masomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    KERO Changamoto ya shule binafsi kuendesha programu za masomo wakati wa likizo kwa malipo

    Waziri wa Elimu alitoa maelekezo kwa shule za Serikali na binafsi kuhusu wanafunzi kupata muda wa kupumzika wakati wa likizo. Hata hivyo, tunashangazwa na baadhi ya shule binafsi zinazoanzisha programu za wanafunzi kuhudhuria masomo wakati wa likizo. Miongoni mwa shule hizo ni St. Matthew...
  2. H

    Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha kuendelea kujipatia kipato hata baada ya machimbo kuisha, ikiwemo kufanya biashara ya madini ndani na nje ya nchi. ๐ƒ๐ค๐ญ. ๐Œ๐ฐ๐ข๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฎ ๐๐œ๐ก๐ž๐ฆ๐›๐š ๐˜ž๐˜ข๐˜ป๐˜ช๐˜ณ๐˜ช ๐˜”๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ถ ๐˜ธ๐˜ข ๐˜›๐˜ข๐˜ฏ๐˜ป๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ข ๐Ÿ—“๏ธ Novemba 11, 2026 ๐Ÿ“ Segese...
  3. Dkt. Mwigulu: Machimbo yasikatishe masomo

    โ–ช Asimulia mchango wa mwalimu wake kumrudisha shuleni โ–ช Aagiza usanifu wa barabara za kipaumbele Shinyanga ukamilishwe WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka wazazi kuhakikisha watoto wao wanahitimisha masomo na kuwasihi wanafunzi wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini...
  4. SHERIA na SAIKOLOJIA YAWE MASOMO YA LAZIMA KUANZIA SHLE YA MSINGI,.

    Somo la uraia lifutwe,na somo la sati za kazi ifutwe kwa shule za msingi kisha watoto wasome sheria kuanzia angalau darasa la 5. Sekondari pia Uraia liondolewe ,SHERIA NA SAIKOLOJIA yawe masomo ya lazima kusoma. Jamaa ina rundo la watu wasiojua haki zao za msingi na hawajui ni kwa nmna gani...
  5. Mliosoma Data Science hapo Chuo cha Takwimu, Masomo ya kozi hiyo yako vipi na lini na lini

    Mliosoma Bachelor ya Data Science hapo Chuo cha Takwimu, hiyo kozi imekaaje na je masomo ni lini na lini kwa mtu anayekimbiza mbanga zake town au anayefanya kazi
  6. Je,unahitaji huduma ya Masomo ya ziada nyumbani?

    Je, unahitaji mwalimu wa ziada kwa ajili ya mtoto wako au wewe mwenyewe? Tunakuunganisha na walimu wenye uwezo kwa ajili ya kujifunza nyumbani au sehemu mnayokubaliana. โœ… HUDUMA ZETU ZA HOME TUITION 1๏ธโƒฃ Watoto wa Nursery na Kindergarten (KG). 2๏ธโƒฃ Wanafunzi wa shule za msingi. 3๏ธโƒฃ Wanafunzi wa...
  7. Masomo tuliyoyadharau shule ndiyo dili duniani huko, Civics na General Studies, tujiendeleze wakuu

    Maswali alioa kua anaulizwa jihan ndio Yale tulio ya DHARAU mwanzo, issues za civics mfano life skills, hizo mambo tulikua hatugusi tunapiga chini heee kumbe DILI. Walio soma science subjects, Kuna namna hawana uwezo wa kujieleza duniani huko arts subjects tuliwachukulia poa ila wako vizuri...
  8. R

    KERO Chuo cha CBE, kuna changamoto ya kutokuwa na uwiano katika mgawanyo wa credit za masomo

    Katika Chuo cha CBE, kuna changamoto ya kutokuwa na uwiano katika mgawanyo wa credit za masomo. Kwa mfano, mwanafunzi anayesoma Accountancy anaweza kukuta somo linalopaswa kuwa la msingi (core subject) limepewa credit chache, hali inayoathiri mchango wake katika kukokotoa GPA. Hali hii inazua...
  9. Mnaosoma UDSM vipi ratiba ya masomo itaendelea vile vile licha ya uwepo wa El Nino? Kuna mtu anataka kulipa ada nataka nimshauri kabla hajafanya maamu

    Huyu mmama alikuwaga " Mtu' Wangu wa karibu Sana wakati nasoma UDSM. Amegraduate mwaka 2010 anatoka nchi jirani. Anataka kuja kufanya Masters UDSM.. Kwa mujibu wa ratiba iliyopo ni kwamba classes zinaanza October mwishoni. She was about to pay her fee ila amesikia kuhusu El Nino na mabadiliko ya...
  10. Masomo ya hisabati na computer/coding yafundishwe kwa kiingereza shule za msingi

    kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi. Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
  11. H

    Wanafunzi 150 wa kitanzania kunufaika na fursa ya elimu ya juu Algeria

    WANAFUNZI 150 WA KITANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA YA ELIMU YA JUU ALGERIA Tanzania imepata nafasi 150 za ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Algeria kwa mwaka 2026, zikilenga wanafunzi waliofanya vizuri zaidi katika masomo ya sayansi. Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 11 jijini...
  12. Mwaka wa masomo 2025-2026 nilipata Udahili Open University lakini Sikusoma-Je Naweza Kuomba Chuo Kingine Mwaka Huu?

