Habari wakuu poleni na majumu,
Kutokana na changamoto naiona watu kuomba sana gharama za materials ya ujenzi, naomba niwape taarifa kua naweza kukupatia gharama zako zote za ujenzi kuanzia msingi, boma na uezekaji wa paa, nakuandalia schedule of material au BOQ, kwa gharama nafuu kabisa...