Watu 18 wamefariki dunia katika Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya hii ni baada Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo kusababisha maporomoko ya udongo kutoka milimani kuvamia Makazi ya Wananchi katika kata mbalimbali.
Timu ya Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na Kamati ya Ulizi na Usalama...