maneno

Maneno was a blogging application powered by PHP, Smarty, and MySQL with content management capabilities. Initially released in October, 2008, it focused on creating a multi-theme, multi-author, multi-lingual system that works in a hosted setting [1]. The name Maneno means 'words' in Swahili and the site focused on having low latency/filesize options to make it fast to load on low bandwidth connections [2]. Additionally, it had an architecture that allowed for heavy customization by end users.
The core of the system was envisioned after a trip to the Democratic Republic of Congo in 2008 by two of the founders. They realized that while trying to write articles from the country via VSAT connections, the connection speeds proved incredibly slow and discouraging for not only them, but anyone striving to pursue citizen journalism endeavors [3]. Additionally it was shown that the language spheres of Africa had nearly no crossover between one another. Taking these issues into account and coming to the conclusion that no current blogging system adequately addressed them, this entirely new platform for blogging was created to serve the African blogging community.
Maneno was available in Bambara, English, Spanish, French, Fula, Swahili, Lingala, Portuguese, and Zulu. The available languages covered all of the lingua franca languages of Africa as well as a selection of large local African languages that were gradually added to. The site worked in allowing a user to be able to view and interact with the site in any one of the languages available for the interface as well as being able to translate articles and sections of the site via a crowdsourcing method [4].
In August 2010, Maneno announced that would be scaling back their extensive social media outreach initiatives to focus on developing the core technology of the site [5] and as of 2014, the site is now inactive.
The Board of Directors were a group of bloggers and technology enthusiasts working to expand the platform and reach out to new bloggers. Members were: Rebecca Wanjiku [6], Elia Varela Serra, Saul Wainright, and Miquel Hudin.

View More On Wikipedia.org
  1. Wameshindwa kulinda mgombea mbele ya polisi watano wataweza kulinda kura mbele ya jeshi? Wamepewa maneno wakagonga tano wakaondoka zao

    Haya matapeli banah. Yameenda mbele ya geti la tume wakakutana na polisi hata nyota moja hana. Huyu polisi akaanza kuwaambia sijui mshenga sijui barua. Mara si mnaongea tu yanaisha? Wakaitika ndiyo mzee wakagonga tano na huyo polisi wakaondoka zao. Ila mgombea wao ndiyo kakatwa hivyo. Sasa...
  2. Gwajima tunakuomba Using'ate maneno ile siku ni Leo hebu sema lile neno pole pole ameanza wewe Maliza!!

    Sisi tunazidi kuchochea kuni.. Tunataka waendelee kukaza fuvu zao hivi hivi ili Mapigo yawashukie kama kipindi cha agano la kale! Mwenzako H.P kakataa wahuni na Kamwaga unga na mboga vyote.. Haya ni zamu yako sasa.. Sisi tumeandaa bando na VPN tayari.. Nireteeeni Gwajmaaaa
  3. Vijana wa zamani tulitumia maneno tu

    Naam ni maneno tu yalitumika kupata mwanamke wa aina yeyote.... Ingawa wengine walijaaliwa vitu na pesa (mtama kwa watoto). Kwa vijana wa sasa hawana uwezo wa kumuimbisha mwanamke kwa maneno mpaka mwanamke akalegea.....kwa sasa wanatumia simu kutongozea aidha hawana ujasiri wa kuimbisha ana...
  4. Watangazaji wa mpira Azam TV waache kupotosha matumizi ya baadhi ya maneno ya kiswahili

    Azam TV inawatangazaji mahiri sana wa mpira ila kinachosikitisha ni namna wanavyoamua holela kubadili maneno au matumizi ya maneno bila kujua athari zake. Mfano walianza kuita mpira eti mali, na hii imekua kama lugha rasmi kwao.. kuanzia dakika ya kwanza hadi ya mwisho unaweza usisikie wametaja...
  5. Vibe za sherehe ukumbini: Ipe maneno clip hii

  6. Huyu dada anahoja lakini anaiwasilisha kwa maneno makali sana!

    Anaongea point Sana Lakini anatumia hip-hop iliopita kipimo Minamshauri apunguze ukali wa maneno maana anashambulia Sana, japo anayoongea Yana ukweli.
  7. Elezea video hii Kwa maneno 3

    Zawadi au Rushwa?
  8. Kwa hali ilivyo huko Dodoma, Ipe maneno picha hii

    Dakika za Jioni........ Kwa pozi hili unadhani nini kinaendelea katika ubongo wake kwa sasa?
  9. Maneno haya si mageni nchini

    Maneno haya pengine siyo mageni sana kwako "The one who got you here won't get you to the next level" yanabeba maana ya kina katika muktadha wa maendeleo ya mtu binafsi, kazi, uongozi au mafanikio kwa ujumla. Tafsiri yake ya moja kwa moja ni: "Yule aliyekufikisha hapa, hawezi kukufikisha ngazi...
  10. Naomba mnisaidie wingi wa Maneno haya

