matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Matumizi ya nguvu badala ya akili ndiposa Dr Kigwangala akawipigisha push up watendaji Jaffo akamtisha mkandarasi hadi akazimia!

    Mambo ya kitemi na kutishana sasa mwisho ni lazima watendaji watende kwa mujibu wa sheria. Dr Kigwangalla kawaombe radhi wale askari wanyama pori uliowapigisha push ups ( mzaha siyo mzaha) vinginevyo utaendelea kudata. Jaffo kamwombe radhi yule mkandarasi uliyemfokea hadi akazimia...
  2. J

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna mivutano kati ya Makatibu wakuu na Manaibu makatibu wakuu hasa naibu akihoji matumizi ya fedha!

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango amemtaka Katibu mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga kuwaangalia kwa makini Makatibu Wakuu wa Wizara na Manaibu wao kwani kuna kutoelewana kwingi. Dkt. Mpango amesema inakuwa nongwa pale Naibu Katibu Mkuu anapomhoji Katibu Mkuu kuhusu matumizi ya fedha. Dkt. Mpango...
  3. Kuna Tofauti Baina ya "Uwongo" na "Kutokuwa Kweli": Tuwe Makini na Matumizi yake Kwenye Mijadala

    Kusema Uwongo ni tendo kutoa taarifa zisizokuwa kweli kwa makusudi kabisa ili kuficha ukweli. Mtu anayesema uwongo ni mwongo, na akitoa ushahidi wa namna hiyo mahakamani anaweza kuhukumiwa kwa kuidanganya mahakama. Kutoa taarifa zisizokuwa kweli kwa ama kudhani kuwa ni za kweli kabisa...
  4. K

    Hili la Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni "mchafukoge" tafakari

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake. Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual. Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano...
  5. Rais Samia Suluhu Hassan: Niwahakikishie kwenye hili la makusanyo na matumizi ya pesa za Serikali nitasimama imara

    Musa aligawa maji bahari ya Shamu taifa la Mungu likavuka. Ila Joshua yeye alikausha kabisa maji ya mto Jordan taifa la Mungu likavuka. Joshua 3: 7. "Bwana akamwambia Yoshua, Hivi leo nitaanza kukutukuza mbele ya Israeli wote, wapate kujua ya kuwa mimi nitakuwa pamoja na wewe, kama nilivyokuwa...
  6. Tumuenzi Rais Magufuli kwa kubana matumizi yasiyo ya lazima

    Rais Magufuli (RIP) hakupenda matumizi ya hovyo kabisa kwenye maisha yake ya uongozi. Hivyo, hata kwenye mazishi yake lazima tuzingatie matumizi ambayo yanaongeza gharama ambazo sio za lazima katika kupunsishwa kwake kwenye nyumba yake ya milele ili pesa hizo zielekezwe kwenye ujenzi wa miradi...
  7. Miundo ya utawala wa Tundu Lissu na Magufuli inaweza kufanana, tofauti ndogo ni kwenye matumizi ya sheria na diplomasia

    Nimejaribu kwa muda mrefu kuwafananisha hawa viongozi wawili ambao mmoja ametangulia mbele za haki kwa mapenzi ya Mola, Hawa viongozi wawili ni Energetic na Ni wakali sana kwenye rasilimali za nchi na ni wazalendo wa kweli. Tofauti ya ndogo iko katika vipande hivi; 1. Tundu Lissu ni mwanasheria...
  8. J

    Ulaya yazuia matumizi ya chanjo ya Astra Zeneca, Rais Magufuli alikuwa sahihi kutokimbilia chanjo

    BBC Dira ya Dunia inaripoti kuwa zaidi ya nchi 10 zimezuia matumizi ya chanjo ya Corona iitwayo Astra Zeneca inayosababisha damu kuganda kwa baadhi ya watu. Nchi hizo zimesema inabidi zifanye uchunguzi na utafiti wa kutosha kuhusu usalama wa chanjo hiyo kabla hazijaruhusu tena. Rais Magufuli...
  9. Nkasi: Watumishi 2 kuswekwa ndani kutokana na matumizi mabaya ya fedha

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Tekinolosia Mhe.Omari Kipanga amemwagiza mkuu wa wilaya ya Nkasi Saidi Mtanda kuwaweka ndani watumishi wawili akiwemo mkuu wa chuo cha maendeleo ya jamii cha Chala pamoja na katibu wa kamati ya ujenzi wa chuo hicho kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za...
  10. B

    Kwanini Nchi nyingi Duniani zinakataa matumizi ya Chanjo ya AstraZeneca?

