matokeo

  1. TATHMINI: Je, hatma ya masomo ya Sayansi ni ipi? Ukizingatia matokeo ya kidato cha Pili na kidato cha nne 2023

    Nawapa salamu wanajukwaa, wala tusitumie muda mwingi sana tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa. Baada ya Baraza la mitihani la Taifa-NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo yametoka siku ya leo-29 Jan 2023, nimeona niunganishe na yale matokeo ya kidato cha Pili ambayo yaliwahi...
  2. Kwanini matokeo ya rais yasihojiwe na mahakama yoyote?

    Naomba majibu ya swali hilo katika ulimwengu huu wa kuchakachua kufoji kubambikiza kuonea kutoleana ushahidi wa uongo je kuna haja ya Kuwa na kipengele kama hiki?
  3. Z

    Matokeo ya kidato cha nne yamegoma kutoka?

    Miaka mitatu hii matokeo yamekuwa yakitoka mwanzoni mwa January. Kunaa nini kimewasibu NECTA mwaka huu. Nini kinaendelea huko NECTA?
  4. Naomba kujua lini matokeo ya Kidato cha nne 2022/2023 yanatoka?

    Naomba kujua lini matokeo ya Kidato cha nne 2022/2023 yanatoka?
  5. F

    Kulikoni matokeo kidato Cha nne kuchelewa kutangazwa

    Moja Kwa Moja kwenye maada kulikoni Baraza la mitihani NECTA kuchelewa kutangaza matokeo ya kidato Cha nne ikilinganishwa na mwaka Jana ambapo matokeo yaliwahi kutangazwa vilivile mwaka juzi. Je kuondoka Kwa Msonde kumesababisha hili?
  6. Mfumo wa matokeo, ripoti na ratiba kwa shule za O- Level huu hapa

    Mfumo unaomwezesha mwalimu (mtaaluma) kupata matokeo kwa urahisi sana, mfumo unakutengenezea matokeo unakuonyesha wanafunzi 10 bora na 10 wa mwisho unakuonyesha division summary kwa male na female unakuwezesha kuandaa ratiba ndani ya dakika 2, ratiba ya shule nzima pamoja na za madarasa kwa...
  7. Kenya: Waamuzi 13 na Wachezaji 2 wasimamishwa kwa upangaji matokeo ya Ligi

    Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) limesema uamuzi huo unatokana na ripoti za siri za uchunguzi zilizooneshai kuhusika kwa wachezaji na waamuzi hao katika shughuli za upangaji matokeo ya mechi. Kupitia taarifa yake, Katibu Mkuu wa FKF, Barry Otieno amesema "Katika juhudi za kulinda uadilifu wa...
  8. Je, umewahi kupata alama A zote kwenye mtihani wowote shuleni? Ilikuwa shule gani na ulijisikiaje baada ya matokeo hayo?

    Wakuu kwema! Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi. Je, humu jf tupo watu...
  9. Mfumo wa matokeo, ripoti na ratiba kwa O-level

    Je Unataka mfumo wa kuchakata matokeo kwa shule yako? Mfumo huu hapa utakusaidia kuandaa matokeo, ripoti na timetable kwa urahisi zaidi. Unapatikana hapa, download tu na anza kutumia ILI KUTUMIA 1. hakikisha unatumia computer yenye MS office (iwe na ms excel) 2. Fungua file kwa ku-double click...
  10. Wilaya na mikoa inayoongoza matokeo ya mitihani

    Tujue wakulungwa. Hii ya Mwaka 2021
  11. F

    Utaratibu wa kutoa matokeo ya mtihani kwa majina umetusaidia sana hatudanganywi tena

    Nashauri baraza la mtihani wasiishie Kwa kidato cha pili, darasa la Saba na darasa la nne, warudishe pia na kidato cha nne. Kuna madogo huku mtaani tulikua tukiwaambia wasome walikua busy na wavuvi camp mambo hadharani, hakuna kuuliza sijui namba yako ni ipi. Nashauri Kwa kidato cha nne...
  12. Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023 yanatoka lini?

    Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023?? Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka...
  13. Matokeo ya Necta kidato cha pili ya mwaka 2022 yanatoka lini?

    Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha pili mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 15 mwezi January kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana...
  14. Naomba mbinu ya kupokea Matokeo ya usaili wa mchujo Utumishi

    wakuu kama mnavyofahamu unapoitwa katika usahili utumishi matokeo hutolewa na kila mmoja huwa ana mbinu yake ya kuyapokea sasa leo hii. Hebu tupeane mbinu ya kuyapokea matokeo maana kama mnavyojua matokeo yanaweza kukuvunja moyo au kukupa moyo wa kutokukata tamaa.
  15. Mtazamo: Matokeo ya vita Urusi-Ukraine ni Marekani kuitawala Dunia kikamilifu

    Nionavyo mimi 1: Kwa hatua ya sasa, anaweza kushambulia popote na chochote ndani ya Russia kupitia mgongo wa Ukraine bila Russia kumjibu moja kwa moja. Mfano Mashambulizi na milipuko ya kigaidi ndani ya Russia kila kona. 2: Vita inaidhoofisha Ulaya huku US iliyo mbali kabisa na Vita ikiwa na...
  16. Sababu kwanini Matajiri wengi hawaendi Makanisani, na wakienda wanaenda wakiwa wamechelewa sana

    1. Waumini na watumishi, ombaomba. Kuna watu mabingwa wa kuscan watu wenye uwezo na kuanza kuwapiga mizinga. Wakati mtu kaja kuabudu waabuduji wenzake na watumishi wanamvizia wampige vibomu. Hali hii ikizidi inafukuza watu wenye uwezo kifedha. Inakuwa ni kero. 2. Mahubiri mengi yamelenga...
  17. Qatar yapiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, ulevi na biashara ya ngono wakati wa Kombe la Dunia

    Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka. Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari: Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
  18. Mimi na kaka yangu tulipiga kura za hapana lakini matokeo yanaonesha kura ya hapana ni moja kule Dodoma

    Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano. Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea Dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
  19. Waliofutiwa Matokeo Darasa la Saba kurudia Mitihani Desemba 21-22

    Baraza la Mitihani NECTA ilizifutia matokeo shule kadhaa baada ya kubainika kufanyika kwa Udanganyifu kwenye mitihani ya Darasa la Saba iliyofanyika September 2021. Na kwa kuwa Wanafunzi hawahusiki na udanganyifu huo, wana haki ya kurudia mitihani yao ili kutoathiri maendeleo yao ya Kitaaluma...
  20. Kwa matokeo haya ya wajumbe wa NEC, kipo kitu nyuma ya Pazia, Mwenyekiti shtuka

    Uchaguzi umekwisha , na wajumbe wa NEC wamechaguliwa. Itoshe kusema kanda ya ziwa ndio walio shinda kwa kurudi na wagombea wao wote. Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