matokeo

  1. Bagonza: Tanzania ina tatizo la mmomonyoko wa Maadili. Watu wanaheshimu matokeo kuliko mchakato uliotumika kupata matokeo husika

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, alipohojiwa na MwanaHALISI Online juu ya maoni yake kuhusu sakata la CHADEMA. Sakata hilo liliibuka baada ya wanachama 19 wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee...
  2. Urusi: Putin asema hatompongeza Biden mpaka Trump atakapoyakubali matokeo

    Vladimir Putin described the Kremlin's decision not to congratulate Joe Biden as "a formality" with no ulterior motives. Russian President Vladimir Putin said he's ready to work with any U.S. leader, but still isn't ready to recognize the election victory of Joe Biden. "We will work with...
  3. J

    Mbeya haimo kwenye 10 bora matokeo Darasa la Saba. RC Chalamila (Mwalimu), unafeli wapi?

    Nimeshangaa sana kutouona mkoa wa Mbeya kwenye 10 bora matokeo ya Darasa la Saba. Je, ni siasa zimetufelisha au tatizo ni nini? Yawezekana tuliendekeza siasa tukasahau watoto madarasani. Niishie hapo kama nimetazama vibaya niko tayari kusahihishwa. Maendeleo hayana vyama!
  4. Tokea tuanze kupelekana polisi kila timu inapata matokeo inayostahili

    Yanga inahujumiwa?
  5. Nchi za Ulaya, Marekani na Asia; heshimuni matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    WanaJF, Salaam! Nimeandika machache tu kuhusu nchi zenye rekodi ya ukosoaji na ufuatiliaji wa masuala ya uchaguzi na matokeo yake barani Africa ikiwemo Tanzania. Jumuiya za kimataifa zinapaswa kuheshimu matokeo ya uchaguzi mkuu uliowaweka wagombea wengi wa CCM madarakani kwa kuwa utashi wa...
  6. R

    Waziri wa Elimu, Prof. Ndalichako, tunaomba NACTE watoe matokeo ya Wanafunzi kwa mtindo wa NECTA. Vyuo vimegoma kutoa matokeo ya muhula 2/2020

    Kumekuwepo na matatizo makubwa NACTE mnapotuma matokeo ya watoto vyuoni. Mtoto hawezi kuyaona ontime pia na wazazi. Kumekuwa au kuna uwezekano mkubwa hata wa ku- manipulate/ku-temper na ufaulu wa watoto kwa faida ya chuo/walimu etc. Maadam chuo ndicho kinamwonesha mwanafunzi matokeo, chochote...
  7. R

    NACTE: Toeni matokeo ya mitihani kwa kufuata mfumo wa NECTA

    Mojawapo ya wadau muhimu wa matokeo ya mitihani kwa vyuo vya NACTE ni WAZAZI. Ni vema matokeo yakatolewa kama wanavyofanya NECTA ili iwe rahisi kwa wazazi kupata matokeo ya watoto wao kutoka kwenye reliable source kama website ya NACTE etc, siyo kusubiri kuambiwa na mtoto. Watoto wengine...
  8. K

    Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania: Kweli itaweza kuwa suluhisho kukubali matokeo ya uchaguzi?

    Wana JF, nimejaribu kuwaza sisi Tanzania katika nchi za Africa tunaosemekana kwamba ni "Third World Countries" mara nyingi tumekariri kwamba ili matokeo ya uchaguzi yakubalike na vyama vyote vinavyokuwa vinashiriki uchaguzi, ni lazima kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi Wenzetu wazungu (USA, U.K...
  9. Marekani: Rais Trump amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper

    Rais Donald Trump ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper baada ya wawili hao kushindwa kuelewana. Christopher Miller aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Ugaidi atachukua nafasi yake Esper alipishana kauli na Rais Trump kuhusu namna Ikulu (White House) ilivyotumia Jeshi wakati wa...
  10. Iran ndio nchi ya kwanza kufurahia anguko la Donald Trump

    Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kuiitoa nchi yake katika mkataba wa kimataifa wa mpango wa Nyuklia wa Iran. Ameutaja mpango huo kuwa si salama kwa Marekani na raia wake, huku akisema kuwa mpango huo ni kero kwa taifa la Marekani. Licha ya wito kutoka jumuiya ya kimataifa, Ufaransa...
  11. Aida Khenan: Kama sikususia Uchaguzi siwezi kususia matokeo, CHADEMA iliniteua nikashinde na siyo kushiriki Uchaguzi

    Mimi sijahama CHADEMA na wala sitegemei kuhama, mimi ni Mbunge mteule kwa hiyo nitawatumikia Wananchi kwa imani ambayo waliniamini, labda chama changu kitakavyoamua kama itakuwa vinginevyo basi itafahamika. "Niliahidi kutokusaliti chama changu na kwa maana hiyo siwezi kuwasaliti wananchi...
  12. GE2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

    1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa 2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC. 3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki. By JJ MANYIKA
  13. Trump hajakubali matokeo

    Dobald Trump hajakubali kushindwa katika Uchaguzi uliomfanya Joe Biden kuwa mshindi Trump amelalamikia udhaifu mwingi uliojitokeza katika uchaguzi na udanganyifu kadhaa uliopora ushindi wake Trump atafikisha malalamiko yake Mahakamani, lakini atapata changamoto ya kuthibitisha madai yake pia...
  14. E

    Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020: Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura

    Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020:Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura EPACopyright: EPA Ujumbe wa kimataifa umesema uchaguzi wa Marekani ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura na majaribio ya kwanza kabisa ya kushusha imani ya...
  15. J

    Baada ya matokeo ya Uchaguzi, kipi kuwa Chama kikuu cha upinzani?

    Matokeo yameonyesha kuwa ACT Wazalendo imepata wabunge 3, CUF imepata wabunge 3 na CHADEMA imepata mbunge 1. Hata hivyo kuna uwezekano wabunge wa CHADEMA kuongezeka baada ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu, halikadhalika kwa ACT Wazalendo na CUF. Je, CHADEMA itaendelea kuwa ni chama kikuu...
  16. Taswira ninayoiona ndani ya CCM baada ya uchaguzi hadi kufika 2025

    Kwenye uchaguzi uliofanyika 28/Oct kweli nilikua natarajia Magufuli atashinda japo siyo kwa % nyingi kama alizokua anatamka Polepole na zilizotangazwa kumpa ushindi. Hivyo sijaona maajabu hapa kwa Urais wake labda hizo 84% tu. Zile nafasi za wabunge waliopita bila kupingwa majimbo 28 zilikua ni...
  17. GE2020 CASE STUDY - Jimbo la Hai - Walitumia teknolojia gani kupata matokeo sahihi ya kila kituo ndani ya saa 8?

    Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho. Ilikuwa kwa vyovyote vile asitangazwe mshindi...
  18. Wanasiasa acheni kuhamasisha wananchi uasi, machafuko na harakati za kupindua-Jifunzeni matokeo ya nyuma

    Wakuu, Inaonekana wanasiasa mko tayari kusaka madaraka ya kuongoza wananchi kwa njia zozote hata za kuendesha, uasi, machafuko na mbinu za mapinduzi yasiyo halali kufanikisha malengo yenu yaliyojificha kwenye demokrasia, haki za binadamu na mwanya wa kikatiba. Ni dhahiri ndani ya Tanzania na...
  19. Kwanini wanafunzi wasianze kidato cha kwanza na michepuo ya sayansi (Physics, Chemistry) au arts kwa kuzingatia matokeo ya Darasa la Saba?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini wanafunzi wasianze kidato cha kwanza "directly" na michepuo ya sayansi (Physics, Chemistry) au arts kwa kuzingatia matokeo ya darasa la saba na sio kusubiri mpaka afike kidato cha pili? Yale masomo saba ya...
  20. Nashauri upinzani wafungue kesi za kupinga matokeo yote kuanzia ya udiwani mpaka urais

    Japo nimearifiwa kwamba matokeo ya uchaguzi wa Rais hayapingwi mahakamani, ila napendekeza wanasheria wa upinzani wafungue hiyo kesi ya kupinga hayo matokeo, tena kwa ngazi zote kuanzia udiwani. Tunataka, kesi zipelekwe mahakamani, ili majaji na mahakimu watapozikataa, tuendelee kukusanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…