matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    The Battle of AI : Kwa uzoefu na matumizi yako, ni AI ipi umetokea kuikubali zaidi ?

    Katika matumizi yako ya teknolojia ya Artificial Interlligence (AI) ni ipi umetokea kuikubali zaidi CHAT GPT (Open AI) GROK DEEP SEEK CO PILOT GERMINI (GOOGLE) n.k.
  2. Jennifer Bilikwija Jovin, ashitakiwa kwa Uhaini kwa Sababu ya Kuhimiza Umma Kutumia Barakoa kwa Usahihi

    Kushoto: NIffer akiwa katika make-up yake katika sura ya kikazi. Kulia: NIffer akiwa anashuka kutoka kwenye karandinga la magereza mahakamani kwa kuchechemea, kuashiria kuwa amepigwa hadi kuteguliwa mguu. Jennifer Bilikwija Jovin, maarufu kama "Niffer" ni Mwandishi wa Habari, Mwanamitindo na...
  3. K

    Haya ndiyo matumizi ya Tsh 600B za uchaguzi!!! Tusishangae vijana kuchoma nchi

    Wakati vijana wanamaliza vyuo na mikopo, nchi nayo inakopa sio kwa kuwasaidia vijana wetu bali inakopo na kutumia pesa kununua ma range rover , VX na chaguzi kama hizi. Serikali imetumia Tsh Billion 600 kwenye huu uchaguzi ambao tumeona waziwazi kura zinaibiwa, kura hata hazijahesabiwa, vurugu...
  4. M

    GE2025 Thabit Kombo: Mpaka sasa hakuna matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29. Akizungumza na kituo cha televisheni cha Al-Jazeera siku ya Ijumaa, Waziri Kombo amesema hadi sasa hakuna...
  5. SI KWELI Nanasi huharibu ujauzito

    Nanasi ni tunda lenye faida lukuki kwa afya. Miongoni mwa faida za tunda hili ni kuongeza kinga ya mwili, kutibu mafua, kupambana na saratani, kuondoa maumivu pamoja na kulinda moyo. Pamoja na uwepo wa faida hizi kwa afya, nanasi huhusishwa na changamoto ya kuharibika kwa ujauzito kwa...
  6. GE2025 Polisi: Watu 6 wanaodaiwa kukamatwa kwa njia ya kutatanisha, walikamatwa kwa mujibu wa taratibu za kisheria

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya mambo mawili yanayosambazwa kupitia Vyombo vya Habari. Jambo la kwanza ni kuhusiana na majina ya watu saba ambao inapotoshwa walikamatwa katika mazingira ya kutatanisha na kwamba ni ukandamizaji. Ni kwamba miongoni mwa watu...
  7. R

    Maelfu waandamana Ubelgiji kupinga Mageuzi ya Serikali ya kubanwa kwa Matumizi

    Maelfu ya watu wamejitokeza barabarani jijini Brussels, Ubelgiji, wakishiriki katika mgomo wa kitaifa kupinga mageuzi ya serikali na hatua za kupunguza matumizi, ambazo zimepelekea usafiri wa anga na wa umma kusimama Vyama vikubwa vitatu vya wafanyakazi nchini humo vimeungana kulalamikia sera...
  8. A

    DOKEZO Ukimya magari yenye alama zinazoendana na JWTZ, je raia wengine waige au ni maalum kwa Makonda tu?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amekuwa katika yadhifa za uongozi kwa muda mrefu sasa, kwa nafasi ambazo ameshika, anafahamu kwamba kuna mambo yanayohitaji mipaka. Kabla sijaendelea niweke wazi kuwa ni vizuri kwa kiongozi kuwa Mbunifu, lakini si vyema kuvuka mipaka kwa...
  9. Hamtaki mtoto aende kwa Baba ila matumizi mnataka hivi mmerogwa au shida nini?

    Unakuta umezaa na mdada ila kila ukimuomba mtoto aje anakataa unapewa sababu ambazo hazina msingi wowote. Yaani anataka uwe unatuma tu pesa ya matumizi ila kumchukua mtoto hataki, na hizo hela ni kila siku kutuma au wametugeuza vitega uchumi vyao kisa tumezaa nao? Kwanini tutake watoto wetu...
  10. Uthibiti wa Matumizi ya Mapanga/Machetes Nchini Tanzania

    ulinzi ni jukumu la kila raia , sasa tukiweka ulinzi tu kwa viongozi pekee tukawaachia raia mzigo mkubwa wa ulinzi wao. itakuja kuwa backfire vibaya sana. sio salama sana viongozi kuzungwa na watu wengi wa hovyo(wasio fuata taratibu na sheria/( kujichukulia sheria mkononi)). ili jamii nzima...
  11. Matumizi ya Pemba Yanavyosababisha Mtindio wa Ubongo na Saratani