    Tangu kuingia kwa Virusi vya Corona wataalamu wa Afya wamepambana kutafuta dawa na chanjo kukabiliana na gonjwa hili hatari bila mafanikio. Hivi karibuni ziligundulika chanjo mbalimbali ikiwemo ASTRAZENECA ambayo ilipitishwa na Shirika la Afya Duniani kuanza kutumika kwa binadamu ili kupunguza...
  11. Dkt. Faustine Ndugulile agusia kuhusu matumizi ya fake account. Serikali kuja na sheria ya kulinda faragha

    Habari wadau..! Leo kwenye mahojiano ya Waziri Dkt. Faustine Ndugulile akiwa kwenye mahojiano katika kipindi cha dakika 45 kinachoendeshwa na mtangazaji Farhia Middle wa ITV amegusia kuhusu suala la fake akaunti a.k.a fake ID maana kuna watu wanatamba sana as if wapo pinguni hawawezi kukamatwa...
  12. Uholanzi kusitisha matumizi ya chanjo ya AstraZeneca

    Uholanzi nayo imeamua kusitisha matumizi ya chanjo ya corona ya Oxford-AstraZeneca kwa kuhofia kuwa na madhara. Serikali ya Uholanzi imeamua kuchukua hatua hiyo mpaka Machi 29 ili kuchukua tahadhari. Awali Jamuhuri ya Ireland ilichukua uamuzi huohuo kwa kuhofia hatari ya watu kuganda damu baada...
  13. Thailand yasitisha matumizi ya AstraZeneca kupisha tathmini zaidi

    Thailand leo imejiunga na mataifa kadhaa ya Ulaya kusitisha matumizi ya chanjo ya AstraZeneca kutokana na wasiwasi kuwa inasababisha kuganda kwa damu, licha ya baadhi ya mamlaka za afya duniani kusisitiza kwamba chanjo hiyo ni salama. Mshauri wa Kamati ya Taifa ya Kusamimia Chanjo ya Virusi vya...
  14. J

    Pongezi Wabunge wa kamati ya maendeleo ya jamii kwa kutumia basi la Shabiby kuja Mbeya, mmebana matumizi!

    Ni jambo jema kuwashuhudia wabunge wa kamati ya maendeleo ya jamii wakiwasili jijini Mbeya kikazi kwa kutumia basi la Shabiby. Mmeonesha mfano mzuri wa kubana matumizi tofauti na mabunge yaliyopita ambayo yalitumia zaidi ndege na magari madogo ya gharama. Pongezi zimwendee Spika Ndugai na...
  15. Nilichokiwaza nilipoona matumizi ya Serikali

    Mmmmh! Siku ya kwanza binafsi kuona bajeti ya jumla ya serikali nilimuuliza rafiki yangu xxxx kwamba hivi tutafanikiwa kweli kama ulaya sisi? Niliuliza hivyo bila kuelewa vizuri maana binafsi nilivyoona salaries na wages inaichukua serikali pesa nyingi nilisikitika sana moyoni. Nilisikitika...
  16. Malumbano la hoja: Mchangiaji ashangaa jiji la Dar kuvunjwa kwa kisingizio cha kubana matumizi , ashangaa Chanika kuwa jiji magomeni kuwa nje ya jiji

    Akizungumza kwa kujiamini mmoja wa wachangiaji amepinga kuvunjwa kwa jiji kulikoleta mkanganyiko wa hadhi ya maeneo , kwa kutolea mfano wa Chanika kuwa jijini huku Magomeni , Kinondoni , Masaki , Temeke , Mwenge na Mbezi Beach kuwa nje ya jiji . Ametoa plan ambayo kama ingefanyiwa kazi basi...
  17. Kama unajua matumizi ya iki kifaa PEPO utaishia kuisikia tu

    Wajomba kama unajua kazi ya hiki kifaa nenda katubu kwa Muumba wako haraka sana.
  18. Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??

    Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??
  19. R

    Maswali kuhusu matumizi ya stendi mpya ya mabasi Mbezi (so-called Magufuli)

    Kuna tangazo linasema safari zote zitaanzia stend mpya Magufuli. Tangazo linazidi kusema mabasi makubwa wakodishe mini bus kuwasafirisha abiria kuwaleta stend mpya au wawaelekeze abiria kuja Mbezi. Sasa swali: 1. Anayekwenda Mtwara na yuko Mbagala, naye aje Mbezi? maana tangazo linasema stend...
  20. SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…