matokeo

  1. C

    Hakuna taarifa za matokeo ya uchaguzi wa Rais 2025 kwenye tovuti ya INEC

    Ukurasa wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 katika tovuti ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), unaohusu nafasi za Rais na Makamu wa Rais, kwa sasa unaonesha ujumbe wa “Hakuna Taarifa kwa sasa”. Ujumbe huo unaonekana katika kipengele cha Matokeo ya Kiti cha Rais na Makamu wa Rais...
  2. M

    Kwenu dada zetu, Mitandao inawaufundisha jinsi ya kuwashinda waume zenu, lakini haitakufundisha jinsi ya kuishi na matokeo ya kupoteza ndoa yako.

    Mitandao inawajaza kiburi na kuwafundisha jinsi ya kuwashinda waume zenu, lakini kamwe haitawafundisha jinsi ya kuishi na upweke, aibu, na maumivu ya kupoteza ndoa zenu. Leo hii, magroup ya makungwi, podcasts za ovyo, na hao mnaowaita 'role models' waliofeli kwenye maisha yao ya ndoa ndiyo...
  3. R

    ANC yakubali matokeo ya kura ya serikali za mitaa. CCM ina cha kujifunza?

    98% Samia kwa mauaji 31% Ramaphosa bila mauaji
  4. A

    KERO Shule ya Msingi Itigi matokeo si mazuri na kuna changamoto ya ufundishaji kwa Walimu

    Kuna Shule ya Msingi Itigi Mjini H/W ya Itigi Shule imekuwa haifundishi kabisa, imekuwa ya Kisiasa, watoto wanaenda shule, walimu hawapo hasa kuanzia chekechea mpaka darasa la saba. Pia, kuna mwalimu mmoja amekuwa kikwazo kwa maendeleo ya shule hiyo anatumia shule hiyo kwa maslahi ya kisiasa...
  5. Maombi ya Lissu kwa majaji dhidi ya hukumu yake, na kukaliwa kimnya, watanzania fatilieni kwa nini watoto wa majaji na mahakimu ni vichaa,ni matokeo..

    Sababu alizo zitoa Tundu Lissu mahakamani leo baada ya hukumu na kukataliwa kwa ukimya wa majaji walah vizazi vyao vitalaaniwa. Nimewahi kujiuliza hivi kwa nini Mahakimu wastaafu wa Tanzania baada ya kustaafu kwao vizazi vyao ukumbwa na mikosi kama utaila na kadhalika? Sio tu mahakimu hata...
  6. Viongozi tulio nao ni matokeo ya aina ya watu wengi katika jamii.

    Mzee Alute Lissu Katika mahojianoyake na THE CHANZO,alisema tunapata aina ya viongozi wanoendana na sisi,hivyo hulka na aina ya viongozi tulio nao ni aina ya watu wengi katika jamimi,viongozi type ya Bi msumi,Madilu ndio aina ya watu waiojaa mitaani. Kama ingekuwa tofauti basi tusingekuwa na...
  7. Hukumu ya Kesi ya mchingo wa Mh sana.Lissu leo tumejiandaa kwa matokeo yoyote ile.

    Ndugu wajumbe salamu kwenu. Leo mimi mwanaCCM mpenda haki nisiye na uchu wa madaraka na mpenda haki Leo hukumu ya Mwkiti wa Chama kikikuu cha siasa nchini
  8. PostGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu kwenye Mtandao wao

    Baada ya Watu kulalamika kwamba huyu Mzanzibar Samia Suluhu Hasaan hakupata hata 20% bali Tume ndo imechakachua matokeo, sasa wameona aibu. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu ya 29.10.2025 kwenye Mtandao wao ili kuondoa Ushahidi. Sasa hakuna...
  9. K

    Tuongelee Jamii; matokeo ya "you better watch your back", mwitikio wa serikali na wanajamii

    Wakati Msanii Dudubaya ana "trend" na msemo wake waarufu wa kulinda migongo, baadhi ya watu walibeza, wengine waliona kama ni kauli za kilevi levi na wengine waliona kama mtu anayetafuta kiki Baadae kauli ikapokelewa na baadhi ya watu wanaojua ukubwa wa tatizo alilokuwa ameligusa Dudubaya...
  10. NECTA imetangaza Matokeo ya Darasa la Saba Mwaka 2026

    https://www.youtube.com/live/fgScnH9W6rA TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) ULIOFANYIKA SEPTEMBA, 2026 UTANGULIZI Katika Mkutano wake wa 173 uliofanyika tarehe 02 Novemba, 2026 katika ofisi za Baraza la Mitihani la Tanzania zilizopo Dar es Salaam, Baraza la...
  11. NECTA Yatangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2026

    https://www.youtube.com/live/fgScnH9W6rA?si=wi4boTq2-Uz2MXps Fuatilia mubashara
  12. Mkuu wa uchaguzi wa Israeli Noam Sohlberg anasema matokeo ya uchaguzi yako sawa licha ya tuhuma!!

