maonesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Maonesho sekta ya ujenzi, viwanja vya Bunge Dodoma

    Maonesho sekta ya ujenzi - viwanja vya Bunge Dodoma. TAREHE: 27 - 28 MEI, 2024.
  2. Maonesho ya kumi ya uvumbuzi

    Nilifanikiwa Kushiriki Kwenye Maonesho Ya Kumi Ya Uvumbuzi, Yanayotambulika Kama, "Innovation for a Competitive Economy", Yaliyoandaliwa Na Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP). Kwenye Maonesho Haya, Niliweza Kujifunza Na Kupata Mawazo Ya Kujenga, Pamoja Na Kukutana na Vijana Wenzangu...
  3. J

    Maonyesho ya teknolojia za kisasa kwenye kilimo kuanza Aprili 30 Dodoma

    MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA 30 APRIL, 2024 Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge. Maonesho hayo yenye...
  4. Russia yafungua maonesho ya silaha za NATO zinazotekwa huko Moscow

    Russia leo imefungua maenesho rasmi ya silaha na zana za kivita wanazoteka huko Ukraine kutoka nchi za magharibi. Hii lwa upande wangu dharau kubwa sana na kwa jicho la mbali hii vita hata wampe Ukraine dollars trillion 100 hawezi kushinda hii vita. Wameanza kupeleka wanajeshi ngoja tuone...
  5. Bidhaa za kijani za China zata wateja wengi wa nchi za nje katika Maonesho ya Canton

    “Wafanyabiashara wanashughulika na biashara, huku wanasiasa wakishughulika na siasa.” Katika Maonyesho ya 135 ya Canton, yaliyofunguliwa wiki hii, mwagizaji wa Marekani Steven Selikoff alipozungumzia kauli ya Waziri wa Fedha wa Marekani Janet Yellen ambaye amemaliza ziara yake nchini China hivi...
  6. Ndege kubwa ya abiria ya C919 yashiriki kwenye Maonesho ya Ndege ya Singapore

    Ndege kubwa ya abiria ya C919 ya China hivi karibuni iliwasili nchini Singapore ili kushiriki kwenye Maonyesho ya Ndege ya Singapore ya mwaka 2024 yanayofanyika siku hizi. Hii ni mara ya kwanza kwa ndege kubwa aina ya C919 ya COMAC inayozalishwa nchini kuonekana nje ya nchi. Hali hii inaonesha...
  7. Maonesho ya Miaohui ya kuadhimisha Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina yafanyika nchini Uganda

    Maonesho ya Miaohui ya kuadhimisha Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina yaliyoandaliwa na Ubalozi wa China nchini Uganda pamoja na idara ya utamaduni ya Uganda yamefanyika hivi karibuni mjini Kampala, na kuwavutia maelfu ya watu waliotaka kushuhudia utamaduni maalumu wa Kichina. Maelfu ya Waganda na...
  8. Makonda anafanya maonesho kuliko kazi

    Moderator hamjanitendea haki uzi wangu kwenda kuunganisha na uzi wa Makonda atakuwa Waziri/Rais. Mada yangu ni tofauti. Naomba niulize swali kabla sijasahau. Je, CCM, kinyago walichokichonga wenyewe kimeanza kuwatisha? Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za nchini kwetu na kwa kiasi fulani, naona...
  9. Naibu Waziri Kigahe: Maonesho ya SIDO Kitaifa Mkoani Njombe Yavutia zaidi Wajasiriamali Kuonesha Bidhaa Zao Ikilinganishwa na Miaka ya Nyuma

    Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda, Exaud Kigahe wakati wa kufunga sherehe za maonesho ya SIDO kitaifa mkoani Njombe ambapo zaidi ya washiriki 628 wameonesha bidhaa zao kwenye maonesho hayo. Kigahe amesema kuwa mikoa yote nchini imeleta washiriki kwenye maonesho hayo kwa siku 10 na kutoa...
  10. Tunoposema ACT Wazalendo wanafanya mambo kwa maonesho na kuwakomoa CHADEMA ona sasa

