maonesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Ndege F-16 Yafeli Maonesho ya Maneuver na Kumuua Rubani

    Jana Alhamisi, tarehe 28 Agosti 2025, katika Kituo cha Jeshi la Anga cha Radom kilichopo Warsaw, Poland, ndege ya kivita ya kimarekani aina ya F-16 ya Jeshi la Anga la Poland, ilipata ajali mbaya wakati wa mazoezi ya maonesho ya anga. Rubani alijaribu mbinu ya barrel roll — yaani mzunguko wa...
  2. MOI yahudumia Wananchi 1,981 Maonesho ya Nanenane 2025 Dodoma

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha ushiriki wake katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane 2025' jijini Dodoma kwa kutoa huduma kwa wananchi 1,981. Huduma zilizotolewa na MOI zilihusisha uchunguzi wa awali (Screening), ushauri wa kitaalamu kuhusu matatizo ya mifupa...
  3. Tanzania yang'ara Maonesho ya 97 ya Kilimo na Biashara Zambia

    Tanzania imeibuka mshindi wa pili katika maonesho ya kimataifa ya 97 ya kilimo na biashara yaliyofanyika Lusaka, Zambia kuanzia tarehe 29 Julai hadi 4 Agosti 2025. Tanzania imetangazwa kuwa mshindi wa pili kati ya nchi 25 zilizoshiriki maonesho hayo ikitanguliwa na Zimbabwe iliyoshika nafasi ya...
  4. Rais wa Zambia aipongeza Tanzania kushiriki Maonesho ya 97 ya Kilimo na Boashara Zambia.

    Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema ameipongeza Tanzania kwa kushiriki katika maonesho ya 97 ya Kilimo na Biashara ya Zambia ambayo yametumika kama jukwaa la kuimarisha ushirikiano wa kiafya na usafirishaji baina ya nchi hizo mbili. Pongezi hizo amezitoa leo Agosti 02, 2025 jijini...
  5. MOI yang'ara Maonesho ya Elimu ya Juu Pemba

    Washiriki wa maonesho ya elimu ya juu yanayoendelea visiwani Pemba wamevutiwa na banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), ambapo wengi waliotembelea banda hilo kupata elimu juu ya huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa wamepongeza. Afisa Uhusiano wa MOI, Bw. Abdallah...
  6. Wengi wavutiwa Banda la TPA maonesho Sabasaba

    Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi yanayozidi kuvutia wawekezaji wa kigeni kuja kuwekeza hapa nchini hususani katika sekta ya usafirishaji. Akizungumza na wandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Bw Plasduce Mbossa, Afisa Mwandamizi wa Masoko Bw Nocha...
  7. W

    Zaidi ya washiriki 300 kujitokeza maonesho ya madini mkoani Lindi

    Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara kufungua maonesho ya Madini Lindi wilayani Ruangwa Zaidi ya Washiriki 300 wamejitokeza kushiriki Maonesho ya Pili Lindi (LINDI MINING EXPO 2025 yanayofanyika kuanzia tarehe 11 hadi 14 Juni 2025, katika Viwanja vya Madini -...
  8. Wafanyabiashara wa Zimbabwe watafuta fursa katika maonesho ya CIIE Shanghai

    Mdau wa biashara wa Zimbabwe amesema Maonesho ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya China CIIE yametoa jukwaa kwa kufungua fursa za kibiashara kwa sekta ya bidhaa za sanaa ya Zimbabwe. Maonesho hayo yaliyofanyika huko Shanghai, mashariki mwa China kuanzia Novemba 5 hadi 10, ni moja...
  9. Waziri Kombo atembelea maonesho ya kimataifa ya biashara ya Cuba

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo tarehe 05 Novemba, 2024 ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Havana. Maonesho hayo yamewakutanisha wafanyabiashara wa ndani na Kimataifa ambao wanatangaza huduma na bidhaa zao ili...
  10. Waziri Mavunde - Maonesho ya Madini Geita Kuboresha Kufikia Hadhi ya Kimataifa

    MAONESHO YA MADINI GEITA KUBORESHWA KUFIKIA HADHI YA KIMATAIFA-MAVUNDE - Rais Samia Suluhu Hassan kufunga maonesho -I dadi ya washiriki wa nje ya nchi waongezeka - RC Shigela aeleza mpango wa kujenga majengo ya kudumu na kuboresha miundombinu 📍Bombabili EPZ, Geita Waziri wa Madini Mh...
  11. Waziri Dkt. Ndumbaro Atembelea Maonesho Tamasha la Tamaduni

