Nayaomba makampuni ya simu yote, nchini kwetu, yaimarishe pin zake katika huduma za kifedha, badala ya 1234 au 1978 au 1785, waboreshe na kuwa #25j au@@01 au%21@ hili litasaidia sana katika kuimarisha usalama kwa huduma za wateja wenu kifedha.
Inshaallah!
Nambari pekee zimekuwa easy to be...