Hawa jamaa naona wameanza na wao kuzingua sasa. Ninazo akaunti mbili na wao zilikua zinaenda vizuri tu,
Ila tangu juzi nimelipia huduma na bado sijafungiwa walisema ndani ya saa 24.
Ila leo ni 96 hours, Nikiwapigia simu wanasema fundi tayari ana vifaa vyako atafika sasa hivi sasa sijui kapotea...