mara ya kwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 2026 FIFA U-17 Word Cup Qatar | 19 November - 13 December 2026 | Team ya Tanzania inashiriki kwa Mara ya Kwanza

    Vijana wetu wa Serengeti Boys wapo Qatar wakishiriki Kombe la Dunia kwa vijana under - 17. Hii ni fursa kwao kujitangaza Kimataifa na vile vile kuonesha ukomavu wapate Namba team ya Taifa Stars FIFA U-17 World Cup imeanza Leo tar 19 Nov hadi 13 December, ikiwa na jumla ya team 48 na...
  2. Si mara ya Kwanza Hospitali ya Muhimbili kutuhumiwa kuua Wanaharakati na Wapinzani wa Serikali

    Apumzike kwa amani mtoto Angel. Hospitali ya Muhimbili tangu zamani imekuwa ikituhumiwa kuua Wwakosoaji wa Serikali. Kitendo cha kusema hukubaliani, au ukiwa shahidi Mkuu unauawa. Mfano mtoto Angel aliikuwa ni kielelezo cha Watoto waliouawa bila kuwa kwenye maandamano. Samia alisema waliopigwa...
  3. R

    Siyo mara ya kwanza Simba kuwa na mgogoro wa namna hii

    Kwenye miaka ya 70 kulitokea mgogoro katika timu ya Simba kati ya waliojiita wasomi na wanachama wengine wa Simba kuhusu namna ya uendeshaji wa timu. Wengi wao wakiwa wafanyakazi wa mamlaka ya bandari, reli na taasisi za serikali walitaka timu iendeshwe kisasa matokeo yake wengine waliondoka...
  4. Studio session rasmi imeisha leo kwa mara ya kwanza napost picha zangu, bado videos

    Asante mungu atimae nimemaliza recording bado video production tu naachia ngoma zangu mbili, nadhani KAZI itabaii kwenu kusambaza mziki yangu Kuna wamiliki wa online media hapa pliz tushikane wakuu, page za insta fb nk
  5. Kwa mara ya kwanza Mungu Yesu kajitetea mwenyewe

    Padri alikua anaongea porojo akaamua ampe dozi hadi kufa
  6. Uchumi wa Tanzania Wafikia GDP ya $ 92 Bilioni mwaka 2025. Mbioni kuvuka $ 100 Billion Kwa mara ya kwanza Hapo 2027

    Nawakumba tuu wakati SSH anashima madaraka alikuta Uchumi uko $ 69 Bilioni lakini miaka 5 baadae tunaenda kuvuka $ 100b mwaka 2027 sawa na ongezeko la $ 30B ndani ya kipindi Cha miaka 5 tuu. Ndio kusema Hadi 2030 Kuna uwezekano mkubwa wa kufika $ 130 B ambapo atakuwa amekuza Uchumi Kwa kiwango...
  7. KERO Mama mjamzito kwenda clinic Kwa mara ya kwanza kuna kulipia kwenye hospital za umma?

    Habarini wakuu.. Leo mke wa rafiki yangu kaamua kwenda clinic, baada yakujihisi ni mjamzito wa zaidi ya miezi mitatu..akaamua kwenda hospital iliyopo chuo Cha polisi mkoa x..amefika anaambiwa anatakiwa alipie elfu 54 kwanza, hii ni haki?? Alikuwa na elfu 20 wamemkatalia kabisa..nawaza hii ni...
  8. Sifikiri kama ni mara ya kwanza

    Toka nimejiunga jf 2012 kumekua na maoni ambayo binafsi na yachukulia kama utani . Mara jf hakuna pisi , mara jf I'd zote madume jichanganye ukutane na mbupu😆, mara hakuna wanawake pisi atapatikana jf kwa nature ya mtando wenyewe unavyotaka watu wenye akili 🤔 Mara jf kuna majamaa ni...
  9. Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Huwa ni siku ngumu sana kwa mzazi kumpeleka mtoto shule kwa mara ya kwanza , umeshakaa na mtoto miaka 3 / 4 hajazoea na haujazoea mtoto kukaa na watu baki , yeye amezoea kukaa mazingira ya nyumbani na wewe umezoea kumuona akiwa home muda wote . So day one inakuwa ngumu sana watoto wengi wanakuwa...
  10. Itakuwa ndio mara ya kwanza tangu tupate uhuru makamu wa Rais kutolewa madarakani,CCM ijitafakari sana, siasa zao sasa hazilijengi Taifa.

    Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena! Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
  11. M

    Kwa mara ya kwanza Klabu za Tanzania zinaenda kumlipa mchezaji wa ndani milion $ signing fee, Muhindi kashikwa pabaya. hana budi kucheua mapene.

