makamu

  1. K

    Kama ni kweli Makamu ajaye atakuwa kama Dolly tu

    Nchi ya Tanzania sasa ni koloni la wanzanzibari makamu wanaotaka ni kama awe Dolly la kukaa na kuzubaa na kula rojorojo. Yaani mtu akisema nchi ipiganie katiba ni tatizo tujiulize kwanini na tunaenda wapi?
  2. Civilian-Coin: Narudia tena, Kuna Rais Afrika Mashariki atajiudhuru na sio Makamu wake.

  3. Habari ya makamu kujiuzulu ipostiwe kwenye mitandao ya kijamii?

    Wakuu, Mimi binafsi bado siamini. How come simple like that? Yaani majamu ajiuzulu kama diwani? On social media? Akili yangu bado inagoma. Hii ilibidi iwe live. Kama kipindi kile cha lowassa. Hata kwenye page za ofisi ya makamu hakuna hii taarifa. Account yake iko hacked? Late is wait and...
  4. Kwanini taarifa za kifo cha Mpishi wa Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais zimefichwa?

    Ofisi ya Makamu wa Rais ilitangaza msiba wa mtumishi wake, Bi. Kulwa L. Ngusa, aliyekuwa akihudumu kama Mpishi katika Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kulwa alifariki dunia Agosti 21, 2026, majira ya saa 12:00...
  5. Kujiudhuru kwa Makamu wa raisi ni hiyari yake au amezungukwa na je nini kinafuata!? Soma ufunuo huu...

  6. Wakili Yesaya: Makamu wa Rais akijiuzulu, Rais anatakiwa kuteua jina jipya ndani ya Siku 14

    Johnson Yesaya, Mwanasheria kutoka Taasisi ya Sheria na Wakili - Jungu la Sheria Tanzania anaeleza kuwa: Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 50(4): Makamu wa Rais akijiuzulu, kiti chake huwa wazi. Rais anatakiwa, mapema iwezekanavyo na ndani ya siku zisizozidi 14...
  7. Makamu wa Rais Ajiuzuru;Tulimpata Mtanganyika kweli kweli dhidi ya haramu.

    Kifo cha mpishi wake kilimshtua sana,lakini kabla ya hapo,kitendo cha kuchomwa matako kwa mtu aliyejitokeza kukemea kutukanwa kwake,nacho kilifikirisha sana. Ndugu Nchimbi ni mwanafunzi aliyeiva wa Mwalimu Julius Nyerere,matendo yake yanataja lipi giza na ipi nuru,aliita koleo ni koleo na...
  8. Mchakato wa kumpata makamu wa Rais

    Kwa mujibu wa Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 50(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Rais anapojiuzulu na nafasi yake kuwa wazi, utaratibu wa kisheria wa kupata mtu mwingine unakuwa kama ifuatavyo: Uteuzi Ndani ya Siku 14: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  9. M

    Mara paaap Mbowe ndio Makamu wa Rais

    Utasemaje hayo yakitokea!? Mara paaap Nchimbi yuko na Lissu kwenye madai ya Katiba Mpya!
  10. K

    Kama barua ni ya kweli, Makamu wa Rais awe Dkt. Migiro

    Ikiwa ni kweli kuhusiana na hizi taarifa kuhusu kujiuzulu kwa makamu wa Rais Dkt. Nchimbi, mtu anayefaa kwa uzoefu na uwezo alionao kupewa nafasi hiyo naona Dkt. Migiro, katibu Mkuu wa CCM kwa maslahi mapana ya Taifa.
  11. Makamu wa Raisi kujiuzulu nini chanzo?

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Emmanuel Nchimbi, ametangaza uamuzi wa kustaafu siasa na utumishi wa umma. Nchimbi amesema leo, Agosti 25, 2026, amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha kuhusu uamuzi huo pamoja...
  12. Itakuwa ndio mara ya kwanza tangu tupate uhuru makamu wa Rais kutolewa madarakani,CCM ijitafakari sana, siasa zao sasa hazilijengi Taifa.

    Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena! Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
  13. Nadhani ni kweli Rais Samia na makamu wake hawaivi

    Kwa sisi wataalamu wa ramli chonganishi,iko hivi leo kwenye uzinduzi wa bwawa la kufua umene lililojengwa na Hayati Magufuli, high table walikua wamekaa Samia na Nchimbi..Nchimbi akawa anajifanya kumchekesha Samia kinafiki ila Samia akawa hana muda nae kivile.. So naamini ni kweli hawa viongozi...
  14. R

    Liberia: Aliyekuwa Makamu wa Rais atuhumiwa kwa utakatishaji fedha na usafirishaji wa madawa ya kulevya

    Liberia imemfungulia mashtaka aliyekuwa Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Jewel Howard-Taylor, kwa tuhuma za usafirishaji wa dawa za kulevya, utakatishaji fedha na makosa mengine, ikiwa ni sehemu ya uchunguzi kuhusu mtandao wa kimataifa wa biashara ya dawa za kulevya, Wizara ya Sheria ilisema...
  15. M

    Ni kweli CCM ndio inayotawala, ila wanaotawaliwa hawapo isipokuwa kundi la wauwaji pekee na 2030 tutadili nao

    Huu ndiyo ukweli uliopo Chawa mpoo!! 2030 au kabla ya hapo, wauwaji wote hamtajitetea, Kila aliyeshiriki kufanya mauwaji au kuhusika kwa namna yoyote Ile, hatakaa salama! TANZANIA yenye matumaini na Amani, ipo yaja
  16. Tuhuma za ufisadi zimepunguza kasi ya uropokaji wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa.

    Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za ufisadi. Ni wazi anajiona na anahisi ana hatia, na hana tena nguvu na uhalali wa kuendelea kua kiongozi wa...
  17. Kwa mazingira ya kisiasa kwa sasa hatuwezi kujipatia katiba mpya halali na yenye kutetea na kulinda haki za raia. Viongozi wote ni Null and void

    Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya. Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na Bunge (Legislature) 1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
  18. Waziri Mkuu na Spika waliondolewa na sasa Makamu wa Rais yupo njiani ?

    Heshima sana wanajamvi Mheshimiwa Rais Samia alishindwa kufanya kazi na Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa JMT. Katika harakati za mfifisha Majaliwa akaunda nafasi ya Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kikatiba. Ulipofika muda wa uchaguzi mkuu Majaliwa hakuruhusiwa hata kuchukua fomu ya...
  19. Kutoka kwa Hilda: Hawa nao wamendaliwa Press kwa ajili ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA

    ‼️ALERT ‼️ Muda huu huko Kilwa Madalali wamekusanya Watu wa CCM, wamewavalisha nguo za CHADEMA na kuwarekodi wakimshambulia Mhe. Heche kwa malipo ya laki moja moja. Muda wowote kuanzia sasa mtaona video yao ambayo inatokana na hii picha niliyowapostia, Vibaraka wa Nduli Idd Amin Mama...
  20. DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu

    https://www.youtube.com/watch?v=PAgUqKix-FA DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Kijana anayetaka kusikilizwa, Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameyasema hayo leo, Julai 24, 2026, akiwa Mgeni Rasmi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…