matokeo

  1. L

    Miradi ya ujenzi wa miundombinu inayotekelezwa na China barani Afrika ni matokeo ya ushirikiano wa kunufaishana

    Mara nyingi nchi za Magharibi zimekuwa zikitoa kauli ambazo haziendani na ukweli kuhusiana na ushirikiano na uhusiano kati ya China na nchi za Afrika. Nchi hizo zimekuwa zikidai kuwa, China inaibebesha Afrika mzigo mkubwa wa madeni, na hata kufikia kusema kuwa, China inaendeleza ukoloni mamboleo...
  2. Hoja za Lissu ni zilezile za tangu aje Tanzania kugombea Urais 2020

    Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
  3. Mwanza: Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Thaqaafa waandamana kudai matokeo ya watoto wao

    Wazazi wa watoto waliokuwa wanasoma katika shule ya sekondari Thaqaafa iliyopo wilayani Nyamagana jijini Mwanza wameandamana kudai matokeo ya watoto wao waliomaliza kidato cha nne 2022 kufuatia kuwepo kwa sintofahamu. Wazazi hao wamesema wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka jana katika...
  4. N

    Shule zilizoshika mkia matokeo ya Kidato cha Nne 2022

    Hii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022. Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common😃 List imetawaliwa na #TeamMnyaazi Source: Malisa GJ instagram account
  5. Naombeni ushauri nini nisome kulingana na matokeo haya

    Mimi nilianzia QT mwaka juzi na nimemaliza Kidato cha nne mwaka Jana na matokeo yangu ni lama ifuatavyo, Civ 'C, Hist 'C, Geo 'C, Eng 'D, Kisw 'C, Phy 'C, Chem 'B, Bio 'C, Math 'A. Umri wangu ni miaka 24 Naombeni ushauri kama nikienda chuo nikasomee nini chenye fursa? Na Kama nikienda...
  6. Mara ya kwanza kutumia vilevi tofauti tofauti haya ndio yaliyonikuta

    Mara ya kwanza kutumia kilevi aina ya Ulanzi ilikuwa mwaka mwaka 2012 mkoani mbeya nilikuwa mwanafunzi shule X huko jijini mbeya tulitoroka usiku tukaenda na wanangu chimbo flani ivi wana wakaagiza ulanzi tukaanza kupiga mambo, mimi nilikuwa mgeni, ila kulikuwa na kautam flani, ajabu nashangaa...
  7. L

    Kufeli ni matokeo ya malezi ya ovyo

    Ukipita mitaa mingi ya mijini utakuta watoto wengi wenye uniform wakizagaa zagaa mitaani muda wa vipindi vya masomo hata saa tatu au saa nne wakiwa kwenye vituo vya daladala, sasa kama mimi ni muongo kama upo Dar utalithibitisha hili Nimeandika Uzi huu muda muafaka ukiwa maeneo kama Mbagala au...
  8. B

    Ridhwaa Seminary Kinondoni yafanya vizuri kwenye matokeo kidato cha nne mwaka huu (Wapata div 1 &2 ) only

    Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi? Naomba kujuzwa tafadhali
  9. Wakuu mdogo wangu anasaidikaje kwa haya matokeo?

    Kama tumavyojua matokeo ya kidato cha nne yametoka jana, Dogo amemaliza Moja ya shule za Ufundi yaani Technical School kwa matokeo yafuatayo; Div. III Pt 22 CIV - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'B' CHEM - 'D' BIO - 'B' ENG SC - 'F' B/MATH - 'D' BLD CONSTR - 'D' ARCH DRAUGHT - 'D' BRI & MAS - 'D' Shule...
  10. R

    Nimetafakari kuhusu matokeo Ya Mitihani, je kuna jambo lolote Serikali ya ccm imeshafanya vizuri kwa ufasaha zaidi ya kuiba kura kwa ufasaha?

