marehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kumbe haya mambo ya cognate offence yalitabiriwa kitambo. Msikilize marehemu Alute Mgwai akijojiwa

    Hawawezi hawawezi ku substitute na kosa dogo, hawawezi! Kumbe waliweze?
  2. CCM kutoa pesa kwa ajili ya kujenga nyumba ya kisasa nyumbni kwa Marehemu ALUTE LISU MGHWAI, kumuenzi mwanaccm mwenzao

    Kwa Taarifa zilizonifikia ni kwamba Chama cha Mapinduzi kitatoa tsh million 200 kwa ajili ya kujenga nyumba, nyumbani kwao ALUTE LISU MGHWAI ili kuenzi mchango wake ndani ya CCM, pamoja na kwamba TUNDU LISSU amekuwa mbunge kwa miaka 10, na amefanya nafasi kubwa kubwa za kimataifa na hajawajengea...
  3. Mahojiano ya Khalifa wa Ze marehemu Alute Mughwai yamethibistisha yupo vizuri. Huwezi kulinganisha na waandishi uchwara aliowahi kuwataja hayati Mkapa

    Kijana ametulia. Anauliza maswali kwa umakini. Very analytical. Hata marehemu Alute Mughwai alikiri kumkubali. Waandishi uchwara kazi yao kujipendekeza na kuulizq leading questions. Kuandika makala ndefuuu kama treni la mkeka wa vijana wanaobeti. Kila kazi inahitaji kipaji.
  4. Marehemu Mojtaba Khamenei ajitutumua kutoka kaburini!!

    Marehemu Majitaka Khamenei Aonya Kuhusu Kukabiliana Bila Mipaka ya Kijiografia, Aamuru Orodha za Walengwa Zisasishwe Majitaka Khamenei amewaamuru makamanda kusasisha orodha za walengwa wa Marekani na Israeli na kuandaa majibu ya haraka kwa vitisho, huku akiwasilisha uratibu katika nyanja za...
  5. K

    Baada ya kuwaombea marehemu tuanze sasa kuzigusa familiar zao

    Baada ya kumaliza ibada ya kuwaombea marehemu waliofariki October 29, kanisa sasa liguse familiar za waliopoteza maisha na majeruhi Vijana waliouawa waliacha wake na watoto na kanisa lina shule zake ingekua vizuri kanisa likaanza kuwatafuta watoto wa waadhirika na kuwapa elimu bure kwenye...
  6. Kanisa katoliki huadhimisha siku ya Marehemu wote yaani Commemoratio Omnium Fidelium Defunctorum, kila mwaka tar.02 Nov, na sio ule unafiki wa teki.

    Siku ya Marehemu Wote inayojulikana Kilatini kama Commemoratio Omnium Fidelium Defunctorum, huadhimishwa kila mwaka tarehe 2 November, ili kuwakumbuka, kuwaenzi na kuwaombea waamini marehemu katoliki wote na waja wa Allah wote waliotangulia mbele ya haki. Mtakubaliana nami kwamba kilichofanyika...
  7. F

    PostGE2025 Majeruhi wengi wa Oktoba 29, 2025 waliopelekwa hospitali za Wakatoliki wapo hai, tusirudie makosa

    Hili liwe fundisho, Ukijeruhiwa Kwa dhulma za hawa vibaka wanaojiita walinda amani, kamwe usiende au usipeleke ndugu yako hospitali hizi wanazodai zao, Siku Ile mbaya, ndugu zetu wengi walipojeruhiwa, tulipowafikisha hospitali hizo, tuliamini watakuwa salama, cha kusikitisha hata miili Yao...
  8. K

    PostGE2025 Hili la kuwaombea marehemu wa Oktoba 29 linanitafakarisha sana

    Kwa utaratibu wa haya makanisa yetu makubwa Kuna vigezo unatakiwa uvifikie ndo upate huduma Yao ya kiroho, hata kama umekufa kama hujafikia vigezo vyao hata huduma ya mazishi hupati Najiuliza tu, hivi hii Misa ya kuwakumbuka waliofariki October 29 inawahusu waliokua waumini kamili au hata...
  9. M

    PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Kuwaombea Marehemu wa Oktoba 29, 2025, Si kuvuruga amani

    Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, Kagera Na kutukana vikali kwamba maskofu wanavuruga amani ya nchi kwa kufukua makaburi. Basi ukaanza kujiuliza hapa wito ni matamuko hilo? Ni kufukua makaburi? Ukimia unayoga wa wananchi ni amani hiyo? Sasa naomba niwasomee...
  10. T

    Eti kukumbuka mauaji ya Oct 29 ni uchochezi kwa hiyo muue watu kwa maelfu alafu ipite hivihivi!? Watu au mbuzi?

