mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. Hongera Rais Samia kwa maamuzi yako kwenye Corona

    Amani iwe nawe Mama yetu! Kwa mfululizo nimekuwa nikiandika mada mbalimbali za kukushauri juu ya mustakabali wa uchumi wetu sisi Tanzania kama nchi. Leo badala ya kukushauri, napenda sana kukupongeza kwa hatua ulizochukua dhidi ya Corona. Moja ya sifa kuu za kiongozi mzuri ni kuwa anatakiwa...
  2. Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

    Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
  3. Rais Samia kwa upole huo usiokuwa na kauli ya kukemea tegemea kukwamishwa

    Mh Rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako. Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea ukasikika na utekelezaji ukawa wa haraka? lakin kwa namna unavyo toa maelekezo yako kwa hakika...
  4. Chalamila amalize kwanza tatizo la Daladala na Bajaj Mbeya Kabla hajapelekwa Mwanza

    Mheshimiwa Samia! Ninakubaliana na uteuzi wako kwa Mhe. Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Kijana mdogo, mchapakazi, lakini mara nyingi huwa anakuwa moto na kukosa busara, kitu ambacho kwa umri wake bado ana muda mwingi wa kujifunza. Lakini taarifa zinasema, kwa muda mrefu sana Mkuu wa...
  5. Rais Samia angalia Wakurugenzi wa Halmashauri wana kiburi cha awamu ya tano

    Sio kwa ubaya ni kwa mapenzi ya wanaonyanyaswa. Hawa wateule wamejisahau na hawana nia ya kubadilika. Kuna mwanamke mwenzangu nikimsikililiza inatia aibu. Anaendesha Halmashauri kama nyumba yake. Watumishi kwake ni kama vikaragosi. Kwa ufupi kama haijatosha itakuja kutosha. Niliwashawahi...
  6. N

    Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

    Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku. Ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana. Kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri...
  7. R

    Rais, Mama Samia ni kweli tuna utaalamu na wataalamu wa kisayansi kujiridhisha kama chanjo za corona zinafaa au hazifai?

    Simply hatuna wataalamu wa kubaini kama chanjo inafaa au haifai kwetu! Haya mambo siyo rahisi kama wanavyokuaminisha. Hatuna Investigators brochure (IB) za hizo chanjo, then how do you judge the safety of an investigational product? (sidhani kama J&J, Moderna, Pfizer utawalazimisha wakupe hizo...
  8. Mama Samia waangalie hawa MCT( Medical Council of Tanganyika)

    Sisi wengine tunaishi na kusomea huku Zanzibar, ili kwenye hizi ajira za afya wameweka kigezo cha leseni ya Tanganyika hivyo ukiwa na leseni ya Zanzibar system inakukataa, cha ajabu mfumo wao wa kuomba leseni ya Tanganyika Online wameufunga hivyo kuwanyima wale wasiokuwa na leseni wasiweze...
  9. P

    Wazee wenye hekima ndani ya CC ya CCM. Msirudie kupitisha Mgombea Mwenye kaliba ya Magufuli

    Najua ni namna gani Rais na mwenyekiti wa CCM alivyo na nguvu kwa hapa nchini katika kipindi cha kupitisha jina la mgombea wa chama chake. Kwa mazingira hayo, wenye nguvu na maamuzi makubwa ndani ya chama cha mapinduzi ni Mwenyekiti na Rais wa Tanzania mama Samia, Lakini pia huwezi kumkosa...
  10. Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021 Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo. Pia soma: Mtozi Alloyce...
  11. Mama Samia ni wakati sasa wa kuweka Legacy yako mwenyewe

    Inawezekana ikawa bado mapema kumhukumu moja kwa moja ila kubwa linalomuangusha Mama ni kutaka kupendwa na kutekeleza kwa wakati mmoja. Kama kiongozi inapaswa ajue wapi pakubembeleza mahaba na wapi pa kuweka sura ya mbuzi. Katika jaribio la kujionyesha yeye ni tofauti na mtangulizi wake...
  12. DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji, Rais Samia umekosea sana

    Miongoni mwa watu walioteuliwa leo na Rais Samia Suluhu kuwa majaji wa mahakama kuu, jina la DPP Biswalo Maganga lipo pia. Hili jambo limetushtua sana wadau wa mambo ya sheria, kuna kitu tunakiona hakiko sawa na kinakwenda kutuharibia zaidi mhimili wetu wa sheria. Nitaweka sababu za msingi sana...
  13. Rais Samia tunakukumbusha tu kwamba unamalizia mbio aliyoianza Hayati Magufuli. Umempokea tu kijiti. Usijisahau

    Tunaokupenda tunakwambia ukweli mapema. Umepokea tu kijiti. Inashangaza sana uko bize na teua tengua teua tengu. Mbio yenu inaisha 2025. Tatua kero alizoziacha uliyempokea kijiti. Swaga za kukabidhiana magari na majumba sisi hazituhusu. Na tunafuatilia kwa kina juu ya kuahirishwa kwa mechi ya...
  14. Rais Samia, fanya haya katika suala hili la kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga

    Mama Samia mimi bado nakupenda na nataka ufanikiwe katika miaka yako hii minne iliyobaki, na kama ukifanya vizuri njia nyeupe kwako 2025 - 2030. Ni kweli kwamba kuhairishwa muda kwa mechi ya Simba na Yanga kwa kisingizio cha ajabu kabisa kumetia doa urais wako, tena mapema sana katika awamu...
  15. Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  16. Rais Samia na Hayati Magufuli si kitu kimoja; Tutampima kama atafikia viwango vya Dkt. Magufuli

    Kuna mambo Mwendazake alituachia inabidi tuyaenzi kwa manufaa ya Taifa letu. Kwa bahati mbaya Sana Siasa za ndani na nje ya CCM zinataka kutupofusha tusione mambo ya Msingi ambayo yanabeba maslahi makubwa Sana ya Taifa letu Tanzania. Mwaka 2018 Gazeti la Kenya la The East African liliripoti...
  17. Rais Samia: Dar kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu

    “Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu, naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa, mitandaoni wanamtaja Afande mmoja alikomesha ujambazi, wanasema ‘Mama turudishie’, IGP kaliangalie hilo...
  18. Hongera Mama Samia kwa kusikiliza maoni yetu

    Nampa hongera Mama yetu Samia kwa kutusikiliza watu wa mitandaoni. Ametoa maelekezo kwa IGP afanyie kazi issue ya ujambazi Dar es Salaam. Kwa kweli hali ni mbaya haswa huku Mikocheni. Mama umenikosha sana.
  19. Rais Samia Suluhu Hassan ni mzalendo, Watanzania twende naye

    RAIS WETU MPENDWA MAMA #SAMIA SULUHU HASSAN NI MZALENDO WA TAIFA HILI, ALIKOTOKA NA ALIPO, TUNAMUAMINI NA TUMUAMINI Fuatana Nami YonaPAVEA Rais Mama #SAMIA SULUHU HASSAN amezaliwa, Amekulia, amesomea madarasa mengi Tanzania, Ni Muumini wa Dini Yetu pendwa ya #Kiislamu Tanzania, Amejaliwa Watoto...
  20. Rostam Aziz: Ni ngumu kwa Mtanzania kuwekeza Kenya

    Mfanya biashara billionea wa Tanzania bwana Rostam Aziz leo akizungumza kwenye kongamano la wafanyabiashara kati ya Tanzania na Kenya kwenye ziara ya rais Samia amesema mazingira ya uwekezaji kati ya hizi nchi mbili hayako sawa. Rostam amesema ni rahisi sana kwa Mkenya kuwekeza Tanzania lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…