mambo mengi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wale watu wa "tusikate miti joto litaongezeka" wako kimya sasa. Mambo mengi tunayosoma shule ni utapeli

    Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali. Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu? Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana...
  2. Ilani za Uchaguzi zinakosa mambo mengi ya msingi

    Nimetumia muda kusoma ilani ya Uchaguzi ya CCM, sio kwa ubaya lakini nawaza inakuwaje kama mtu unakuwa na maswali dhidi ya utekelezaji wa Ilani. Maana kikubwa kilichopo ni ahadi za kuleta ajira, kukuza utalii na kuongeza mikopo nk. Lakini mambo yote haya hayajaweka ni kwa namna gani vitu hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…