mashujaa

Heroes' Day or National Heroes' Day may refer to a number of commemorations of national heroes in different countries. It is often held on the birthday of a national hero or heroine, or the anniversary of their great deeds that made them heroes.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Arsenal Legends Kukutana na Mashujaa wa Harambee Stars katika Mechi Maalum Nyayo Stadium

    Mashabiki wa soka nchini Kenya wanatarajiwa kupata burudani ya kipekee Ijumaa, Novemba 13, 2026, wakati wachezaji wa zamani wa klabu ya Arsenal watakapokutana na magwiji wa timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, katika mechi maalum jijini Nairobi. Mechi hiyo iliyopewa jina la Legends Cup...
  2. F

    PostGE2025 Tukiwa katikati ya kuwakumbuka mashujaa wa Oct 29,2025, Tukumbuke pia shujaa Magufuli alizaliwa siku kama leo

    Happy birthday Shujaa, na Mzalendo Magufuli Tunamshukuru Mungu Kwa kutuletea Tanzania,kazi uliyoifanya Kwa muda mfupi ni ya kutukuka. Baadhi yetu, siku kama ya Leo mwaka jana 2025, tulibeba mabango, na wengine wakabeba bango lenye picha yako kama ishara ya kukumbuka uzalendo na kuchukia...
  3. FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa | Ligi Kuu NBC |KMC Complex | 12:30 Jioni | 27 Oktoba, 2026. Yanga warejesha makali yao

    Kivumbi cha ligi kuu kinaendelea leo kikiwakutanisha Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Mashujaa kutokea Kigoma. Yanga ataingia kuyataka matokeo ya alama 3 baada ya kutoka sare dhidi ya TRA mchezo uliopita ============= Yanga wamerejea kwenye wimbi la ushindi wa ligi kuu baada ya kumfunga...
  4. Rais Samia ni miongoni mwa viongozi mashujaa na madhubuti sana barani Afrika

    Sote ni mashahidi kwamba, Dr Samia Suluhu Hassan, alipokea nchi katika mazingira magumu ya kiuchumi katikati ya janga la COVID-19 na katika hali ya majonzi, masikitiko makubwa na huzuni ya kitaifa baada ya kufariki Rais hayati John Pombe Magufuli akiwa madarakani, na akatuvusha salama. In fact...
  5. Tundu Lissu: Marasta ni wapigania Uhuru, nafuata nyayo za mashujaa

    Rastas ni freedom fighters. Waammbie wasikilize Bob watajua kwanini nina rasta. Na wasome Historia ya Maumau. Tunafuata nyayo za Dedan Kimathi nyayo za mashujaa, sio za wanaopokea vipande thelathini vya fedha. Mau Mau walikiiwa ni vuguvugu la kupinga ukoloni wa Uingereza nchini Kenya, hasa...
  6. Pongezi Kube, Mwanahalisi Kwa Ukweli Huu, Mashujaa wa Habari, CoRI, Teteeni Uhuru wa Habari kwa Utetezi wa Kweli na Sio Utetezi wa Kupiga Tuu Kelele!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, kwanza nitoe pongezi kwa mwandishi wa habari, Saed Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi kwa kuripoti ukweli bayana wa kitu cha kweli. Kubenea na Mwanahali watangazwe ni Mashujaa wa Habari, nimeitaka CoRI, kutetea uhuru wa habari...
  7. Tanzania Nchi Iliyosahau Mashujaa Wake: Kumbukumbu ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZgzpXeu9eRY?si=HgH6XfcePFIMrxuI
  8. Vita Vya Iran na Marekani: Iran Taifa la Mashahidi na Mashujaa

    https://youtu.be/2AJc0jjjz9k?si=IBOQqohMS8pQIGn9
  9. Siku ya Mashujaa: Dome Okochi Budohi Mkenya Katika Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Kuhusu Dome Okochi Budohi (Mkenya aliyepigania Tanganyika) Mchango wake katika TANU: "Dome Okochi Budohi... kadi yake ya tano... ni mtu alikuwa anajua kila siku na mimi nimepata mengi... amekamatwa katika ardhi ya Tanganyika wakati akifanya harakati za tano." Kukamatwa na kuteswa: "Nimemuona...
  10. Siku ya Mashujaa: Dome Okochi Budohi Mkenya Katika Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/TFgNAKhXvkA?si=yZRkLlA-39W6CCjA
  11. Siku ya Mashujaa: Tuwakumbuke George Arnaoutoglou, Sadiki Patwa na Amir Jamal