    Mkuu wa uchaguzi wa Israeli Noam Sohlberg anasema matokeo ya uchaguzi yatasimama licha ya tuhuma kubwa za ufadhili wa kigeni unaolenga kushawishi kura. Katika taarifa ya pamoja na Mwanasheria Mkuu Gali Baharav-Miara na mkuu wa Shin Bet David Zini, Sohlberg anasema madai hayo ni mazito lakini...
  13. M

    Mafundi wetu hawajui kusema "SIJUI". Kila kitu wanalazimisha, mwisho wa siku unalipa pesa nyingi lakini tatizo linabaki au yanaongezeka mengine.

    Na ndio maana sikuhizi gereji za wachina zinazidi kuwa na demand kubwa, mtu anaona ni heri alipie mara tatu kuliko kwenda garage za mafundi wabongo. Mafundi wetu wana tatizo moja kubwa: hawajui kusema "SIJUI." Kila kitu wanalazimisha kukitengeneza hata kama hawana uelewa nacho. Mwisho wa siku...
  14. A

    KERO VETA Chang'ombe na changamoto ya kuchelewa kutolewa kwa matokeo ya kozi ya udereva wa malori (HGV) – Intake ya 16, Temeke

    Wakuu, mimi pamoja na wenzangu tulijiunga na kozi ya udereva wa malori katika kituo cha Temeke mwezi Julai na kumaliza mwishoni mwa Agosti. Tulikuwa kundi la 16 (Intake 16). Cha kushangaza, hadi sasa matokeo yetu hayajatoka, na hatujui hatma yetu. Hali hii inatupa wasiwasi, hasa kwa baadhi yetu...
  15. D

    KERO Baadhi ya Vyuo vya Afya vinachelewesha matokeo ya Special na Supplementary

    Baadhi ya vyuo vya afya nchini vilikamilisha mitihani ya special na supplementary wiki mbili zilizopita, lakini hadi sasa havijatoa matokeo hayo. Kuchelewa kwa matokeo kunasababisha ucheleweshaji wa kuyawasilisha kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), hali inayoweza...
  16. Kutoka Tundu Lissu hadi Gandhi: Je, migomo ya kula huwa na matokeo?

    Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anatarajiwa kuanza mgomo wa kula leo, akipinga kile ambacho mawakili wake na chama chake wanaeleza kuwa ni ukiukwaji wa haki yake ya kuwasiliana kwa faragha na wanasheria wake akiwa mahabusu, wakati akisubiri hukumu ya kesi ya uhaini...
  17. Kwa matokeo haya ya Man United na Bournemouth kama Carrick hatafukuzwa itakuwa maajabu ya Dunia

    Timu ya Manchester United sasa inaelekea kuwa kati ya timu zinazopigania kutoshuka Daraja kwa kuwa ina alama 7 ikiwa moja zaidi ya Nottingham Forest ambayo ipo kwenye Kundi la timu zinazopambana kutoshuka Daraja katika Premier League. Mpaka sasa United imekubali kichapo cha magoli 3-0 ikiwa Old...
  18. Hiki ndicho mzungu anachoweza kukifanya na matokeo yake ya kushikika ila sisi ni 2026 mwana JF unaandika uzi wa kuomba mganga wa pesa za kimazingara

    Jamaa kafanyia facial implant, yaani kama muujiza.
  19. A

    KERO Wizara ya Afya na NACTVET zishughulikie matokeo yetu ya diploma kwa haraka ili yafikishwe Vyuoni

    Baadhi ya vyuo vimefunguliwa tangu tarehe 19, na wanafunzi wanatakiwa kuripoti chuoni ili kuanza muhula mpya wa masomo. Hata hivyo, changamoto inayotukabili ni kwamba hatujapokea matokeo yetu, huku kuripoti chuoni kukihitaji kulipa ada na kujiandaa kwa mahitaji mengine ya masomo. Tunapouliza...
  20. Je Wajua Haramu Isipoharimishwa ni Halali? Batil Isipobatilishwa ni Halali?. Licha ya Ubatili Wote, Matokeo ni Halali, Ni Rais Halali!

    Wanabodi Japo sikusomea fani ya ualimu, lakini kwa kadri uzee unavyoninyemelea, nimeanza kujiona kama mwalimu humu, kuwafunza madogo humu mambo makubwa wasio yajua!. Somo la leo ni somo la Haramu sio tuu inavyoweza kugeuka halali, bali haramu nyingine ni baraka. Mada kuu ni Je wajua kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…