mashamba

Mashamba East is an open pit copper mine near to Kolwezi in Katanga Province, Democratic Republic of the Congo, currently not being actively worked.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Maeneo ya Bugulula tupewe makazi na mashamba tunaishi kama wakimbizi

    Wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita tuliishi kwa kuchimba madini lakini maeneo yote wamepewa wawekezaji sehemu ndogo iliyobaki eti ni Maliasili, sisi hatuna Ardhi ya kilimo tukiingia porini kulima tunapigwa mpaka kupata ulemavu. Serikali imetufanya Brudoza za kungo'a visiki Ardhi...
  2. L

    Mafunzo ya STB ya China yaibua ndoto za wanafunzi wa Afrika kuanzisha mashamba yao ya kilimo

    Asubuhi na mapema Benson Phiri anatembea kwenye shamba la mipesheni, huku akiwa anaangalia majani ya mmea wa pesheni kisha akashika polepole kwa mkono wake wa kulia tunda moja lililo mtini, na kusema “angalia tunda hili linakaribia kuwiva”. Benson Phiri (28) ni mwanafunzi kutoka Malawi ambaye...
  3. Maisha ya watu wa Pwani sio kabisa, Ugomvi wa mali! Mipaka ya mashamba usishirikina, Watu wanakufaga vifo vya utata

    Wakuu nihonzave!. Nimechunguza maisha ya watu wa kusini na pwani ya Tanzania. Sio watu wa kutania kabisa, mpaka tu mita tatu au nne kuzidi upande mmoja kila mtu anasema kwake watu wanauanaga kabisa achilia mbali kurogana. Kuna mama jirani yangu, aliwah kufa kifo cha kutatanisha sababu ya...
  4. Shamba ekari 113 linauzwa Mufindi, linafaa kwa mazao mbalimbali

    Habari wakuu, "Ukitaka mali utaipata shambani" Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi. Iringa, hususani wilaya ya Mufindi ni injini ya horticulture inayokua kwa kasi sana Nyanda za Juu Kusini. Kuwa sehemu ya wawekezaji wa eneo hili la kimkakati. Kwa anayehitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha...
  5. Kero ya kunyang'anywa mashamba Makomero Igunga

    WAMILIKI WA MASHAMBA – KATA YA MAKOMERO IGUNGA MJINI – TABORA TANZANIA Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: MHESHIMIWA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU DODOMA YAH: OMBI LA SERIKALI KUPITIA OFISI YA WAZIRI MKUU KUINGILIA KATI NA KUCHUNGUZA MGOGORO WA MASHAMBA KATIKA...
  6. Ombi la serikali kupitia ofisi ya waziri mkuu kuingilia kati na kuchunguza mgogoro wa mashamba katika kata ya Makomero, Igunga mjini, Tabora

    Mheshimiwa Waziri Mkuu, Sisi, wamiliki wa mashamba katika eneo la Makomero, Igunga Mjini, Mkoa wa Tabora, tunawasilisha kwako ombi hili kwa heshima kubwa tukiiomba Serikali kupitia Ofisi yako iingilie kati na kuwezesha uchunguzi wa kina kuhusu suala la matumizi na umiliki wa mashamba katika...
  7. A

    KERO Serikali iingilie kati na kuchunguza mgogoro wa mashamba katika Kata ya Makomero, Igunga Mjini

    WAMILIKI WA MASHAMBA – KATA YA MAKOMERO IGUNGA MJINI – TABORA, TANZANIA Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: MHESHIMIWA WAZIRI MKUU Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu DODOMA YAH: OMBI LA SERIKALI KUPITIA OFISI YA WAZIRI MKUU KUINGILIA KATI NA KUCHUNGUZA MGOGORO WA MASHAMBA KATIKA...
  8. Je mwenendo wa Chuo cha SUA kuipeleka nchi kwenye Vijishamba vya mjini badala ya kukuza mashamba ya vijijini upo sawa?

    Chuo cha Kilimo SUA kiliwekwa makusudi ili kuleta tija katika kilimo chenye kutupatia chakula na mazao ya biashara. Kwa uchunguzi wangu naona kama vile kinataka kutupoteza na sasa kinatoa wahitimu na ujuzi wa kilimo cha nchi zisizokuwa na utajiri wa ardhi. Wengi wa wahitimu wa SUA wanakuwa na...
  9. Upimaji wa Viwanja na Mashamba Waendelea Nchini

    Katika mwaka wa fedha 2025/26, Wizara ilipanga kuratibu upimaji na uidhinishaji wa viwanja 500,000 na mashamba 500. Hadi Mei 15, 2026, jumla ya viwanja 193,317 vimepimwa na kuidhinishwa, sawa na asilimia 38.66 ya lengo, huku mashamba 515 yakiwa yamepimwa na kuidhinishwa, sawa na asilimia 103 ya...
  10. O