    Mkwanja Unazidi Kupanda 🔥 Kwa mara ya kwanza, klabu za Tanzania zinaenda kumheshimisha mchezaji wa ndani kwa kumuokotesha mapene ya dola milioni za Kimarekani, hela ambazo kwa mazingira ya soka letu kwa wachezaji wetu wazawa wa ndani ni kama radi inayopiga kwenye jua kali. Hakuna mchezaji wa...
  12. Wanasayansi wafanikiwa kwa mara ya kwanza kabisa kubaini neva za kisimi

    Wanasayansi wanatumaini kuwa utafiti huu mpya utakuwa "mwanzo wa sayansi ya kisimi". Hatimaye wamefanikiwa kuchora ramani ya neva za kisimi, miaka mingi baada ya ramani ya neva za uume kuchorwa, kupitia utafiti mpya ambao bado haujapitiwa rasmi na wataalamu wengine wa kisayansi (peer review)...
  13. Pikipiki ni tishio sasa, bora wangezingatia mara ya kwanza kuzibiti sheria (leseni). Kwa sasa imechukuliwa kama baiskeli kwa kila mtu

    Mabadiliko ya usafiri kwenye swala la pikipiki yamepokelewa na watu wengi hususani wale wenye vipato vya kati na chini. Lakini limekuwa tishio kwa sasa.Uwelewa wa matumizi ya barabara asilimia kubwa wanaotumia vifaa hivi wengi sio waelewa na wala matumizi ya barabara hawatahamu. Jambo...
  14. N

    Kuna nini kinaendelea CCM?

    Inavyoonekana, ni kama vile CCM kuna ombwe la ki Uongozi. Asha-rose Migiro hatoshi na hana sifa za kuendelea kuwa Katibu Mkuu hata kwa siku moja mbele! Ni Katibu Mkuu asiye na ushawishi wala hasikilizwi na yeyote. Yupo kimya kama vile alilazimishwa awe hapo alipo. Mbaya zaidi, pesa za Chama...
  15. Kwa mara ya kwanza nashuhudia ripoti ya vifo ikiwasilishwa kwa shangwe na makofi

    Labda sina exposure ya kujua vingi au mengi. Lakini utimamu wangu wa akili unakataa kabisa. Kwamba wahudhuriaji katika uwasilishaji wa ripoti ya mauaji wanashangilia na kupiga makofi!! Serious, kama vile inawasilishwa ripoti ya mapato ya uwekezaji mkubwa au ugunduzi wa mafuta?! Hayo makofi...
  16. R

    Australia yamteua Mwanamke kuongoza Jeshi kwa Mara ya kwanza katika Historia ya taifa hilo

    Australia imetangaza kuwa kwa mara ya kwanza katika historia yake, mwanamke ataongoza jeshi la nchi hiyo, ikiwa ni sehemu ya mabadiliko ya uongozi ndani ya vikosi vya ulinzi. Luteni Jenerali Susan Coyle, ambaye kwa sasa ni mkuu wa uwezo wa pamoja wa kijeshi, anatarajiwa kuwa mkuu wa jeshi la...
  17. Kwa mara ya kwanza nimeingia Sirari Kenya, tofauti ni kubwa sana, Watanzania bado tupo fofofo

    Wakuu, Narudia tena watz bado tupo fo fo fo Hivi karibuni niliamua nikazuru boda nikacheki maana sijawai toka nje ya nchi. Nikaamua kwene Border ya kenya na Tz. Nililala Sirari aisee pale ni kijiji, hamna chochote cha kusema kuna maendeleo, ni barabara moja na vumbi pande zote. NILIVYOVIONA...
  18. C

    Picha: Hiki ndo kitu kilichonifurahisha zaidi hapa JF siku nilipokiona kwa mara ya kwanza

  19. Yaliyonikuta nilipofanya mapenzi na Malaya kwa mara ya kwanza 2014

    Mara ya kwanza kulala na malaya ilikuwa mwaka 2014. Nikiwa nimetoka job nilikutana na mtoto wa baba mdogo (RIP), alikuwa na mshikaji wake wa chuo (Muhaya) sasa wale jamaa mi sikujua plan zao. Tukaingia mahali mitaa ya Sinza tukaanza kula msosi na kupiga story mpaka ikafika usiku. Kumbe wale...
  20. Kwa mara ya kwanza watu weupe wanapitia oppression na kuelewa inavyouma

    Katika wiki za hivi karibuni, Marekani imeonekana kama mahali ambapo taasisi za dola zinazotumia nguvu—kama ICE (Immigration and Customs Enforcement)—zinapoanza kutenda kwa ukali usio na uwazi, watu wengi weupe wameanza kuona na kuelewa jinsi nguvu hizi zinavyoweza kuumiza maisha ya kawaida ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…