mapendekezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Tungekuwa na wanasiasa wanaotuliza akili basi mapendekezo ya Tume ya Jaji CHANDE tungeyatumia kupata mabadiliko (Reforms)

    Ninaandika hivi kuwakumbusha wanasiasa na umma wa Watanzania kwamba Tume ya Jaji CHANDE ilipendkeza kuwa na Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa ,Kuwa na Katiba mpya ifikapo 2028 na kwamba chaguzi zijazo za 2029/2030 zifanyike chini ya Katiba mpya,Fidia kwa waathirika nk. Lakini kwa...
  2. Mapendekezo ya LHRC juu ya Hukumu ya Kesi ya Uchochezi ya Tundu Lissu

    Haya hapa mapendekezo na wito wa LHRC kulingana na hukumu ya kesi ya uchochezi ya Tundu Lissu 1. Wito kwa DPP Kupitia Upya Mashtaka ya Uhaini La kwanza ni kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kupitia upya mashtaka yote ya uhaini yaliyofunguliwa kwa kutumia kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya...
  3. S

    Hivi ICC wanasubiri ripoti na utekelezai wa mapendekezo yatayotolewa na Tume ya Jaji Lila?

    Hili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu mashitaka yaliyowadilishwa kwenye hii mahakama ya kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu. Je, mahakama hii haiwezi fanya uchunguzi na kuwashitaki wauaji wa mauji ya Oktoba 29 mpaka waone huu mchakato wa ndani unaendaje? Je, ICC wana amini hii...
  4. Serikali inaendelea kufanyia kazi mapendekezo ya CAG — Dkt. Mwigulu

    ▪︎ Asema hatua kali kuchukuliwa dhidi ya watakaobainika kufanya ubadhirifu WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaendelea kufanyia kazi mapendekezo yote yaliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), na kwamba hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika...
  5. M

    KERO Kwanini katika mfumo wa Sekretarieti ya ajira ikitangazwa kazi ya astashahada mwenye shahada anaambiwa hana sifa?

    Kuna changamoto katika mfumo wa ajira. Baadhi ya watu wamesoma kozi tofauti katika ngazi ya cheti na diploma, lakini nafasi za kazi zinapotangazwa kulingana na kozi walizosoma katika ngazi ya cheti, mfumo unawakatalia kuomba kwa madai kuwa hawana sifa zinazohitajika. Nashauri mfumo uruhusu...
  6. Rasimu ya Katiba Mpya: Mapendekezo ya Watanzania

    Good day Great thinkers! Kufutia mjadala mpana unaoendelea kuhusu katiba mpya huku kukiibuka mitazamo mbalimbali juu ya kuwezekana au kutokuwezakana kwa upatikanaji wa katiba hiyo, umuhimu wake na nini matarajio ya waTanzania. Nimeona ni vyema nikawasogezea Pdf ya Rasimu ya Katiba ya Jahmuri...
  7. Maoni na mapendekezo yangu kwa NHIF

    Salaam kwenu nyote. Bima ya afya (NHIF) kwa watumishi wa umma inahudumia wategemezi watano mbali na mchangiaji mwenyewe. Wapo watu kadhaa ambao wameainishwa kuwa wanaweza kuwa wategemezi wa mwanachama mchangiaji endapo vigezo vitafikiwa. Miongoni mwa wategemezi ni;mwenza, watoto na wazazi...
  8. O

    Tunamuomba Rais SAMIA SULUHU HASSAN auende Kamati ndogo ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Jaji CHANDE

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa,tunapendekeza na kushauri kwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kuunda Kmati au Timu ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Jji CHANDE.Kamati au Timu hii iuendwe na watu toka Serikalini,Taasisi za...
  9. M

    Kwenye mapendekezo ya makamu wa Rais nawaona waislamu, hilo halitawezekana kwasababu Rais sio Muislam wa Bara

    1. Julius Nyerere Abeid Karume Rashidi Kawawa Aboud Jumbe Ali Hassan Mwinyi 2. Ali Hassan Mwinyi Joseph Warioba John Malecela Cleopa Msuya 3. Benjamin Mkapa Omar Ali Juma Ali Mohamed Shein 4. Jakaya Kikwete Ali Mohamed Shein Mohamed Gharib Bilal 5. John Magufuli Samia Suluhu Hassan...
  10. M

    Mapendekezo ya ada za mashirika yasiyo ya kiserikali {NGOs}

  11. S

    Je, Tanzania inaweza kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola isipotekeleza mapendekezo yake?

    Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala. Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio. Swali ni je, kwa taratibu za Jumuiya ya Madola, kupuuza hayo maazimio kunatosha kuisimamisha Tanzania uanachama...
  12. Mapendekezo ya Tume: Njia ya Amani

    Tume ilitoa mapendekezo muhimu na ya kina ili kuzuia marudio ya ghasia na kuimarisha amani ya kitaifa. Mapendekezo haya yanatokana na uchunguzi wa kina na yanalenga kuimarisha utawala bora, uwajibikaji na mifumo imara ya demokrasia. Hii ni muhtasari wa kina wa mapendekezo yaliyotolewa...
  13. Haya sasa kimenuka kiwanda cha kusafishq mafuta kujengwa Mombasa sio Tanga mapendekezo ya aliko dangote

    Siasa hadi kwenye miradi mikubwa unaposema tunawapiga mikwaju wewe kilaza ulikuwa na maana gani? Kasongo amekuingiza chaka wewe ukajilipua eti nilikuwa sijui ndio nimejua kiwanda kinataka kujengwa Tanga ushuzi kabisa Haya dangote amesema sasa mapendekezo yake ni kujenga Mombasa kenya kwasababu...
  14. PostGE2025 Rais Samia: Vurugu hazikuondoa changamoto, bali zimeongeza

    Rais Samia amesema kuwa yaliyotokea Oktoba 25 (29) hayakuondosha wala kupunguza changamoto tulizokuwa nazo, bali zimeongeza changamoto. kama ghasia zile zisingedhibitiwa nchi ingepata athari kubwa sana na ingetuchukua miaka mingi kuinuka tena. Amewasii watanzania kulinda amani ya nchi.
  15. S

    Moja ya mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande itakuwa ni kuachiliwa kwa wafungwa wote wa kisiasa mlengwa mkuu akiwa Tundu Lissu

    Huu ndio utabiri wangu huku Tundu Lissu akiwa ndio mlengwa mkuu ili tu isionekane ameshinda kesi ya uhaini bali ametoka kutokana na mapendekezo ya Tume. Pia, mtarajie habari ya maridhiano kupitiia hii tume. All in all, wajue hatudanganyiki.
  16. HOJA Mapendekezo ya maboresho ya mfumo wa "Lipa kwa Simu"

    Ukuaji wa huduma za malipo ya kidijitali mitaani ni hatua muhimu kuelekea uchumi usiotegemea fedha taslimu (Cashless Economy). Hata hivyo, ili kufikia malengo ya kitaifa ya ujumuishaji wa kifedha, kuna haja ya kufanya mapinduzi katika muundo wa sasa wa malipo. 1. Kuanzishwa kwa Namba Moja ya...
  17. H

    Pongezi na Mapendekezo kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Napenda kutoa pongezi la dhati kwa jeshi la polisi Tanzania kwa kazi kubwa, ngumu, na yenye hatari mnayoifanya kila siku katika kulinda amani na usalama wa wananchi. Huu ni ushuhuda wa jitihada zenu, uvumilivu, na dhamira ya kutekeleza majukumu yenu kwa uadilifu. Hata hivyo, napenda kutoa...
  18. K

    Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA

    Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA. Idadi ya wabunge ipunguzwe na iendane na idadi ya watu. Kila mkoa uwe na maseta wawili tu. Senate vilevile itasaidia kwa wale watakao laumu wana wabunge wachache.
  19. MAPENDEKEZO: MFUMO WA "VIWANDA VYA AJIRA" KWA WAHITIMU WA UHANDISI NA UFUNDI

    Tanzania inazalisha maelfu ya wahitimu wenye vipaji katika fani za uhandisi, ujenzi, na usanifu majenzi kila mwaka. Hata hivyo, kuna changamoto mbili kubwa: uhaba wa ajira kwa vijana hawa na utegemezi mkubwa wa makampuni ya nje katika kutekeleza miradi ya miundombinu. Pendekezo hili...
  20. PostGE2025 Tume zilizowahi kuundwa na mapendekezo hayakuwahi kufanyiwa kazi

    1. Tume ya Nyalali 2. Tume ya Bomani ya Ardhi 3. LRCT – Mapendekezo ya Katiba 4. Tume ya Haki za Binadamu – Kisanga 5. Tume ya Sheria Kandamizi – Kisanga 6. Tume ya Uchaguzi – Ramadhani Ongeza nyingine hapo chini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…