    Snails zimechukua Mashamba Mwea Rice Farmers Cry Out as Harvests Face Collapse

    Wakulima wa mpunga kutoka Mwea Irrigation Scheme wako na hofu kubwa baada ya uvamizi wa konokono (snails) kuharibu mazao yao kwa kiwango kikubwa. Hii ni crisis ambayo inaathiri moja kwa moja chakula na kipato cha wananchi wa kawaida. Farmers wanasema snails wanashambulia mpunga tangu nursery...
  11. Natafuta Mashamba karibu na mto, ziwa au bwawa lisilokauka mwaka mzima, kuanzia hekari 5-40

    Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa wowote lakini ikiwa mikoa ifuatayo itapendeza zaidi : RUVUMA , IRINGA , SONGWE , MOROGORO Nawasilisha
  12. Kwa uzoefu wangu, mashamba mengi makubwa ya bangi huwa ni ya viongozi wakubwa

    Ukibisha bisha tu lakini kiuhalisia ndio iko hivyo. Pwani wilaya ya Kisarawe maeneo ya mto Ruvu nikiwa huko kulikuwa na mashamba makubwa tu bangi ya vigogo na yana wafanyakazi kama sisi tulivyo na wafanyakazi kwenye kilimo cha nyanya. Vile napenda kuzurura nikaenda Morogoro tena hukohuko mto...
  13. A

    KERO Wakulima wa Mpunga Kilosa tunateseka na Mashamba, wakati wa mavuno Halmashauri wanakuja na ushuru unaotuumiza

    Halmashauri ya Kilosa kuchukua Sh 2,000 kwa kila gunia la mpunga kwa Wakulima wa mpunga katika Kata ya KIMAMBA A na KIMAMBA B Wilayani KILOSA mkoani MOROGORO, ni maumivu makali kwetu kwa kuwa ni kama hawatusaidii chochote kisha Wakulima wanaolima Bonde la Kimamba kwa sasa wanahangaika na...
  14. Wananchi Walia, Serikali Yaingia Kazini Kutatua Migogoro ya Mashamba Muheza

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Leonard Akwilapo (wa pili kulia) akizungumza wakati wa kikao cha kujadili utatuzi wa migogoro ya mashamba ya uwekezaji katika wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Wa pili kushoto ni Waziri wa TAMISEMI Prof Riziki Shemdoe na kulia ni Naibu Waziri wa...
  15. L

    Mradi wa maji uliojengwa na China wafufua mashamba ya Kenya

    Kando ya kingo za Mto Nzoia magharibi mwa Kenya, mabadiliko ya kimya kimya yanaendelea kuonekana na kukita mizizi. Mashamba ambayo hapo awali yalikuwa matupu, yakikauka kwa ukame na kuathiriwa na mafuriko yasiyotabirika, sasa yamenawiri huku yakiwa yamesheheni safu zilizostawi za mazao, kutokana...
  16. Mashamba ya kilimo cha Nanasi Bagamoyo na Chalinze

    Mashamba kwa ajili ya kilimo cha Nanasi/mahindi/migomba nk yanapatikana,Bago,kiwangwa na Talawanda..Na mashamba pori yanapatikana pia. Bei rafiki. .Simu 0626431257
  17. Plot4Sale Mashamba Bagamoyo Chalinze

    Kwa anayehitaji Mashamba pori Wilaya ya chalinze na Bagamoyo kwa ajili ya kilimo,ufugaji na ujenzi anichek 0626431257. (MWAVI,KIWANGWA,TALAWANDA,MSATA,MWETEMO,MASUGURU,NK) WHATSAPP/CALL:- +255626431257
  18. Kijana wangu ameteketeza kama 500M TZS kupata teuzi, leo kanipigia anasema bora tungebeba viwanja na mashamba tu Pwani

    Watu wengi walijua uteuzi mkuu utafanyika tena kipindi hiki na ushindani ungeishia ndani ya chama pekee, huku kwenye kura iendelee kuwa kiini macho. Pole mwanangu T, ulikuwa mpumbavu tu kwa kuwa ulikuwa unaenda kutetea utekaji, uuaji, ufisadi, maongezeko ya tozo in the name of KULINDA AMANI...
  19. Hivi ni Mikoa gani inaongoza kwa kuwa na Ardhi za bei nafuu?

    Hivi ni Mikoa gani inaongoza kwa kuwa na ARDHI ZA BEI NAFUU ( MASHAMBA kwa ajili ya KILIMO NA VIWANJA kwa UJENZI WA NYUMBA ) Ukinitajia top 3 yako inatosha .
  20. Allah alitoa kibali cha kufaidi wake zenu vyovyote tutakavyo. Tusipangiane matumizi ya mashamba yetu

    ALLAH AMEWARUHUSU WAISLAM KUNYONYA MATITI YA WAKE ZAO NA KUNYWA MAZIWA YAO NA KUWAINGILIA KATIKA TUPU ZAO WATAKAVYO. Allaah Kamhalalishia mume kufurahi kwa mkewe atakavyo. Anaweza hata kufanya naye mapenzi kwa njia mbalimbali. Allaah (Ta´ala) Kasema: نسآؤكم حرث لكم فأتوا حرثكم أنى شئتم "Wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…