    Hii ofisi ya ACT wazalendo ilifunguliwa mwezi wa6 imekuwa wazi kea miezi3tu,na wakati huo aah pilika za wadau kuingia na kutoka zikijuwepo,lakini sasa kwisha ofic mwezi sasa imefungwa nadhani mshahara hakuna watumishi wameghairi kuja.
  11. Sio roho mbaya kwa Mwakinyo ila kinachomfaa ni burudani na maonesho

    Mzungu anasema, "Put your money where your mouth is". Sasa jamaa anaongea sana zaidi ya anavyofanya boxing. Seems like kuburudisha watu na maneno yake ya ujuaji na uvaaji ndio anachokiweza zaidi kwa sasa.
  12. Nikumbusheni link ya uzi unaoelezea ndege ilodondoka uwanja wa taifa wakifanya maonesho

    Habari wakuu, Kuna uzi kila niki-earch siuoni, ulilezea miaka ya 70 na 80 kulkikuwa na ndege ya kijeshi ikifanya mazoezi uwanja wa taifa Dar. Ikamshinda rubani na kuelekea kuanguka. Rubani kwa kuona umati wa watu uliopo wangekufa wengi, akajitahidi kwenda kuidondosha nje ya uwanja, akafa yeye...
  13. B

    Rais Samia Hassan awasili Doha, Qatar maonesho ya kilimo expo 2023

    Doha 2 October 2023 Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan awasili Doha, Qatar kwa ajili ya International Horticultural Expo 2023 Doha Picha na habari : Rais Samia Hassan na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Qatar mheshimiwa Lolwah bint...
  14. Naibu Waziri Kigahe awataka Wakuu wa Mikoa kufanya maonesho ya Utalii

    Naibu Waziri Kigahe Awataka Wakuu wa Mikoa Kufanya Maonesho ya Utalii Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe (Mb.) amewataka Wakuu wa Mikoa yote ya Tanzania kuhakikisha wanafanya Maonesho ya Utalii ili kukuza utalii na kuongeza mapato ya nchi kwa kuwa sekta hiyo inachangia kwa...
  15. Maonesho ya Madini yafungua Mkoa wa Lindi

    #Mkoa watajwa wa Tatu kwa wingi wa Madini nchini. Ruangwa - Lindi Maonesho ya Kwanza ya Madini na Fursa za Uwekezaji yanayoendelea Mkoani Lindi yametajwa kuufungua mkoa huo kiuchumi na kuongeza fursa mbalimbali za uwekezaji katika Sekta ya Madini. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Dkt...
  16. Huduma za TGC kivutio maonesho ya madini na uwekezaji mkoani Lindi

    Ruangwa - Lindi Wadau mbalimbali wanaoshiriki Maonesho ya Madini na Uwekezaji mkoani Lindi wamevutiwa na bidhaa zilizozalishwa na Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) katika banda la Wizara ya Madini. Baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa na TGC kutokana na madini mbalimbali zilizopo katika...
  17. Dkt. Mpango: Wanaotumia lugha za ovyo dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi nawasihi kiungwana waache. Yanayoendelea nchi jirani watu wanayaona

    Fuatilia kinachojiri kwenye ufunguzi wa maneno ya nanenane Mkoani Mbeya, leo Agosti 1, 2023 ambapo Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni mgeni Rasmi. === Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge litaendelea kufanya kazi na Serikali katika...
  18. J

    Victoria Mwanziva: Karibuni banda la Wilaya ya Ludewa kwenye maonesho ya nane nane Mbeya katika viwanja vya Mwakangale

    NANE NANE MBEYA 2023 KARIBUNI BANDA LA WILAYA YA LUDEWA Maonyesho ya Kilimo - Nane Nane 2023 yafunguliwa leo tarehe 01.08.2023 katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya ambapo mgeni rasmi wa sherehe hizo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango...
  19. Karibuni kwenye banda la NEMC Maonesho ya Kimataifa Nanenane Mkoani Mbeya

    Karibuni kwenye banda la NEMC Maonesho ya Kimataifa Nanenane Mkoani Mbeya.
  20. Kampuni 266 za Nje ya Nchi zinashiriki maonesho Sabasaba 2023

    Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk Ashatu Kijaji amesema kampuni za nje zilizoshiriki katika maonyesho ya 47 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) mwaka huu zimeongezeka ikilinganishwa na mwaka jana. Mwaka huu jumla ya kampuni 266 kutoka nje zimeshiriki maonyesho hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…