matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

    Ma bro hamjambo....... Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri. Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha...
  2. S

    Matumizi mabaya ya Maombi

    Unaishi kihuni hujali HAKI za watu. Wakidai HAKI zao unawaona maadui. Yanakukuta yakukukuta ambayo kimsingi ni mavuno ya Mbegu mbovu uliyoipanda unaanza kutaka tukuombee. Hapo hamna namna zaidi ya kufanya amani na wote uliowadhulumu HAKI zao au uwajibike kivyako kwa matendo yako. Waombaji...
  3. Wanaume wanne wakamatwa Kenya kwa kusafirisha Malkia wa Siafu hai. 5,000 wakutwa kwenye mirija

    Wanaume wanne wawili raia wa Ubelgiji, mmoja wa Vietnam na Mkenya mmoja wanashikiliwa nchini Kenya kwa tuhuma za kumiliki na kufanya biashara ya kusafirisha Malkia wa Siafu walio hai. Washtakiwa hao wamekiri makosa yao mbele ya Hakimu Mwandamizi Njeri Thuku katika Mahakama ya Uwanja wa Ndege...
  4. Matumizi ya Akili Mnemba kwenye taaluma ya habari

    Katika enzi ya kisasa ya kidijitali inayobadilika kwa kasi, ujumuishaji wa akili bandia (AI) katika tasnia umesababisha mabadiliko ya uandishi wa habari . Teknolojia za AI zinaunda upya jinsi habari zinavyokusanywa, kuchambuliwa na kusambazwa. Wakati maendeleo haya yana ahadi ya ufanisi zaidi...
  5. Maswali Yanayoulizwa kuhusu Matumizi ya Akili mnemba katika Taaluma ya Uandishi Wa Habari

    Maswali yanayoulizwa mara kwa mara 1. Je, AI inaweza kuchukua nafasi ya waandishi wa habari wa kibinadamu kabisa? Hapana, AI inatazamwa vyema kama zana inayoongeza uwezo wa uandishi wa habari, lakini uangalizi wa kibinadamu na uamuzi wa kimaadili unasalia kuwa muhimu kwa kudumisha ubora wa...
  6. S

    Windows 7,8, 10, 11. Okoa kifurushi Cha Intaneti na data saver 99%

    Data saver 99% software inasaidia kudhibiti matumizi ya kifurushi Chako Cha Intaneti kwa kuchagua programu gani itumie intaneti kwa wakati unaotaka kwenye kompyuta (Windows OS 7, 8, 10, 11) yako. Programu inauzwa 30,000 Tsh. Kumbuka bila kuwa na hii programu kifurushi Chako Cha Intaneti...
  7. Mbio za mwenge na matumizi ya watoto wa halaiki

    Wana bodi huu upuuzi wa kutumia watoto katika halaiki na kuwalipa 3,000/= ni aibu. Yaani watoto washiriki mazoezi kwa muda wa wiki tatu(3) na gharama za usafi ni kwa wazazi, kisha baada ya kukamilika zoezi hilo wanaambulia tracksuits na Shilingi 3,000/=. Wakati wakuu wa idara wanapewa nauli...
  8. Nauza Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) kwa matumizi ya ofisi na binafsi

    Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi: Printing,scanning and photocopying Bei: Tsh 350,000/= Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521 Ofa: wino+ Rimu
  9. Waratibu wa Shindano la urembo la Miss Ivory Coast 2025 wapiga marufuku matumizi ya Wigi

    Waratibu wa Shindano la Urembo la Miss Ivory Coast Mwaka 2025 wamepiga marufuku matumizi ya washiriki kuvaa nywele bandia (Wigs) au kuongeza nywele bandia katika sehemu za nywele zao Mratibu wa Shindano hilo linaloanzia hatua ya awali katika Miji 13, Victor Yapobi amesema “Tunataka Washiriki...
  10. T

    Serikali badilisheni matumizi ya misitu ya makongo na changanyikeni ziwe public parks. Tunakosa activities hapa Dar

    Habari wakuu Kwako mama Samia Suluhu na waziri wa ardhi wa JMT Dar es salaam imekuwa ni kijiji ambacho kimezungukwa na Bar kila kona, Kelele na kumbi za sherehe huku beach zetu nazo ni chafu sana Sisi tusiopenda vitu vya namna hiyo, tunakosa mahali pa kwenda kupumzika na kupeleka watoto. Si...
  11. Matumizi holela ya dawa, ni tiba au sumu?

