makamu

  1. Makamu wa Rais Ndejembi awasili Kilimanjaro

    ▪️Kilimanjaro Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, amewasalimu Wananchi wa Mbuyuni, Wilayani Moshi waliokusanyika kumlaki akiwa katika ziara binafsi mkoani Kilimanjaro leo tarehe 01 Septemba 2026. Akiwasalimu wananchi hao, Makamu wa Rais amewasihi...
  2. Makamu wa Rais Ndejembi katika Misa Dodoma

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, pamoja na familia yake wameungana na waumini mbalimbali katika kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Jumapili, katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma. Tarehe 30 Agosti 2026.
  3. Rais Samia ampa ujumbe mzito makamu wa Rais amwambia asiwe kama samaki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius John Ndejembi muda mfupi baada ya Uapisho wa Makamu wa Rais uliyofanyika Ikulu, Chamwino - Dodoma leo Agosti 29, 2026. Katika hafla hiyo Rais Samia...
  4. Je, wajua Tanzania ina Makamu wawili wa Rais? Mmoja ni halali na mwingine ni batilifu hadi Septemba 4 ndipo anakuwa halali. Rais na VP Sio Wabunge!

    Wanabodi Je wajua kuwa hapa tunapozungumza, Tanzania tunao Makamu wawili wa rais?,kati ya hao wawili,mmoja ni halali hadi tarehe 4 September, na mwingine ni batili kwa ubatilifu hadi tarehe 4 September ndipo anakua halali! Kwa mujibu wa barua ya kujiuzulu ya Dkt. Nchimbi aliwasilisha barua...
  5. M

    Wabunge wamepiga kura kumchagua au kumkubali Makamu wa Rais?

    Hivi wabunge wamepiga kura kumkubali Makamu wa Rais au kumchagua? Kulikuwa na uwezekano wa kumkataa kweli? Kama ni demokrasia kwanini Rais asingechagua majina matatu halafu wabunge wapige kura kumchagua mmoja? Mi naona Makamu wa Rais ameteuliwa, mambo ya kura za wabunge ni kiini macho tu. Ndio...
  6. Ufafanuzi wa Kisheria Uteuzi Makamu wa Rais na AG Johari

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari akitoa ufafanuzi wa Kisheria kuhusu Uteuzi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni Jijini Dodoma tarehe 28 Agosti, 2026. https://x.com/_zack255/status/2093349788511084748 👆🏾👆🏾👆🏾 Tazama Video yote hapo juu.
  7. R

    Msafara wa Makamu wa Rais ukiondoka bungeni Dodoma

    Habari ndiyo hiyo.
  8. 2

    Mwinyi kuwa Rais 2030, Makamu wake ataendelea kuwa Deo Ndejembi

    Rais 2030 ni Dr Mwinyi, Makamu wake ni Ndejembi
  9. M

    Wabunge wakivuliwa uanachama wanaendelea na Ubunge ila Makamu aaaaa!

    Sheria ya nchi hii kwasasa inatafsiriwa kulingana ni nani anatakiwa kuhukumiwa. Kangarooo. Mwanasheria Mkuu Leo anatafsiri vitu almradi tu Nchimbi awe na hatua. CCM kajifunzeni CHADEMA tangu enzi za Zitto, Arfi na Prof Safari
  10. Ndejembi apitishwa na Bunge kuwa Makamu wa Rais

    Wakuu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametangaza kuwa Deogratius John Ndejembi amepitishwa na Bunge kuwa Makamu wa Rais kwa kura 324 sawa na 100%, na kwamba aliongea na baadhi ya mabalozi wa nchi mbalimbali nchini na walimwambia wameridhika uteuzi huo. Ndejembi, alikuwa ni Mbunge wa Chamwino...
  11. Makamu kijana ni mkakati wa 2030 unaoendelea kusukwa ?

    Ndejembi anaweza kudumu kwenye umakamu kwa miaka 9 au 14 kwa kigezo cha katiba mpya ambapo itasemwa rais aliyepo ataendelea mpaka 2035 au 2040 katika mfumo wa katiba mpya. Soma pia Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais Kama rais wa CCM mwaka 2030 atakuwa Rizimoko wa Msoga au...
  12. Jina la makamu wa Rais mteule latua bungeni

    Spika wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) leo tarehe 28 Agosti 2026 amepokea jina la Makamu wa Rais Mteule lililopendekezwa na Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi. Jina hilo limewasilishwa kwa Mhe. Spika na Katibu wa Rais Bal. Ali Jabir Mwadini akiwa ameambatana na Mpambe wa Rais (ADC) Brig...
  13. Z

    Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance ana umri wa miaka 42, Makamu mteule wa Tanzania Ndejembi ana miaka 43.

    Nawashangaa wanao dai eti Makamu wa Rais ndg. Ndejembi bado kijana sana hivyo na fasi hiyo angeteuliwa mtu mzima aliye komaa. Sasa tuangalie kwenye Taifa kubwa kama Marekani, Makamu wake wa Rais JD Vance ana umri wa miaka 42 kijana kabisa. Ndugu Ndejembi ni kiongozi makini, mwadilifu na...
  14. F

    Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

    Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania. Ametoweka kuogopa kutekwa Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
  15. Deo Ndejembi kuanza katiba mpya

    Naambiwa huyu jamaa ni mmoja wa waumini waku wa wa katiba mpya. Bila shaka mwezi wa kwanza kazi I ataanza na hili
  16. CV ya Makamu wa Rais. Vijana/Wasomi acheni kuchunguza chunguza mambo mpeni tu Ushirikiano.

  17. Historia ya Makamu wa Rais wa Tanzania: Kuanzia Karume hadi Ndejembi

    Historia ya nafasi ya Makamu wa Rais nchini Tanzania imebadilika sana tangu Muungano wa mwaka 1964. Tanzania ilianza ikiwa na Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili, mfumo ambao ulihusisha kwa karibu nafasi ya Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano. Mwaka 1995 mfumo huo ukabadilika...
  18. Bunge halikushiriki uteuzi wa makamu wa rais?

    Mbona kama katiba inakiukwa mchana kweupe? Ni lini bunge limekaa likampigia kura makamu wa rais mpya likampitisha nasi tukashihudia mchakato mzima? Halmashauri kuu ya CCM ndio imempitisha na kumchagua si ndio? Labda mie na uelewa wangu Duni Na hata kama atapigiwa kura na bunge na kupitishwa...
  19. Makamu Haramu Mteule ni Mwizi kama walivyo wakubwa zake.

    Kuna wakati taifa linapofika mahali ambapo siasa inakuwa si tena suala la uwezo, uadilifu na historia ya mtu, bali ni suala la nani yuko karibu na nani na nani anaweza kupewa nafasi gani. Kinachotokea sasa kinapaswa kutufanye tujiulize: Je, tunapima viongozi wetu kwa viwango gani? Kwa wale...
  20. Wabunge wa CCM hapa ndio sehemu ya kutuma Ujumbe kwa Samia siku ya kupigia kura hilo jina la Makamu wa Rais. Hana Cha kuwafanya kwasasa

    Kama mnakipenda chama chenu na nchi hii sehemu pekee iliyobaki ni hapa. Mtumieni salamu ajuwe hamjapendezwa na kitendo alichokifanya. Huwezi kumfukuza mtu uanachama eti kwa sababu anataka tupate katiba mpya. Mkizubaa huyu bibi atawatesa sana. Kazi kwenu sasa mkubali kuwa mateka au muamue kuresist.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…