    Vyanzo vinaelezea mchango wa watu wasio Waafrika na wengine waliosahaulika katika harakati za TANU: George Arnautoglo: "Huyu alikuwa ni mgiriki... mimi nilikuwa napokea pesa kutoka kwa Joja Anatog kusaidia TANU",. Said Kipatwa (Tanga): "Huyu alikuwa muhindu... Mwalimu alimwambia baba sema...
  12. Mwigulu Nchemba akagua maandalizi ya Siku ya Mashujaa - Dodoma

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai 17, 2026 amekagua na kupokea taarifa ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yanayotarajiwa kufanyika Julai 25, 2026 katika Viwanja vya Mashujaa, Mtumba, jijini Dodoma. Katika ukaguzi huo, Waziri Mkuu ameridhishwa na hatua zilizofikiwa na...
  13. Nilitembelea makaburi ya Watakatifu ambayo kisiasa huitwa mashujaa

    NILITEMBELEA MAKABURI YA WATAKATIFU AMBAYO KISIASA HUITWA MASHUJAA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Taikon wa Fasihi. Basi nikasema, mimi naam ndio mimi mwenyewe. Nitaenda kwenye makaburi. Yalipo makaburi ya Watakatifu. Tena nikiwa njiani kumbe katika njia hiyo sikujua kuna makaburi mengine...
  14. M

    Mashujaa FC Vs Simba Sc Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma, 14 Mei 2026

    Yap Yap ni Leo, Mei 14 2026 Simba ndani ya Msitu mzito wa Sokwe Aina ya Mashujaa FC, Mashujaa wamejiapiza kuikaanga Simba siku ya leo huku Simba wakiweka wazi kuwa kilichowapeleka Kigoma ni alama 3 tu na si vingine, kwani utalii wa kuona Sokwe si jambo lao. Simba leo watakuwa na Presha kubwa...
  15. Mashujaa Waliolala Makaburi ya Kisutu

    https://youtu.be/FTL0gAKNrBU?si=QOY--5luLyAfX_GP
  16. Shigongo: Hatuwezi kuendelea kama Wezi wanaonekana mashujaa, hawaogopi mali ya Umma, wanaiba, hakuna kinachotokea

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo akizungumza Bungeni, Aprili 2, 2026, alipokuwa akichangia hoja Bungeni.
  17. Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

    Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele...
  18. Kwanini kwenye vitabu vyetu haziwekwi picha sahihi za mashujaa wa majimaji?

    Picha tunayoitumia kwenye vitabu haionyeshi uhalisia wa hali ya waafrika miaka hiyo ya 1905. Yaani hii picha haikufaa kabisa kuendelea kutumika. Hiyo ni picha ya kuchorwa na mkono. Picha inamuonyesha Kinjeketile kama Mtu mwenye kitambi/kiribatumbo, yupo tumbo wazi, anamduara ule kichwani...
  19. Mashujaa: Siku tunacheza na Yanga tulikuwa hoi kwa kushiba maana mchana tulikula nao

    Anasema mchezaji mmoja wa Mashujaa ambaye ni mmoja ya Walinzi. Masaa kadhaa kabla ya kucheza na Yanga walikuwa wamekutana na uongozi wa wao na wa Yanga. GSM aliingia ufadhili nao na hivyo baada ya kutiliana saini wakapewa vyakula na vinywaji. Kwa kweli anasifia walikula sana na kufurahi...
  20. FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC l NBC premier League l MEJ GEN.ISAMUHYO l 29-1-2026 l 16:00HRS

    Matchday ; Simba SC vs Mashujaa FC Tunaanzia tulipoishia. Nguvu Moja 💪 All the best Simba 🦁
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…