    Matumizi ya pemba yamebainika kuongeza hatari ya kupata maradhi ya saratani, pamoja na kuongeza uwezekano wa mtoto aliye tumboni kuzaliwa akiwa na mtindio wa ubongo. Hayo yameelezwa na Dkt. Joseph Mwanga, mhadhiri mwandamizi wa Afya ya Jamii kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi...
  12. Vipato vyetu na matumizi ni maji na mafuta kiukweli kwa maisha haya Tanzania

    Maisha ya tanzania watu wanapitia maisha magumu sana na sote pia tuliopo hapa jamiiforum. Kwa maisha ya tanzania kutimiza ndoto kama Dream country ilivyo nchi kubwa ni ngumu. Mfano na rafiki yangu baada ya kuona bongo ishakuwa malawi alichokifanya kutimkia kwa trump. Kazi anazofanya kama...
  13. Ijue historia ya nguo ya ndani(BIKINI)aina zake na matumizi yake!

    Historia ya chupi ya bikini Bikini ni aina ya vazi la kuogelea (swimsuit) au nguo ya ndani yenye vipande viwili – juu (bra/top) na chini (panty). Mwanzo wake: Enzi za kale: Wazo la bikini si jipya. Picha za kale za Warumi na Wagiriki kwenye sanamu na michoro zinaonyesha wanawake wakiwa...
  14. Nani anajua matumizi ya hili tundu kwenye kisu au Visu

    Nimejaribu kuwaza sana matumizi ya hili tobo kwenye kisu ni nini nikapata machache tu,sasa naomba mnajuze wajuzi wa mambo
  15. Kama una chochote ambacho huna matumizi nacho iwe tv, simu, kabati, baiskeli, godoro weka hapa kwenye huu Uzi, na mnunuzi au Mwenye kuhitaji anunue

    Wakuu salam! Yawezekana ukawa nyumbani na kitu,vitu ambavyo huna matumizi navyo, mf godoro labda umeshanunua lingine na Kwa sasa haulitumii,kabati,tv,radio, jiko,simu,meza,sofa n.k Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kusaidiana wale wenye kipato Cha chini au wanaoanza maisha kujipatia vitu Kwa Bei ya...
  16. M

    Ustaarabu kwa watanzania au waafrika kiujumla bado mdogo sana, Please Ukiazima gari au pikipiki rudisha ukiwa umefidia mafuta uliyochoma

    Ukiazima gari, hakikisha unarudisha na mafuta yale yale uliyokuta au hata zaidi. Si uungwana kurudisha chombo kikiwa na mafuta yaliyopungua.
  17. Kupunguza Matumizi na Kujenga Uwajibikaji wa Kiserikali Tanzania

    Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, ambapo mapato ya serikali mara nyingi hayalingani na matumizi yake. Badala ya rasilimali nyingi kuelekezwa katika maendeleo ya wananchi, sehemu kubwa ya bajeti imekuwa ikitumia kwa marupurupu ya wanasiasa, safari zisizo na tija, na matumizi...
  18. Tuige mfano wa Ethiopia kuhusu matumizi ya cheo cha Daktari

    Ethiopia imepiga marufuku watu wasiosomea udaktari kuitwa au kujiita madaktari ima kwa sababu ya udaktari wa. heshima kama ule wa Jakaya Kikwete na Samia au wa kununa kama ule wa Gwajima na Msukuma. Nasi, kama taifa lenye watu wanaoona mbele hata kama tupo wachache, tupige marufuku ukilaza huu...
  19. Baadhi ya Wanachama wa CHAKUHAWATA wadai Uongozi wao ndio tatizo, waomba mapato na matumizi yawekwe wazi

    Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Mkoa wa Katavi, Mwl. Benjamin Masingija Masai na Mwl Nyavidunda David Mhule wametoa maoni yao wakidai kuna mambo yanayoendelea na yanachangia kukipunguzia nguvu chama hicho. Wameyasema hayo August 19...
  20. Nitazipata wapi pepeta (rice flakes) nchini? Nipo Mbeya

    Habari wanajamvi, naomba msaada wenu. Natafuta pepeta (rice flakes) kwa ajili ya matumizi ya biashara ya vyakula. Nipo Mbeya lakini niko tayari kuagiza hata kutoka nje ya mkoa kama kuna wauzaji wa jumla au rejareja. Naomba mnisaidie kujua ni wapi naweza kuzipata au hata kama kuna mtu anayeuza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…