    WAZIRI DKT. NDUMBARO ATEMBELEA MAONESHO TAMASHA LA TAMADUNI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Septemba 22, 2024 amekagua mabanda ya maonesho katika Tamasha la Utamaduni la Tatu la Kitaifa linaoendelea katika Uwanja wa CCM Majimaji Mkoani Ruvuma. Maonesho hayo...
  12. N

    Wakulima wa miwa kilombero kunufaika na ubunifu kupitia maonesho ya teknolojia wilayani humo

    Wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero wanatarajiwa kunufaika na ubunifu sambamba na teknolojia za kisasa za kilimo zitakazooneshwa kupitia maonesho ya siku ya wakulima wa miwa Kilombero, yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Oktoba 2024. Maonesho haya ya siku tatu yanaungwa mkono na...
  13. Kupinga Mabadiliko: Hadithi ya Maumivu ya Majuto tuyatumie vizuri maonesho ya nanenane

    Mwaka 2000, teknolojia ya kamera za digitali iliibuka na kuleta mtikiso katika sekta ya upigaji picha. Wapiga picha wakongwe waliamua kuendelea na kamera zao za filamu wakiamini kuwa teknolojia ya digitali haitadumu. Lakini mambo yalibadilika—haraka zaidi kuliko walivyotarajia. Kamera za...
  14. Kanisa katoliki ufaransa la laani maonesho ya ufunguzi wa mashindano ya olimpiki parisi 2024.

    Catholics, others respond to mockery of Last Supper at Paris Olympics In reparation for the blasphemy, Bishop Donald Hying of Madison, Wisconsin, called on Catholics to “fast and pray, renew our devotion to the Eucharist, the Sacred Heart and the Virgin Mary.”/ Credit: "EWTN News Nightly" /...
  15. Sherehe za Kufunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuyafunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024 yanayofanyika viwanja vya Sabasaba, Temeke, jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya Sabasaba yalifunguliwa tarehe: 03 Julai 2024 na Rais wa Jamhuri...
  16. Mameya na wafanyabiashara Comoro kushiriki maonesho ya Sabasaba

    TAARIFA KWA UMMA: MAMEYA NA WAFANYABIASHARA COMORO KUSHIRIKI MAONESHO YA SABASABA Kufuatia juhudi za utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi, Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) umefanikiwa kushawishi jumla ya Wafanyabiashara...
  17. Maonesho makubwa ya mifugo na mnada kufanyika kuanzia 14-16 juni 2024

    Chama cha wafugaji kibiashara(Tanzania commercial cattle society) kimeandaa maonesho makubwa ya mifugo na mnada yatakayoanza tarehe 14-16 juni 2024. Yatafanyika katika shamba la Mbogo ranches lililopo Ubena zomozi, km kadhaa baada ya kutoka Chalinze. Shamba hilo lipo kando ya barabara ya...
  18. UDSM Yawaalika wadau katika maonesho ya utafiti na ubunifu msimu wa 9 yatakayofanyika Juni 5-7, 2024

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam- UDSM kinakualika katika maonesho ya wiki ya Utafiti na Ubunifu msimu wa 9 - 2024 yatakayofanyika 5 -7, June 2024 katika ukumbi wa Maktaba Mpya. Akizungumza katika Ukaribisho huo, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo - Utafiti, Profesa Nelson Boniface amesema mwaka huu...
  19. Bashungwa Akagua Maonesho ya Sekta ya Ujenzi - Bungeni

    Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, amekagua mabanda ya Maonesho ya Sekta ya Ujenzi ambayo yanalenga kutoa elimu na huduma kuhusu kazi zinazofanywa na Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake. Maonesho hayo yanayotanyika kwa siku mbili katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma kuanzia leo Mei 27, 2024...
  20. Waziri Bashungwa akagua mabanda ya Maonesho ya Sekta ya Ujenzi katika viwanja vya Bunge

    BASHUNGWA AKAGUA MAONESHO YA SEKTA YA UJENZI Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, amekagua mabanda ya Maonesho ya Sekta ya Ujenzi ambayo yanalenga kutoa elimu na huduma kuhusu kazi zinazofanywa na Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake. Maonesho hayo yanayotanyika kwa siku mbili katika viwanja vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…