mashamba

Mashamba East is an open pit copper mine near to Kolwezi in Katanga Province, Democratic Republic of the Congo, currently not being actively worked.

View More On Wikipedia.org
  1. Diwani na M/Kiti wa Kijiji (CCM) Mbigiri-Kilosa wanapora na kuuza mashamba ya wananchi. Serikali iingilie kati suala hili

    Hiki ni Kijiji cha Mbigiri kata ya Mbigiri wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro ambacho kinaoongozwa na diwani anayefahamika kwa jina la Watende Rashidi na mw/kiti wa kijiji anaitwa Jalala. Viongozi hawa kwa pamoja wanashirikiana KUPORA na KUUZA mashamba ya wananchi katika kata hiyo...
  2. Waziri Ndumbaro azindua Jengo la Utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato, atoa maelekezo kwa Sekta ya Utalii nchini

    Waziri wa maliasili na utalii Dkt. Damas Ndumbaro leo January 12 akizindua jengo la utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato ameiagiza bodi ya utalii nchini kuhaakikisha kuwa inapeleka watalii wa kutosha kwenda kujionea maajabu ya msitu mnene wa Biharamulo-Chato hivyo kuongeza mapato ya...
  3. Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kilosa anafisidi mashamba ya ushirika wa miwa

    Habari wanaJF, Huyu anafahamika kwa jina la Ameir. Ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Wilaya ya Kilosa. Kama mnakumbuka huyu alishawai kutajwa na waziri wa ardhi mh Lukuvi mbele ya Rais Magufuli kuwa anamiliki mashamba makubwa kinyume na utaratibu. Kwa sasa amevamia kata inaitwa Mbigiri na...
  4. Brother amepata likizo anakuja kagua mashamba na mtaji nilishakula sijui nifanyeje

    Asee Christmas kwangu imekuwa ya hovyo balaa, naona kama imekuja niumbua. Kwanza kabisa mimi ni kijana wa miaka 33 ni degree holder lakini mpaka sasa sina kazi ya kueleweka, jambo ambalo limefanya nishindwe kuwa na familia. Maisha Dar yalinitandika haswa ikabidi nirudi kwa mama ndio mpaka sasa...
  5. Mashamba ya Mkonge Katika Manispaa ya Morogoro Usalama Umezingatiwa?

    Wanabodi, Hili bandiko la ulizo kuhusu usalama wa maisha ya wakazi wa manispaa ya Morogoro kwa kuwepo mashamba makubwa ya mkonge mali ya magereza huku idadi ya wakazi wake kuzidi kuongezeka na mahitaji ya ardhi kuwa makubwa. Eneo kuanzia Mkambarani hadi Kingolwira kuna mashamaba makubwa kando...
  6. Maelfu ya nzige yavamia mazao Tabata Sukita

    Katika hali ya mstuko, wadudu jamii ya nzige wamevamia mazao eneo la Sukita huko Tabata. Wameleta uharibifu kama wa kutafuna miti, mahindi na mboga za majani. Wakazi wa eneo hilo wamesema kwamba nzige hao wamevamia eneo lenye kijani kibichi usiku wa kuamkia leo na muda unavyozidi kusogea eneo...
  7. Njombe: Mfungwa apora Bunduki kwa Askari na kumpiga kaka yake kwa kushindwa kumtoa Gerezani na kuuza mashamba ya familia

    Kijana, Isaack Kawogo(24) aliyempora Askari magereza silaha aina ya SMG Usigani mkoani Iringa ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi baada ya kumjeruhi kaka yake, Andres Kawogo(61) akimtuhumu kuuza mashamba na kushindwa kumtoa gerezani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamis Issah amesema tukio...
  8. Viwanja Pacha vyenye Hati Miliki Vinauzwa MBWENI-Maputo

    Ni Viwanja 'pacha' kwa Matumizi za Shughuli za makazi. Vinauzwa vyote kwa pamoja au kimojakimoja. Eneo: MBWENI-Maputo, Maarufu kama Kwamasista. Ukubwa: Kimoja ni SQM 1227, Kingine ni SQM 1234. Jumla Viwanja vyote vina eneo la ukubwa wa SQM.2451. Umiliki ni HATI MILIKI ya Wizara ya...
  9. B

    Mbeya Uyole & Mbulu: Nahitaji mashamba ya kilimo

    Wanajamvi, Naombeni msaada kama kuna mkazi wa Mbeya Uyole au Mbulu, nahitaji kukodi shamba heka kuanzia 2 ili nikalime huko maisha magumu huku mjini. Kama yupo tafadhali naomba umsaada wa kupata shamba Mbeya Uyole au Mbulu kama inawezekana nipate mawasiliano yako tujadili kuhusu upatikanaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…