilipata fursa ya kukaa karibu na operators, mafundi ,drillers na madereva wanaofanya kazi kwenye kampuni za uchimbaji wa madini hapa nchini. Nilishangazwa kubaini kwamba wengi wao mishahara na marupurupu yao ni kati ya 3M mpaka 10M kila mwezi . Lakini maendeleo waliyonayo...
  14. Nampongeza mzazi aliyemfuata mtoto wake shule na HELIKOPTA. Ni matumizi sahihi ya Utajiri

    Nimeona video moja, mzazi ametuma HELIKOPTA kwenda kuchukua mtoto mwanafunzi shuleni huko bukoba baada ya shule kufungwa. Jamaa simfahamu ila nampa pongezi sana maana ndio matumizi halali ya Pesa . Huwezi KUWA na pesa mingi alafu uzao wako unaishi kifukara KWA hofu kwamba watabweteka kimaisha...
  15. "Je, unazifahamu aina za cement na matumizi yake?"

    "Je, unazifahamu aina za cement na matumizi yake?" "Aina 3 za cement na matumizi yake." "Je, unatumia cement sahihi kwa kazi yako ya ujenzi? Soma hapa ujue tofauti za aina za cement na matumizi sahihi kulingana na mahitaji ya mradi wako."
  16. Kubana matumizi ya serikali ni kwa ajili ya kuboresha maisha ya wananchi

    China hivi karibuni imetangaza kurekebisha Kanuni za Idara za Chama cha Komunisti cha China na Serikali za Kubana Matumizi na Kupinga Ufujaji, na kufafanua kuwa idara za Chama na serikali zinapaswa kubana matumizi, ili kuhakikisha rasilimali nyingi zaidi za umma zinatumiwa kwa ajili ya kuboresha...
  17. Matumizi ya pombe kupungua kwenye nchi ni habari nzuri au mbaya?

  18. S

    Unahitaji kupunguza matumizi ya kifurushi Cha Intaneti kwenye PC kompyuta Yako?

    Unahitaji kupunguza matumizi ya kifurushi Cha Intaneti kwenye PC kompyuta Yako? Jipatie Data saver programu. Utaokoa matumizi ya kifurushi Chako Cha Intaneti Eneo: Dar es salaam, Mbezi Gharama: 10,000 Tshs Mawasiliano: 0756704145
  19. Matumizi Mabaya ya Madaraka: Jinsi Watoto wa Saddam Hussein Walivyotawala kwa Hofu na Kuongoza Magenge ya Kikatili

    Watoto wa Saddam Hussein, hasa Uday Hussein na Qusay Hussein, walijulikana kwa kutumia madaraka ya baba yao kwa namna ya kikatili na ya kupindukia, na walihusishwa na vitendo vingi vya ukandamizaji, unyanyasaji, na uongozi wa magenge ya kijeshi na kijasusi ndani ya Iraq wakati wa utawala wa...
  20. Qattar inasema inataka iweke wazi kwamba Marekani ndiyo iliyoiomba iwapatie ndege moja kwa matumizi ya rais

    Tangu raisi Trump atembelee nchi tatu za kiarabu za mashariki ya kati na kupewa zawadi kede kede minongono imekuwa mingi hasa juu ya Qattar kuipatia Marekani ndege moja ya fakhari sana kwa matumizi yake ya kumsaririsha raisi huku na huko ndani na nje ya nchi. Hatimae Qattar imesema kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…