matokeo

  1. D

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika kutumia takwimu za matokeo ya sensa kuleta maendeleo endelevu kwa Watanzania

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUTUMIA TAKWIMU ZA MATOKEO YA SENSA KULETA MAENDELEO ENDELEVU KWA WATANZANIA Utangulizi Sensa ni zoezi la kuhesabu na kukusanya takwimu za idadi ya watu, makazi, na shughuli za kiuchumi katika nchi. Matokeo ya sensa yanatoa taswira halisi ya hali ya taifa na...
  2. K

    CCM inabidi itumie nguvu kubwa kuhakikisha matokeo makubwa uwekezaji wa bandari

    Mwanafilosofia na mwanahistoria Niccolo Machiavelli kutoka nchini Italia aliwahi kusema " the end will justify the means" ambapo tukipeleka Kwa tafsiri isiyo rasmi alimaanisha " hata jambo baya likiwa na matokeo mazuri basi jambo hilo "morally" linakuwa ni zuri". Kinachoangaliwa na kutazamiwa...
  3. R

    Msaada please-UDOM application: Matokeo ya form six hayapatikani

    Najaza maombi ya chuo UDOM, matokea ya form six system inaniambia Failed to fetch your details. Please try again Msaasa please
  4. Anna Makinda afungua mafunzo ya matumizi ya matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022

    Leo tarehe 17 Julai, 2023 Mafunzo ya matumizi ya matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 yamefunguliwa Mkoani Manyara na Anna Makinda, Kamisaa na Muhamasishaji wa Sensa Tanzania, na Kuhudhuruwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, Sekretarieti ya Mkoa, Kamati ya Sensa...
  5. CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti

    Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini. Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini. Kumuunga mkono Rais ni...
  6. Matokeo ya form six 2023, English kwenye machela - case study Pandahili

    Wanajamimi mwenzenu macho yananiuma. Halii hii inatokana na mimi kukesha siku nzima nikitafuta mwanafunzi aliyepata A kwenye somo la English katika shule ya Pandahili. Hii shule siku za karibuni ilikuwa na kashfa ya mwanafunzi kupotea, hata hivyo imeyabutua matokeo hayo in genera kweli kweli...
  7. Matokeo kidato cha sita na vyuo vya kati 2022/2023 haya hapa

    https://monscareers.com/necta/
  8. Kuongezeka kwa watu wajinga katika taifa ni matokeo ya kuzaa na mwanamke/mwanaume mjinga

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Ukweli uko hivyo na kama unadhani nakutania wewe zaa na mwanamke/mwanaume mjinga halafu matokeo utakuja kuyaona kwenye kizazi chako. Nyinyi nyote ni mashaidi,ukiona kuna familia watoto wao wamepiga hatua za kiakili na kimaendeleo basi wachunguze wazazi...
  9. Matokeo ya kidato cha sita 2023/2024 yanatoka lini?

    Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha sita 2023? Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu 2023. Kidato cha sita walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi tano. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 05...
  10. Maafisa Biashara Nchini watakiwa kuonesha matokeo chanya

    Ujumbe huo umetolewa alisemwa na Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka wakati akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mara kwenye ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya Maafisa Biashara kutoka mikoa 10. Maafisa walioshiriki katika mafunzo hayo ni kutoka mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga...
  11. Uteuzi wa Meneja wa Maji Dodoma watenguliwa

    Waziri wa Maji, Jumaa H. Aweso ametengua uteuzi wa Meneja wa Maji Mkoa wa Dodoma, (RUWASA) Mhandisi Godfrey Kabula Mbabaye, Aweso amechukua hatua hiyo kwa Mamlaka aliyonayo kupitia Sheria Na. 5 ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2019, kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake...
  12. L

    Nahitaji mchungaji mwenye upako/ miujiza ya kutosha mahali nitaona matokeo

    Nahitaji mtu mwenye sifa tajwa,Kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa changamoto zangu. Ni vizuri asiwe mwamposa Wala kuhani musa Wala manabii uchwara. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  13. 5

    Matokeo ya counteroffensive Ukraine yarejesha Kijiji Mashariki Donetsk

    Aljazeera 11 Jun 2023 Ukraine has said its troops recaptured three villages from Russian forces in its southeast, the first liberated settlements it reported since launching a counteroffensive. Soldiers hoisted the Ukrainian flag at a bombed-out building in an unverified video published on...
  14. Tabiri matokeo sahihi ya mechi ya fainali ya Yanga Vs Azam na ujishindie elfu tano

    Kesho ni fainali ya Azam Sports Federation kati ya Yanga Vs Azam. Tabiri matokeo sahihi ujipatie shilingi elfu 5. Mshindi atakuwa mmoja tu na wa kwanza kutabiri kwa usahihi. Mwisho wa kuweka utabiri wako ni saa 9:00 (saa tisa kamili) mchana baada ya hapo ubashiri wako hautakuwa halali. Vigezo...
  15. SoC03 Matokeo ya uwajibikaji

    Uwajibikaji ni maamuzi ya kutenda kitendo kwa ufasaha na ufanisi kwa muda fasaha na kwa nia na utayali wa kufanya kitendo kwa mfano tukazungumzia swala la uwajibikaji kwenye nyanja tofauti kama vile uwajibikaji kwenye familia,uwajibakaji kwenye swala la uongozi,uwajibikaji kwenye swala la elimu...
  16. Matokeo ya Simba na Coastal Union kesho Juni 9, 2023

    Kesho Coastal Union anahitaji kushinda ili aepuke kucheza playoff. Simba anahitaji sana mshambuliaji wake Ntibazonkiza awe mfungaji bora wa ligi. Basi matokeo ya kesho Coastal anashinda lakini Ntibazonkiza anafunga si chini ya goli mbili. Kwa hiyo matokeo ya kesho Coastal anashinda 3-2.
  17. Mwanaume alivyo katika maamuzi na maisha yake ki ujumla ni matokeo ya utamaduni

    Hellow africa Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika kuwa wanaume ni wabinafsi,waongo, wanyonyaji, watesaji, wababe, hawataki kusaidia kazi za nyumbani na mengine mengi Ukweli upo hivi Culture imemtengeneza mwanaume kuwa jasiri na mtoa maamuzi ya mwisho katika familia ndio maana ata kama...
  18. Tujikumbushe: Simba walitolewa na Jwaneng Galaxy kwa matokeo ya jumla ya 3-3

    Kejeli dhidi ya mafanikio ya Simba ya zinakuwaga kubwa halafu pale upande wa pili wanapofikia mafaniko hayo au wanapopata changamoto fulani ambayo Simba waliwahi kupitia ndiyo fahamu zinawajia wanasahau yale waliyowahi kubwabwaja. Msimu uliopita katika mashindano ya Champions League hatua ya...
  19. Bashiri matokeo ya mechi ya USM Alger Vs Yanga na ulambe elfu tano

    Weka ubashiri wako na ulambe elfu tano hiyo kesho, mwisho wa ubashiri ni saa 3:59 usiku wa kesho, yaani dakika 1 kabla ya mechi kuanza. Updates: 🚨🚨🚨🚨🚨 Hakuna aliyepatia, elfu tano itakuwepo tena mechi ya fainali ya Azam Sports Federation
  20. FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

    Leo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa. Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Algerz Mechi hii itachezwa mnamo saa 10 jioni kwa saa za Africa mashariki kwenye dimba la Benjamin Mkapa. Timu hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…