makabila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Makabila haya yanaongoza kwa kuwekana wao kwa wao kwenye nafasi za Umma

    kuweka watu wa kabila lako kwenye kampuni yako ama biashara yako binafsi ni ruksa maana mwisho wa siku hata hasara ni yako mwenyewe, Lakini ajabu mambo haya yanafanyika serikalini kwenye mjumuiko wa taifa zima bado mtu anaweka kipaumbele kwenye jamii anayotokea hata kama wapo wenye sifa chache...
  2. Video: Manara na Chawa wake wakimshambulia Dulla Makabila

    Haji Manara ameamua kuungana na Dotto Magari kumshambulia aliekuwa Ex wa Mke wake Dulla Makabila. Angalia video hapa Nini maoni yako? Written by Mjanja M1
  3. Haji Manara aonekana studio za Master Jay, anatoa wimbo kumjibu Dulla Makabila

    Haji Manara ameonekana mitaa ya MJ records akiwa katika tafakari kubwa, akiingia studio na kutoka. Tetesi zinasema anajiandaa kutoa wimbo kumjibu Dulla Makabila. Habari zinasema kwamba ubishi mkubwa ni kuhusu sauti na kutembea na biti. Hivyo kila mara alikuwa akiondolewa studio aende nje...
  4. Wanangu wa uswazi, wanangu wa singeli, inakuwaje Haji Manara anamzingua mwana, Dulla Makabila, halafu tumekaa kimya? Tumpe za uswazi!

    Haiwezekani Manara amzingue mwana halafu tukae kimya, na sisi tupeleke moto kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa vijembe. Oya, hata dada zetu kurekodi vigodoro kwa simu zetu tukimnanga Haji na Zai tumeshindwa? Oya wazee wa Singeli, hii vita si ni yetu kabisa? Maandagraundi, tunashindwa...
  5. Kwenye makabila haya yote ya Tanzania, umeshazionja za makabila mangapi mpaka sasa?

    Watanzania wote tumetoka kwenye makabila tofauti tofauti. Hivyo basi hata wapenzi wetu pia wana makabila yao. Swali la kizushi, mpaka sasa umezionja za makabila mangapi? Mimi nita highlight na rangi nyekundu nilizozionja. Wambugwe Wambunga Wameru Wamosiro Wampoto Wamwera Wandali Wandamba...
  6. T

    List ya makabila Tanzania yenye watu wengi wenye akili

    Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa. Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana...
  7. Updated List: Haya ndio makabila yenye wasomi zaidi Tanzania

    1. Wachaga - Kama kawaida yao sio watu wa kujisifia iwe ni biashara, maendeleo ya vijini kwao, n.k. Kiufupi hawa suala la elimu wapo Mbali tangu enzi za ukoloni, Mkoa wa Kilimanjaro ni mdogo ila ndio unaongoza kwa shule nyingi hasa maeneo ya uchagani, Kitu cha ziada ambacho wengi hawakijui ni...
  8. Makabila yenye JUJU KALI, ndo yanatoa viongozi na wateuliwa wengi nchini. Nipe maoni yako

    Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
  9. Je, Mmeru na Mwarusha ni kabila moja?

    Hawa ni watu wa wapi? Nilijaribu kufatilia wameru ni kweli wanasikilizana na wamachame wapo tofaauti na wachaga, nadhani ni ni wamasai walioamua kuhamia Machame, hupenda kubeba visu na pia kibiashara bado wana mwamko mdogo. Kwa Mwarusha nae naona wanatahiri kama wamasai na kuna fimbo za bomani...
  10. Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

    Kwema Wakuu! Acheni wivu! Yaani mkiona Watu wamebarikiwa jambo fulani roho mbaya zenu mbaya hazitulii. Wivu na maumivu moyoni yanawachoma. Mnaanza kuropoka mashudu yenu. Mkiona mdada mzuri tuu mnaanza kumpa majina Mabaya. Kisa anatongozwa na Wanaume wengi. Utajiri wa mvuto wa kisura na...
  11. Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

    Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania. 1. Wachaga 2. Wakurya 3. Wanyakyusa 4. Wahaya 5. Wapare 6. Wasukuma 7. Wameru 8. Wajaluo Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
  12. Dulla Makabila: Moyo wangu nahisi unawaka moto naumia sana sitaki tena mapenzi wala mahusiano sitaki

    Sina Maneno meengi Mkiambiwa huwa HAMSIKIII.. ===== Mtu yeyote atakaekuja kuniskia nasema nampenda mwanamke yeyote basi mtu uyo kama nipo naye karibu yani uso kwa uso basi naruhusu anipige ata kofi sababu nimegundua mwanamke sio mtu wakumuamini ata kidogo. Haijalishi atakuaminisha kiasi gani...
  13. Hakuna Taifa au Kabila lenye Watu Bora kuzidi jingine, mataifa au Makabila yote ni Sawa Ila hayalingani

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wapo wenzetu wenye mitazamo Duni linapokuja suala la ukabila u utaifa. Wapo wanaojiona ni Bora kuliko wengine lakini ukifuatilia Kwa umaskini ubora wanaojivunia ndio udhaifu wao. Na wapo ambao wanaojiona Duni lakini ukifuatilia uduni wao ndio ubora wao. Kwa...
  14. Migogoro mingi duniani inatokana na kulazimisha watu wa dini, rangi na makabila tofauti kuunda nchi moja

    Hii mada nimeitoa mara nyingi naimba niitoe tena. Duniani sehemu kubwa ya migogoro inasababishwa na jambo hili. Huhitaji kuambiwa hili, linaonekana waziwazi. Mifano ni mingi kupita maelezo. India ilivunjika vipande vipande na kutoa nchi mbili ya Wahindu na Waislamu. Nigeria ilitaka kuvunjika na...
  15. RC Mtaka ataja makabila 5 yanayokuza Uchumi wa Sekta Binafsi Tanzania

    Makabila ya Kiuchumi au ya kitajiri Kwa Mujibu wa Mtaka Wachaga Wakinga Wapemba Waha Wanyantuzu/Wasukuma My Take Kama kabila lako halipo kwenye List jihesabu wewe ni Maskini tu. --- MAKABILA 5 MUHIMU ZAIDI UKUAJI SEKTA BINAFSI TANZANIA Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka amesesma kuna jamii...
  16. Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, hata kwenye ukoo masikini wale wenye magari hutokea koo maskini ila wao kama wao wapo mbali kuzidi wenzao, Tukigusia makabila yenye asili ya hapa kwetu, wachaga wapo mbali mno, yapo makabila yanayofatia ila ni gepu refu...
  17. Ukiacha kasoro ya Uchawi Wanawake wa Kirangi ni wazuri kuwazidi wa makabila mengine yote hapa Tanzania.

    Wasalaam JF, Kwenye ukweli tuseme kweli tuache mazoea ya kubisha bisha. Wambulu, wamang'ati, Wanyaturu, Wachaga, Wameru, wamasai wameachwa mbali na warangi kwa uzuri, wana rangi, wanashepu, wanatrackoo, wako soft, wanakwanguliwa kisimilo chote hakibaki hata chembe. Ni hayo ukibisha ni wewe tu...
  18. Leo tusalimiane kwa lugha za makabila yetu

    Ndugu zangu kama itawapendeza leo tusalimiane kwa lugha za makabila yetu. Mimi ni mnyiramba natoka kule singidani Inye mbii kate.
  19. Dula Makabila aja na muonekano mpya wa kike

    Dula Makabila msanii maarufu wa Tanzania wa miondoko ya Singeli ameamua kubadilisha muonekano wake asili wa kiume na kuja na muonekano mpya wa kike akiwa amevalia wigi la kike pamoja na glasss ya kike. Dula anadai kuwa anafuata ushauri wa mpenzi wake aliye naye sasa na kila analomweleza basi...
  20. M

    Hivi kwanini makabila ya watu yaliyompakani/ mikoa kwa Nchi yetu wengi wako vizuri sana kichwani, majasiri, watafutaji na wasioyumbishwa?

    Chunguza mikoa yote ya mipakani utapata majibu hayo, hata uje kwenye uongozi utaona utofauti wakishika watu hawa..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…