makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mbowe na Zitto kupotea kwenye siasa za Tanzania kumeleta mafanikio makubwa kwa CHADEMA

    Kwa ujumla Mbowe na Zitto Kabwe walirudisha nyuma mapambano dhidi ya CCM. Walikuwa vibaraka wabaya sana ambao walikuwa after pay tu. Walilipwa ili kuisadia CCM ikae madarakani. Tangu watu wamewadharau na kutopewa kipaumbele kwenye siasa za hapa Tanganyika Chadema kama chama cha upinzani...
  2. Malalamiko makubwa Dar es Salaam ni msongamano wa vyombo vya moto barabarani, ipo mbinu ya siri sana ya kumaliza changamoto hiyo

    Katika moja ya changamoto zinazosumbua Dar es Salaam ni foleni barabarani Gharama za kumaliza hii changamoto kwa njia za kawaida ni kubwa sana inayogharimu billions za tsh ambazo ni usumbufu mkubwa sana kwa Serikali wakutenga budget Lakini kupitia Pakome kuna mbinu za siri sana za kumaliza...
  3. 2040 nikiwa rais, nitafanya mabadiliko makubwa

    Utakuwa ni utawala wa mkono wa chuma wenye neema. Vipaumbele muhimu ni kama: Serikali ya Kidijitali Nitaondoa ofisi zote za umma isipokuwa zile za Sayansi na Teknolojia, zitakazobaki kwa ajili ya kubuni, kuchakata na kuanzisha mifumo muhimu ya taifa. Kila kitu kitaendeshwa kielektroniki. Hata...
  4. Tunaipongeza judiciary kiukweli kauli za Lissu zilisababisha majeraha makubwa sana kwa Watanzania

    Lissu ndiye aliyesababisha watu wakapata madhara makubwa sana, kauli za lissu zilikuwa ni kauli za kishetani sana. Viongozi wa chadema walikuwa wanatoa kauli za hovyo sana zilizo athiri ustawi wa Taifa letu, siku nyingne Tunaomba adhabu iwe kubwa zaidi.
  5. Orodha ya Bidhaa za Nyumbani Zenye Mauzo Makubwa Zaidi (Fast-Moving Goods) Nchini Tanzania

    List ya bidhaa za nyumbani zenye mauzo makubwa sana hapa nchini kwetu. 1.Unga wa sembe na dona. 2. Michele 3. Nyanya(Tomatoes) 4. Vitunguu(Maji na swaumu) 5. Mafuta ya kupikia 6. Sukari 7. Maharage 8. Chumvi 9. Dagaa 10. Unga wa ngano 11. Mkate(Bread) na skonzi 12. Mayai 13. Maziwa 14. Viazi...
  6. MAKUBWA: Senator amshukuru mume wake baada ya kushinda useneta...

    KUla chuma hicho.
  7. M

    Leo kuna nini, Mbona Barabara ya Morogoro Road hasa maeneo ya kimara mpaka ubungo kuna magari makubwa ya Polisi pamoja na polisi wengi wenye silaha?

    Toka majira ya asubuhi ,nimeshuhudia uwepo wa askari polisi wengi wenye silaha kwenye hii barabara! Je kuna shida yoyote?
  8. Usipojali wanaokuzunguka sahau mafanikio

    Moja ya kitu kikubwa nilicho jifunza mwaka huu ni kuacha kujijumuisha na watu wasio na mtazamo wangu, hasa katika life goals. Nimejikuta sina rafiki, ila watu wote walikuwa kwenye maisha yangu walikuwa kama distractions tu. Unajua kuwa you are the average of 5 people you sorround yourself...
  9. M

    Mbeya ni injini ya siasa za upinzani Tanzania. Walichokosa ni chama chenye mizizi Mbeya na kiongozi CHADEMA, lakini harakati na hamasa, hawana mfano

    Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
  10. Wengine waliongea nini na Mungu wakiwa tumboni hadi wakazaliwa familia yenye watu wenye majina makubwa?

    Hivi ulishawahi kujiuliza wengine wanafanyafanyaje wanajikuta wamezaliwa katika familia ya watu wazito na kwanini familia zingine kila mtu ni masikini na familia zingine mtu anazaliwa anakuta ana ndugu matajiri watu wenye vyeo vikubwa? Mimi najiuliza hivi wengine tulimkosea nini Mungu? Sisi...
  11. Huenda athari na madhara ya El nino yakawa makubwa na mabaya zaidi maeneo ya Pwani hususani katika jijini la Dar es Salaam

    Na hii ni kutokana na mizaha, dhihaka na dharau za kiwango cha juu sana dhidi ya tahadhari zinazotolewa na mamlaka husika pengine zaidi hata ya wale waliokua wakimdhihaki Nuhu wakati akijenga safina kujiepusha na gharika. Tayari baadhi ya mikoa kama vile Kigoma, Manyara na kanda ya ziwa...
  12. K

    Ushauri: tuondoe mabaraza ya madiwani kwenye majiji na badala yake zianzishwe mamlaka za usimamizi za majiji, matokeo yatakuwa makubwa sana.

