maktaba

  1. Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Day 2 ya Kongamano la 4 la Maktaba. Uwasilishaji Mada na Mijala Inaendelea.

    Wanabodi, Mimi mwanabodi mwenzenu, leo pia niko tena hapa kwenye ukumbi wa Maktaba Kuu ya Taifa, kukuletea live, Day 2 ya hili Kongamano la 4 la Maktaba. https://www.youtube.com/live/5ELvBc_-9b4?si=nkjgk0zIL6DWv8zU Mzee Pasco.
  2. Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Ufunguzi wa Kongamano la 4 la Maktaba. Mgeni Rasmi ni Waziri wa Elimu, Profesa wa Ukweli, Prof. Adolf Mkenda.

    Wanabodi, Niko usawa wa Maktaba Kuu jijini DSM, kuwaletea live mubashara, Ufunguzi wa Kongamano la 4 la Maktaba. Hii ni live streaming ya PPR https://www.youtube.com/live/by_M-S5y2nQ?si=unvr7AjYMYBjHUyW TBC pia wako live https://www.youtube.com/live/82WSK_aP0gA?si=sHuGGozGjH9KJ6OM Karibuni...
  3. Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Press Conference ya Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba ya Taifa, TLSB, Dr Mboni Ruzegea Akizungumzua Kongamano la 4 la Maktaba

    Wanabodi Niko hapa Maktaba Kuu ya Taifa, kuwaletea live press conference ya Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba, Dr Mboni Ruzegea. Karibu https://www.youtube.com/live/2hjHsBrQJNo?si=ZjKG4sWP3KUGRlhg Mzee Pasco
  4. Maktaba Yamuadhimisha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    https://www.facebook.com/share/p/19oZy4YqCD/
  5. Picha Inazungumza Maneno Elfu Moja

    https://youtu.be/0WHiPCP7NOk?si=m0XtKAqQPDQZRRJs 🔥 “NAKUONA, NAKUONA…” — EMMANUEL MUGANDA WA VOA AREJEA BAADA YA MIAKA! | PICHA INASEMA MANENO ELFU MOJA Baada ya kutokuonana tangu mwishoni mwa mwaka 1968, leo nimepata ziara ya kipekee nyumbani kwangu Magomeni Mapipa kutoka kwa ndugu yangu...
  6. Bunge na TBC Watembelea Maktaba

    https://youtu.be/d1X_lLqZVAk?si=AHfXAvK0LKDsyy2m
  7. Maktaba Yaalikwa IBN TV

    Kuhusu Maisha na Historia ya Malcolm X Mohamed Said anaeleza namna historia ya Malcolm X ilivyokuwa na ushawishi mkubwa kwa vijana wa miaka ya 1960: Mabadiliko ya Maisha: Alieleza kuwa vijana walivutiwa na mabadiliko yake kutoka kwenye uhalifu kwenda kwenye dini: "...historia yake kuwa huyu...
  8. Maktaba Yaalikwa AZAM TV

    1. Umuhimu wa Vitabu na Elimu Mohamed Said anasisitiza kuwa maarifa ya kweli yamehifadhiwa katika maandishi: "Elimu yote ipo kwenye vitabu Siwezi kuipata kwingine kokote". "Hakuna kitu kinaweza kuchukua nafasi ya kitabu". 2. Tofauti ya Kitabu na Teknolojia (Tablet) Anabainisha kuwa ingawa...
  9. Maktaba Yapokea Kalenda Inayoeleza Historia ya Ukombozi wa Afrika Kusini na Kitabu Kuhusu Ubaguzi Katika Elimu

    MAKTABA YAPOKEA KALENDA INAYOELEZA HISTORIA YA UKOMBOZI WA AFRIKA KUSINI NA KITABU KUHUSU UBAGUZI KATIKA ELIMU Mmoja wa wapenzi walio mstari wa mbele katika kuitia nguvu Maktaba ameitunuku calendar na kitabu. Ingawa kalenda imekuja katikati ya mwaka lakini haikuwa shida kubwa kwangu kutambua...
  10. Mswahili Mwingereza wa Sheffield Benjamin Kilby Atembelea Maktaba

    Nimemkaribisha kwa furaha rafiki yangu Kelby pamoja na ndugu yake, Kheri, nchini Tanzania. Hii ni ishara kuwa ni mara ya tatu kwa Kelby kuja Tanzania, ingawa anasema imepita takriban miaka kumi tangu mara ya mwisho alipokuja.
  11. Maktaba Katika Maswali na Majibu

    https://youtu.be/YVI4Qfm93-k?si=fbpAmltWqZJXhUbH
  12. Kinying'anya cha Pazi Kibasila atembelea Maktaba

    MAKTABA IMETEMBELEWA NA OMARI KASSIM KIBASILA KINYING'INYA CHA PAZI KIBASILA Kijana Omari Kassim Kibasila leo ametembelea Maktaba na tumefanya kipindi kuhusu historia ya babu yake ambae umaarufu wake kwa bahati mbaya kuwa ndiye mtawala pekee aliyenyongwa Dar es Salaam. Pazi Kibasila amenyongwa...
  13. Maktaba Imepokea Vitabu Katika Historia ya Iran, Misri na Marekani

    https://www.facebook.com/share/p/1CiWRBfewf/
  14. Kutoka Maktaba: Picha Adimu Hazikupata Kuwepo za Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    Mkutano wa ndani wa TANU nyumbani kwa Ali Msham Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa miaka ya mwanzoni 1950 Fatilia ukurusa huu In Shaa Allah nitaweka picha zaidi kila nipatapo nafasi. Tumia picha upendavyo hazina hati miliki. Picha hii ilipigwa 1942 wakati Abdul Sykes alipokuja Dar es Salaam...
  15. TBC Watembelea Maktaba Kutafuta Historia ya Mwami Theresa Ntare

    https://youtu.be/-rxfkdYqDjM?si=xaqGeZoMg-LGLW6U
  16. Maktaba Yapokea Kitabu Cha Historia ya Tippu Tip Kutoka kwa Hamisi Delgado

    MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA TIPPU TIP KUTOKA KWA HAMISI DELGADO Leo nimepokea kitabu, "Tippu Tip: Ivory, Slavery and Discovery," kutoka kwa rafiki yangu Hamisi Delgado. Nimebahatika kuingia ndani ya nyumba ya Tip Tippu Mji Mkongwe Zanzibar na nje ya hii nyumba yake ndipo lilipo kaburi lake...
  17. Maktaba yapokea Kitabu cha Vassanji kutoka Marekani

    MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA VASSANJI KUTOKA MAREKANI Kwa wale waliokulia Kariakoo ya miaka ile akisoma kitabu chochote cha Vassanji ataiona ile Kariakoo ya enzi zetu na yote yaliyokuwapo miaka ile. Niliijua kalamu ya Vassanji kwa mara ya kwanza Amsterdam nyumbani kwa dada yangu marehemu Haki...
  18. Salam Abu Sharar Balozi wa Palestine atembelea Maktaba

  19. Vyombo Vya Habari Vya CCM Maktaba mazungumzo Historia ya Muungano

    https://youtu.be/hzc1zFNRBnk?si=pKH9rskM6ijwPFzv
  20. Mwinyi Mangara Atembelea Maktaba

    https://youtu.be/2lbxEG81HcU?si=QQO7X8zivICICcFX
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…