    Aliamka asubuhi akiwa na maumivu ya kichwa, Akaenda duka la dawa, akaeleza dalili, na kupewa dawa. Bila vipimo, bila ushauri wa daktari,Siku mbili baadaye hali yake ikawa mbaya zaidi. Hii si hadithi tu ila hii ni hali halisi ya maelfu ya Watanzania. Bi. Fatuma Yusuph ni mmoja wa mashuhuda wa...
  12. UMATI - Tanzania, msipojipanga ,kubana matumizi, mradi wa afya ya uzazi, unakufa asubuhi na mapema, kufuatia kujiondoa kwa Marekani WHO!

    Kupunguzwa kwa misaada rasmi ya maendeleo, hususan kutoka kwa nchi kama Marekani, kumeathiri pakubwa shughuli za Shirika la Afya Duniani (WHO) na miradi yake, ikiwemo ile inayohusiana na afya ya uzazi. Hali hii inasababisha changamoto kubwa katika utekelezaji wa mipango ya afya, hasa katika...
  13. Kiwanja kwa matumizi ya sheli kinauzwa Chumbuya Songwe

    Kiwanja kwa matumizi ya sheli kinauzwa Chumbuya mkoa wa Songwe kiwanja sq 2800. Tshs. 300m mazungumzo yapo. Wasiliana nasi +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  14. Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe,

    Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe, kiwanja kina ukubwa wa sq 2500, kina hati kwa ajili ya matumizi ya kituo cha mafuta Tshs 350m. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050 nyote mnakaribishwa!!
  15. Wizara na BoT Tuwekeeni Upembuzi unaoonesha kila awamu ilikopa Jumla ya shilingi ngapi !?

    Ukiangalia line progressive ya deni, ndani ya miaka 4 Samia ameweza kukopa fedha nyingi kuliko awamu zote. Over 50% as last update of march 2021 Viongozi wa CCM, machawa wa CCM. na Vijana futureless wa CCM wamekuwa na majibu ya jumla jumla miaka yote kwa kupamba awamu husika kuwa deni la...
  16. Mikopo ya awamu ya tano matumizi yanaonekana, Mikopo ya awamu hii ambayo ni mikubwa zaidi imetumikaje?

    Mikopo ya awamu ya Tano; Treni ya kisasa ya SGR Bwawa la umeme la Nyerere (JNHEP) Daraja la Kigogo - Busisi Tanzanite Bridge John Kijazi interchange Mfugale Flyover Ubungo Bus Terminal JK Nyerere international airport Terminal 3 Magufuli city - Dodoma Barabara za Mwendokasi - BRT Ikulu mpya -...
  17. Ripoti ya CAG: Matumizi yasiyokuwa na tija ni zaidi ya Bilioni 300

    Huyu ndiye anaomba kurudi tena ikulu kwa miaka mingine mitano
  18. Muda wa matumizi ya ving'amuzi vya TV kwanini usihesabiwe kwa siku halisi za kutazama?

    Kwa mfumo wa sasa wa malipo ya ving’amuzi vya TV, kifurushi cha mwezi hukatika baada ya siku 30, bila kujali kama mtumiaji ametazama TV kila siku au la. Hii inamaanisha kuwa hata ikiwa mtu hajaangalia TV kwa muda mrefu ndani ya mwezi huo au hata mwezi mzima, bado atalazimika kulipia kifurushi...
  19. Kwanini Serikali isipunguze Matumizi ya Fedha za Kigeni ?

    Kama taifa kuhangaika kutafuta Pesa za wengine kwa uhai na mustakabali wa taifa letu ni kuwa tegemezi. Sina shida kabisa na watu binafsi / wafanyabiashara kutafuta hizi pesa kulingana na mahitaji yao na nini wanataka, hao siwapangii ila kuna matumizi yanayohitaji pesa hizi yasio ya lazima na...
  20. Kanuni ya matumizi ya Hekima na Busara iongezwe kwenye kanuni za uendeshaji wa ligi...kuna kanuni hazitekelezeki zinawafanya viogozi waonekane opress

    Nimefatilia vizuri mahojiano ya mwenyekiti wa Bodi ya ligi ndugu Steven Mguto na chombo cha habari cha mwananchi digital...kimenifanya nitafakari upya mtazamo wangu kuhusu hili sakata linaloendelea la bodi ya ligi kuhairisha mechi ya derby ya tarehe8...Mzee Mguto anakiri kwa maneno yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…