matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Uhamasishaji matumizi ya Chanjo dhidibya Covid 19 tupewe kazi hii nyepesi sisi Chadema. CCM na Serikali mmeshindwa. Hamna uhalali wa kuihubiri

    Huu ndio ukweli. Sasa umegeuka kuwa aibu hata kwa Mkuu wa Nchi. Haiwezekani mtu yule yule aliyepinga na kutushawishi kutumia matunguli leo anageuka na kutushauri vinginevyo. Hawezi kuaminika hata uwe Waziri, Mkuu wa Mkoa, DED au mkuu wa vyombo vyenye nguvu. Hii kazi ni nyepesi inahitaji weledi...
  2. Ufilipino: Matumizi ya dharura ya Moderna yaidhinishwa kwa wenye miaka 12 hadi 17

    Taifa hilo limeidhinisha matumizi ya dharura ya Chanjo dhidi ya COVID-19 ya Moderna kwa Watoto wa kuanzia umri wa miaka 12 hadi 17. Kwa mujibu wa takwimu za WHO, Ufilipino imerekodi maambukizi 2,020,484 Mamlaka ya Chakula ya Dawa Nchini humo imesema kutokana na Kirusi cha Corona aina ya Delta...
  3. O

    Baada ya Idadi, tunahitaji kujua na muda wa Matumizi ya Chanjo

    Tangu tarehe 4 hadi sasa Waliopokea Chanjo ya Uviko ni wananchi wapatao laki 3 na kadhaa sawa na 30% ya chanjo tulizopokea, ambayo ni sawa na mwezi mmoja tangu kuanza kutolewa, Kama Serikali itaendelea na Kasi hii itachukua miezi 3 na kadhaa kuzimaliza hizi chanjo. Hoja yangu kwa serikali, Kama...
  4. S

    Ni vyema Wizara ya Fedha ikajua kuwa uhalisia wa matumizi ya tozo sio maneno ya namba watanzania wanasubiri kuona

    Ni kama vile watanzania wamekubali yaishe , japo malalamiko mengi bado yanaendelea katika mitandao ya kijamii , huku serikali ikijitahidi kuwaaminisha watanzania juu ya matumizi ya tozo zinazowaumiza kila kukicha . Kumekuwa na kupiga kwingi kwa kelele katika vyombo vya habari huku wizara ya...
  5. SoC01 USHAURI: Matumizi sahihi ya Fedha za Pensheni kwa Wastaafu

    Fedha za pensheni ni malipo anayopewa mwajiriwa (mfanyakazi) baada ya kustaafu kazi/ajira yake. Huwa ni fedha nyingi ukilinganisha na fedha ambazo huyo mfanyakazi/mwajiriwa aliwahi kumiliki hapo kabla. Wastaafu wengi kutapeliwa Hivi karibuni kumezuka matukio mbalimbali yakiwahusisha wastaafu...
  6. Bei za gesi zipungue ili matumizi ya mkaa yapungue

    Kushuka kwa bei za gesi asilia kutaongeza matumizi ya gesi asilia hivyo kupunguza matumizi ya mkaa ama mkaa usitumike kabisa. Hii ni njia mojawapo ya kutunza mazingira yetu. Hii itapunguza kukata miti hovyo na kutunza uoto wa asili Kuwa na hali ya hewa safi kwa vile miti hutumia hewa chafu...
  7. Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    "Wakili msomi" ina maana gani? Je kuna wakili "asiye msomi"? inamaanisha nini? Msaada tafadhali.
  8. Nimepata ajira wife ameongeza matumizi ya pesa zaidi ya mara mbili

    Habarini wapendwa.
  9. Natatizwa na matumizi ya maneno Kundi na Kikundi.

    Pamoja na sintofahamu ya maneno hayo ninayokutana nayo lakini hii sasa inapelekea kukosa umakini wa maneno hasa Kundi na Kikundi. Kawaida kwenye vyombo vya habari hasa DW au BBC lugha ya Kiswahili husikia wakitamka Kundi la Taliban la huko Afghanistan. Jana kwenye taarifa ya habari ya saa mbili...
  10. M

    Nimekutana na ex wangu akiwa kachoka

    Kuna dem nilikuwa nae niweke rough tu hapa matumizi yake yalikuwaje Kodi 350k Mafuta gari 50(week) Matumizi(chakula maana alikuwa hapend kupika 100k weeks) Dinner za pamoja kwa wek zaid ya 200k Nywele karibia 60k kila week Kucha 15 kweek Matimizi binafsi 50k week Na mengine mengi Halaf mpuuzi...
  11. M

    Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba?

    Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba? Serikali naona imeamua kufanya jambo lenye faida huku likiwa na uonevu uliokithiri! Hivi inakuaje kwa mmiliki mwenye vijumba vidogo mfano vitatu kwenye hati moja ya nyumba! Ambayo alirahisisha kwa ku-request meter luku zaidi ya moja...
  12. SoC01 Upataji fursa, ajira kwa haraka kwa matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii

    Namna nzuri ya kuitumia mitandao ya kijamii kupambana na soko la ajira pia kufumania fursa mbalimbali kutokana na uhitaji wako. Vijana waliohitimu vyuo vikuu wanalalamika hakuna ajira hii makala itasaidia vijana ambao bado wako vyuo na waliomaliza pia wakulima, wafanya biashara nk. Kwa...
  13. K

    Je, hizi fedha anazotoa Mhe. Rais zinatoka kwenye fungu gani?

    Leo nimeshuhudia kupitia luninga Mhe. Waziri Mkuu akihabarisha umma wa Watanzania kuwa Mhe. Rais ameridhia kutoa Tshs.300 billioni kwaajili ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali pale Dodoma ikiwa ni pamoja na Ikulu. Sasa swali langu:- Bunge lina utaratibu wa kujadili bajeti na kuipitisha...
  14. SoC01 Je, umejiandaa na mabadiliko ya mfumo wa fedha?

    Katika hatua za mwanzo kabisa za Maisha ya mwanadamu hakukuwepo na kitu kinaitwa Pesa. Njia pekee ya kununua na kuuza ilikuwa ni kupitia mabadilishano. Unahitaji ngombe wangu unanipa gunia kadhaa za mahindi. Tumemalizana, kitaalamu iliitwa Barter Trade). Mfumo huu ulikuwa na mapungufu mengi...
  15. Bwawa la umeme la Julius Nyerere liwe kichocheo cha matumizi ya nishati ya umeme katika kupikia

    Mradi wa bwawa la kufua umeme wa maji la Julius Nyerere ulioko katika mto Rufiji unategemewa kukamilika juni 2022.Bwawa hilo linatarajiwa kuzalisha megawati 2115 ambazo zikichanganywa na megawati zilizopo zitaifanya Tanzania kuwa na umeme mwingi utakaotosheleza mahitaji ya ndani na ziada kuuzwa...
  16. Waliobadilishiwa tozo bila kubadili matumizi watakiwa kuripoti TANESCO

    NAIBU Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amesema watumiaji wa Umeme Waliobadilishiwa Tozo za kutoa huduma (TARIFF) kutoka kundi moja kwenda jingine pasipo wao kubadilisha matumizi halisi watoe taarifa katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ili kufanyiwa marekebisho ya tozo hizo...
  17. K

    Kati ya vitu vifuatavyo, nini kifuliwe/kuoshwa kabla ya matumizi

    Suti Blanketi Shuka Suruali Shati Underwear Mtumba(wowote) ONGEZEA tafadhali!
  18. Ni kozi gani nisome ili niweze kujifunza matumizi ya Ultrasound?

    Habari, Naomba kujua ni kozi gani ya Certificate au Diploma ambayo nikisoma ndani yake kuna mafunzo ya Ultrasound? Na pia ni vyuo gani wanatoa kozi hiyo? Natanguliza Shukurani.
  19. C

    Wizara ya afya, ijifunze na itoe maelekezo ya matumizi ya dawa iitwayo "Ivermectin" kwa kutibu wangojwa wa Corona

    Bila kuremba, Serikali itoe maelekezo ya matumzi ya dawa hii katika kutibu Corona kama iliyvogunduliwa kule Israel kuwa inatibu corona. "That has been known since the start of the pandemic. But that has been wilfully ignored, otherwise, the vaccine could not get its emergency approva"l...
  20. Kuna mtu ameshatumia huduma ya gesi ya kulipa kadri ya matumizi yako?

    Habari, Kuna huduma ya kutumia gas kadri ya kiwango unachoweza kununua kama ilivyo luku, kiufupi pale kwenye mtungi inafungwa digital meter na ina mawasiliano na kampuni husika. Kwa mujibu wao unaweza nunua gas ya elfu kuanzia hata elfu moja na ikikata unanunua tena pia mtungi ukikaribia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…