    Hili jukwaa la Elimu ni moja ya jukwaa ambalo wasomaji wake ni wachache sana ila naomba kwa wale watakao pata nafasi ya kuona huu uzi naombeni msaada wenu. Naomba msaada juu ya hili jambo, Mwaka jana nilipata udahili open university na nikafanya registration ila kwa changamoto zilizo nje ya...
  13. A

    KERO Watoto wetu wanakaa chini wakati wa masomo, Shule ya Msingi Bonyokwa (Dar) iongeze madawati

    Mimi ni mzazi mwenye mtoto anayesoma katika Shule ya Msingi Bonyokwa iliyopo Wilaya ya Ilala, Kata ya Segerea, Dar es Salaam. Ninaomba kuwasilisha kilio changu kuhusu hali ya mazingira ya kujifunzia ambayo watoto wetu wanapitia shuleni hapo. Changamoto kubwa ni wanafunzi wa Darasa la Tatu ambao...
  14. Karibu katika huduma bora Tanzania ya Masomo ya ziada yenye matokeo ya haraka.

    Tunawafikisha Walimu Bora Mahali Ulipo โ€“ Tanzania Nzima! Je, unataka kuongeza ufaulu wa mtoto wako au kujifunza ujuzi mpya ukiwa nyumbani? Elite Home Tuition Services ndiyo suluhisho sahihi. Tunatoa huduma za walimu wa nyumbani na mtandaoni kwa viwango vyote vya elimu, tukikuhudumia popote...
  15. Dirisha la kwanza la maombi ya kujiunga na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa mwaka wa masomo 2026/2027 limefunguliwa rasmi

    Je, uko tayari kuwekeza katika mustakabali wako? Hii ndiyo fursa yako ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), moja ya vyuo vikuu vikubwa na vinavyoongoza nchini Tanzania katika utoaji wa elimu bora, utafiti na ubunifu. UDOM inakukaribisha kutuma maombi ya kujiunga na programu mbalimbali za...
  16. Msaada wa ufadhili wa masomo kwa huyu binti

    Amehitimu form four mwaka jana kwa msaada wa mfadhili ambae kwa bahati mbaya alifariki akiwa katikati ya masomo, hivyo kafanikiwa kumaliza kidato cha nne kwa kuungaunga tu lakini alifanikiwa kupata division one na kachaguliwa kwenda kusoma kidato cha tano Arusha. Ana mama yake ambaye hana uwezo...
  17. Naomba kufahamu masomo yanayofundishwa sasa hivi ngazi ya Nursery na Primary (Mtaala Mpya - English Medium)

    Habari za majukumu wana-JamiiForums? Naomba msaada wa kufahamu masomo rasmi yanayofundishwa kwa sasa katika ngazi ya Elimu ya Awali (Nursery) na Shule za Msingi (Primary) kwa mfumo wa English Medium. Lengo langu ni kupata uelewa sahihi wa mtaala mpya ili niweze kuwaandaa vizuri watoto wangu...
  18. O

    Nafundisha masomo ya Social Work

    Habarini familia. Kwa wale wanaosoma masomo ya Social Work,Community Development na Sociology. Ngazi ya NTA LEVEL 4,5,6,degree na post graduate diploma, na masters. Na una uwitaji wa mwalimu wa kukufundsha masomo ya ziada.. tafadhali wasiliana na mimi,Nina ujuzi wa miaka mi 3 ya ukufunzi Na...
  19. A

    KERO Suala la Watoto katika baadhi ya Shule jijini Mwanza kuendelea na masomo hata wakati wa likizo ni kero kubwa

    Tunaomba sauti ya wazazi ifikishwe kwa mamlaka za elimu katika Mkoa wa Mwanza kuhusu suala linalohusu baadhi ya shule kuendelea na masomo hata wakati wa likizo rasmi za wanafunzi. Kumekuwa na taarifa kwamba baadhi ya shule zinaendelea na ratiba za masomo wakati wa likizo, hali ambayo imeibua...
  20. Kwanini walimu wenye Shahada za elimu katika masomo ya sanaa wasiajiriwe shule za msingi ili kupunguza idadi ya wahitimu wa fani hizo mitaani?

    Huu ni mjadala huru : Wahitimu wa taaluma ya elimu katika masomo ya sanaa nchini Tanzania wanapitia kwenye kaa la moto kwa muda mrefu sasa, watu wamesota miaka zaidi ya kumi lakini hakuna anayehisi maumivu yao. Serikali na mamlaka tatizo si kulimaliza bali hata kulipunguza haijatoa mwelekeo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