    Kwako Mhe Rais wa JMT, Mhe.Waziri Mkuu Mhe.Waziri wa TAMISEMI Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano, Natanguliza pongezi nyingi kwa kazi kubwa mnayoifanya ambayo matokeo yanaonekana kila mahali ambayo inaleta tabasamu la matumaini. Nawapongeza zaidi kwa hatua mbalimbali za kuleta...
  13. Watumishi wa Taasisi Zenye Majina Makubwa Serikalini Wana Maisha Magumu Sana Kwa Sasa, Waliopo Halmashauri Wengine Wanawazidi Maisha

    kuna jambo nimeliona katika hii miaka miwili ya fedha ya 2025 na 2026, sijui nini kimetokea kwenye baadhi ya taasisi za Serikali, lakini hali ya ukata ni ya kutisha sana. Kuna taasisi ukisikia jina lake unaweza kudhani watumishi wake wanakula mema ya nchi. Unasikia mtu anafanya kazi kwenye...
  14. Kwa nini washiriki na washindi wa urembo (u miss) wote wa Tanzania hawana makalio makubwa?

    Washiriki na washindi wote wa mashindano ya u-miss Tanzania hawana makalio makabwa na ni wembamba. Je kutokuwa na makalio makubwa ni kigezo kimojawapo cha kushiriki mashindano ya urembo au wanawake wenye makalio makubwa na wanene kuna vigezo wanakosa vya kushiriki mashindano ya urembo ?
  15. TISS wakiachana na siasa za kuibeba CCM taifa letu litapata maendeleo makubwa ya kisiasa na kiuchumi

    Habari ya taifa letu kuwa na mikataba mibovu kama ya Dp world itatoweka. Wizi wa kura na chaguzi huru zitafanyika. Viongiozi makini na watawala wenye akili watapatikana. Dhuluma ,utekaji na mauaji yasiyo na maana vitatoweka. Taifa letu litakuwa huru.
  16. A

    Mtu pekee aliyekuwa na maono makubwa kuhusu miundo mbinu ya barabara ni Jakaya Mrisho Kikwete, Magufuli ndiyo aliturudisha nyuma!

    Nchi yetu barabara kuu km za 1. Dsm-Moro-Iringa-Mbeya-Tunduma(T001) 2. Chalinze-Moshi-Arusha-Namanga(T002) 3. Morogoro-Dodoma-singida-Nzega-Shinyanga-Mwanza(T003/T004) zilitakiwa njia ziwe njia 4 magari yasipishane. Badala yake angalia vipaumbele vya hovyo vya Magufuli; 1. Uwanja wa ndege wa...
  17. Maandamano Makubwa Yazuka Ufaransa na Spain huku Polisi wakitukia Nguvu kubwa kuyazima. Je, huko hakuna Katiba Mpya na Demokrasia wanayodai CHADEMA?

    Miaka ya karibuni Chadomo wamekuwa wakidai kwamba CCM imeshindwa kuleta maendeleo Kwa sababu eti kisa hakuna Demokrasia na Katiba Mpya kama Ulaya. Na kwamba Katiba Mpya as per Chadomo ndio muarobaini wa matatizo na huko Ulaya na USA hakuna shida kabisa Kwa vile Wana Demokrasia na Katiba nzuri...
  18. M

    India: Kijana ajitupa ghorofa refu kwa stress za kushindwa kumudu malipo makubwa ya talaka huku akiwa na madeni ya matibabu ya mtoto.

    Sambhav Jain alikuwa na miaka 28 tu. Aliwahi kuwa mume, baba, na mwana ambaye alijaribu kubeba majukumu yake yote kwa nguvu zake zote.. Alisoma kwa bidi, Alijituma, Alijenga ujuzi wake hadi akawa Software Engineer, Kazi kama hiyo haiji tu na kukaa ukisubiri. Alioa mwaka 2023, na baadaye...
  19. Nina mapenzi makubwa kuishi Kisiwa cha Mafia, msaada wa taarifa tafadhali

    Nilikua na ndoto tangu zamani kuishi kisiwan hapo, nadhani maisha yangu ningependa yakishie kule napapenda sana, japo sijawahi fika hua naangalia tu maeneo kule kupitia you tube insta na TikTok. Sasa basi naomba msaada WA mambo yafuatayo. 1. Bei za viwanja, nataka shamba karibu na beach ila...
  20. DHANA POTOFU YENYE MADHARA MAKUBWA: KUENDELEA KUTESEKA KISA WATOTO MWISHOWE MNAUANA.

    NDUGU WATANZANIA HASA WANAUME NAOMBA TUBADILIKE. HATA KAMA TUMEUMBIWA MATESO.KUNA VITU KAMA HESHIMA NA UTI USIPOKUWEPO AU KUUPATA KUTOKA KWA MWANAMKE HALI YA HEWA HUMO NDANI ITAKUWA YA MVUA ZA EL NINO.KUEPUSHA SHARI KAMILI PIGA CHINI MAPEMA.USIPUUZIE RED FLAGS🚩🚩🚩 HUNA UWEZO WALA KIPAWA CHA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…