    Yaani nchi yetu Ina watu wana matatizo makubwa sana ya kufikiria Oct 29 2025 ni siku ngumu sana ambayo maisha ya watu wote yaliathirika vibaya sana. Maisha ya mamia kwa maelfu ya watanzania wenye hatia na wasio na hatia walipoteza maisha kupotea na kupoteza maisha na wengine kupata ulemavu wa...
  11. PostGE2025 Kanisa Katoliki kila Jumapili tunaombea marehemu wote, ila wa Oktoba 29, 2025 tuna maombi maalumu maana waliuawa kikatili

    Siku ya kumwombea Nyerere hufanyika kila mwaka, misa ya Mkapa hivyo hivyo, misa ya wafu wote waliotangulia mbele ya haki sisi uwa tunaiadhimisha tu. Tofauti ya marehemu wengine na hawa wa Oktoba 29, 2025 tunawaombea ibada maalumu kwa maana hawa waliuawa na wahuni, wezi wa kura, majizi wa...
  12. W

    “Nikipatikana nimekufa, waambie ni Sarah”: Shahidi Muiruri afichua mazungumzo ya mwisho na Marehemu Tob Cohen

    Kauli nzito iliyotolewa na aliyekuwa Mbunge wa Gatundu North, Patrick Kariuki Muiruri, mbele ya Mahakama Kuu imeibua tena maswali kuhusu hofu alizokuwa nazo mfanyabiashara wa Uholanzi Tob Cohen kabla ya kupatikana amefariki mwaka 2019. Akitoa ushahidi Jumatatu, Oktoba 12, 2026, katika kesi ya...
  13. M

    Baba wa marehemu Shukran Amos Said akataa mwili kuzikwa mpaka mahari ya TSh 1,500,000 ilipwe

    Baba wa marehemu Shukran Amos Said, mwanamke anayedaiwa kuuawa na mwanaume aliyefahamika kwa jina la Khatibu Mfaume katika eneo la Maili Mbili, jijini Dodoma, amekataa kuruhusu mwili wa binti yake kuzikwa na familia ya mume wake wa zamani kutokana na mgogoro wa mahari. Inadaiwa kuwa baada ya...
  14. Aliyeridhi mikoba ya Marehemu Gaidi Abu Obaida abwabwaja!!

    Abu Obaida wa 2, msemaji wa tawi la kijeshi la Hamas, katika taarifa inayoashiria miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7, anaelezea matumaini ya kufunguliwa kwa mstari wa magharibi dhidi ya Israeli: Miaka 3 imepita tangu kuvuka kitakatifu, siku ambayo silaha za wapiganaji zilivunja, mara moja na kwa...
  15. Andiko la Ben Saanane akihoji kuhusu uhalali wa PhD ya Marehemu John Magufuli

    Na, Ben-Rabiu Wa Saanane Kuanzia nilipoibua mjadala wa Uhalali wa Phd ya Mhe.Magufuli niliacha rasmi kumu-address kama Dr.Magufuli na kutumia Ndugu au Mheshimiwa tu hadi itakapothibitika ni Halali. Nimesoma Hoja ya Prof.Kitila kuhusu PhD ya Magufuli. Prof.Kitila ni Rafiki yangu sana.Yeye ni...
  16. Sheikh Mkuu, wa Tanzania, tunaomba ufafanuzi wa jambo hili la Eda kwa mke wa pili wa Hafidh Ameir,Mume wa Samia

    Mke ambaye ni wa pili katika ndoa, endapo mume wake amefariki dunia, je, naye anatakiwa kukaa eda (iddah) kwa muda uliowekwa katika Sharia? Na katika kipindi hicho, je, anapaswa kupewa faraja na kuheshimiwa kama mjane mwingine? Pia, tunaomba kufahamu: ikiwa mwanamke ambaye ni mke wa marehemu...
  17. Waziri Mkuu ashiriki hitma ya marehemu Hafidh Amir Hassan Kizimkazi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumatano, Septemba 09, 2026, ameshiriki Hitma ya kumuombea marehemu Hafidh Amir Hassan, aliyekuwa mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hitma hiyo imefanyika Kizimkazi Mkunguni, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar...
  18. M

    Wajua mchawi anaweza kumuuwa mtu ampendaye huku analia kuliko ambao hawajui marehemu kafa na nini?

    Huu ni ukweli kabisa,kwanza siku zote kwenye chama cha kichawi hawatakagi kula nyama za mataira,yaani watu wenye matatizo ya akili,au mtu mwenye roho mbaya,wao humtaka mtu mwenye adabu heshima anayekubalika na jamii inayomzungu na mwenye uwezo wa kimaisha, Sasa pindi anapoambiwa mchawi amtoe...
  19. K

    Kumbe shahidi wa ushahidi wa ziada upande wa Jamhuri kwenye kesi ya Lissu ni marehemu!?

    Kamishina msaidizi wa polisi Amini Mahamba aliyekuwa ameandaliwa na upande wa jamuhuri kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Lissu amekufa hata kabla ya october 29 Mwinjilisti Kamara Kasupa amebainisha hayo katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii kuwa kamishina Amini Mahamba ni clasmate...
  20. Kwa sasa dunia ilipofikia marehemu ni dili kwa viungo vyake

    Nikikumbuka uswahilini kuku anachaondolewa ni manyoya na kinyesi vengine vinabaki. Kwa dunia ya sasa ijaweka wazi ila wanadai mwanadamu ambaye kashafariki anaweza kuondolewa viungo ndani ya mda maalumu hata vyote na vikafanya kazi kwa mwanadamu. Tungepata Jokeri.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…