    Sio kwenye elimu tu, huko kwenye afya na kilimo mambo ni fyongo tu. Tuje sasa kwenye uchaguzi, mwaka 2019 walishinda vijiji vyote kwa 100% na mwaka 2020 walishinda ngazi zote za uchaguzi kwa asilia 90-100% Kama nguvu ile ya kuiba uchaguzi ingetumika kwenye Kilimo kusinge kuwa na njaa wala...
  11. L

    Matokeo yakitoka ndio kila mtu anajifanyaja Ni fundi kujadili issues za elimu

    Kwa nini huwa hatuongelei issues zinazohusu elimu mpaka matokeo yatoke,je Ni kweli kila mtu anaweza kuwa mtaalamu kwenye Mambo yanahusu elimu?,ualimu Ni mgumu sana ,watu wa fani nyingine wawe na heshima na fani ya ualimu,garbage input gargabe out put,walimu huwa wanalaumiwa sana kwenye output...
  12. Shule yetu ya kata ina matokeo mazuri kuliko shule nyingi za Dar

    Hii ni shule ya kata yetu mkoani Mara huko, shule haina muda mrefu tangu ianzishwe.. changamoto ni nyingi sana huko kijijini kwetu lakini ukiangalia matokeo ya hii shule in comparison na mashule mengi ya hapa Dar unaona kabisa hii shule imefanya vizuri sana. Hawa vijana wa Daslamu wasipokuwa...
  13. NECTA Mjitafakari sana: Awamu ijayo tungeni mitihani tofauti tofauti kulingana na aina za shule kwa mizania yenu

    Hello walimwengu. Nimesitika sana na kauli yenye ufinyu wa fikra na mizania mbovu sana, dhana yao ya utofauti wa mazingira ya kusomea ya wanafunzi na mashule mbalimbali mbona haijatumika kutunga mitihani tofauti tofauti kama wanalijua hilo, je hawajui kuna shule wanafunzi wanafika form4 bila...
  14. Kufeli kwa mtoto wa kigogo kulivyobadili namna ya kutangaza Matokeo ya NECTA

    Back to those years, huenda vijana wa Leo hamuelewi hili. Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina pamoja na candidate numbers, Ebana ee Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifeli peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima...
  15. P

    Matokeo na madaraja ya shule

    Mazoea hujenga tabia. Huu utaratibu wa number ndo unashhusha quality ya elimu. Haiwi problem solving based. Yaani ni banking model inatumika. Pump watoto hadi kieleweke. Ndo maana mtoto wa form One anjifunza mambo ya form 3. Sasa huyo atapata muda wa kujadili mada viz a viz inavyoweza...
  16. kwa matokeo haya kuna uwezekano skuli ya Mwanakwerekwe B ni kinara kwa ufaulu uko zanzibar?

    Baada ya necta kuja na utaratibu mpya wa kutotangaza shule vinara kwa kila upande ni wazi wametoa fursa kwa wadau kufanya utafiti juu ya matokeo haya na kufanya uchambuzi. Pamoja na necta kujaribu kuficha ukweli hasa kuhusu shule za serikali lakini ukitazama matokeo utaweza kuzipanga shule .na...
  17. Waziri wa Elimu wekeni matokeo kwa majina ya form four

    Ili tuone unaupiga mwingi ebu weka matokeo kwa Majina ndo tuamini upo serious na Kazi yako. Watoto huku uswahilini wanataja taja tu namba za uongo wakati wamepata zero na mbaya wanadanganya wazazi wao.
  18. Kwa matokeo haya anaweza kusoma kozi yoyote na ipi ya afya?

    Habari za humu ndani? Bila shaka wote ni wazima. Nina mdogoangu amepata division 3 ya 23 na ufaulu wake ni: physics-D CHEMISTRY-D BIOLOGY-C B/MATH-F ENG.-D
  19. S

    Matokeo ya mwanafunzi yakiandikwa kwa mtindo huu maana yake nn?

    Kwenye points na Division pameandikwa *S.
  20. B

    Matokeo ya kidato cha nne, shule zifuatazo zimenivutia

    WanaJF Kwanza nianze kwa kusema ya kuwa, nimefanikiwa kufika kwenye shule mbalimbali nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge. Shule hizo, nyingi nilizifikia mwaka wa masomo wa 2020 na 2021. Kiufupi, nilifikia shule kwa orodha ifuatayo. Wilaya ya Geita 1. Halmashauri ya wilaya ya Geita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…