    Wakuu, Naomba wingi wa maneno haya; 1.Ulimwengu 2.Uchumi Ahsante
  11. Mfikishieni Salamu Samia ya kwamba Maneno huumba Kilio Cha watanzania hakitaenda bure

    GT Tunasema 'Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu" hata kiswahili chetu kinasema "Wengi wape". Hatakiwi kabisa na yeyote huyu.mama. Sasa huyu naona anajidai kuziba masikio anavunja katiba ya nchi na Chama kwa maslahi binafsi. Anatumia.pesa na hila kupoka madaraka ambayo hayawezi. Hivi vilio na...
  12. Mnaambiwa Maneno gani hadi mnakubali kufunga kizazi hata kukitoa?

    Salaam, Kuna watu wenyewe bila kulazimishwa wanaenda Hospitali kutoa kizazi au kukifunga wasizae tena. Mnaofanya hivyo, Mnaambiwa Maneno gani hadi mnakubali kufunga kizazi hata kukitoa? Ni akili ya kawaida au changamoto ya akili? Wanalishwa sumu gani ya maneno hadi wanakubali? Halafu unakuta...
  13. Z

    GE2025 Polepole kachemka, bora angemtafuta msemaji mwingine kusema maneno yale

    Inahitaji akili ya juu unapopanga jambo kama hilo. Kama Polepole angerudisha band nyuma kidogo (2020-Uchaguzi wa wabunge), na kumuona Polepole wa wakati ule akajilinganisha na Polepole wa 2025, kweli asingesema maneno hayo. Kitu sahihi cha kufanya katika hali hiyo ni kuingiza maneno hayo katika...
  14. S

    Tupimane kwa matokeo ya kazi sio maneno maneno

    Asante sana presidaaaa Samia Suluhu Hassan, president of the United Republic of Tanzania. Mtu anapimwa kwa matokeo sio maneno, udini, chuki, wivu nk. Hakuna serikali iliyomwaga mahela kwenye miradi kama serikali hii, hakuna kijiji ambacho utaenda hakuna hela ya mkuu wa nchi. Mnataka mtu...
  15. Tofauti kati ya neno 'niko' na 'nipo' katika Kiswahili

    Kuna tofauti iliyopo kati ya neno Niko na nipo japokuwa hatuizingatii sana tunapoandia au kuongea. Niko Inarejelea sehemu kwa mfano sasa hivi niko chumbani najamiiana na mke wangu. Nipo Inaonesha hali ya kuwepo (kuwepo kwa kitu au mtu sehemu fulani) kwa mfano, Mwalimu: Mbooyapunda...
  16. Viongozi unapoishi wanawajibika kwa wakati au maneno mengi tu?

    Katika hali kama hizi ambapo miundombinu huharibika kutokana na sababu mbalimbali na kusababisha Wananchi kuingia kwenye mateso makubwa wanapokosa huduma za msingi kwa muda mrefu. Hali hiyo huhitaji maamuzi ya haraka ya kurekebisha miundombinu bila kusubiri msukumo kutoka ngazi za juu, lakini...
  17. Je ulijisikiaje ukisemwa na watu kwa maneno ya uzushi / uongo / husda / chuki, na watu...mpaka ukijitazama kwenye kioo unasema sio wewe?

    Uzushi, husda na chuki vinaumiza sana – si kwa nguvu ya maneno yenyewe, bali kwa jinsi jamii inavyohukumu bila kuuliza. Lakini pia, hali hiyo inaweza kuwa chachu ya mtu kuamka, kujiamini, na kujitengeneza upya kwa uthabiti zaidi. NAFSI inajiuliza . "Nimekuwa nani? Mbona wanasema hivi juu yangu...
  18. Amir Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga Cha Iran kabla ya kuangamizwa alisema anatamani kumuua Trump na wenzake

    Amir Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga cha Walinzi wa Mapinduzi ya Irani (ambaye aliangamizwa katika shambulizi la ufunguzi wa Operesheni ya "Simba Anayeinuka"), alisema katika mahojiano ya 2023 ya TV: "Tunatamani kuwaua Trump, Mike Pompeo (aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika...
  19. Picha inazungumza zaidi kuliko maneno; Tizama picha na sema umeelewa nini ?

    Tafakari kuhusu kauli ya Rais Samia aliyoitoa mwishoni mwa juma katika uzinduzi wa kanisa la Mwamposa 'Arise and Shine' kwamba Bosi wake ni Kikwete ilivyoibua mijadala. Ikumbukwe kuwa Rais ndio Mkuu kabisa wa Nchi ambaye anapewa madaraka na wananchi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…