makaa ya mawe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mgodi wa makaa ya mawe unahitajika haraka

    Kuna tangazo humu niliona kuna kampuni wanauza site za migodi mbalimbali ya graphite na makaa ya mawe ila nimejaribu kusearch thread sijaipata. Well Nina offer hiyo kwa anayemiliki mgodi wa makaa ya mawe na kuna geology report hebu tuwasiliane tufanye biashara. Karibuni.
  2. Wasiochimba Makaa ya Mawe kufutiwa leseni

    WAZIRI wa Madini Dkt Dotto Biteko ametoa miezi mitatu kwa Tume ya Madini kufanya uchambuzi wa kina na kubaini waliohodhi maeneo makubwa ya uchimbaji wa makaa ya mawe bila kuyaendeleza wafutiwe vibali na kupatiwa kwa wawekezaji wengine. Biteko ametoa maagizo hayo leo wakati akifungua mkutano...
  3. Bloomberg: Umoja wa Ulaya kulegeza vikwazo kwa makaa ya mawe kutoka Urusi

    Bloomberg wanaripoti Umoja wa Ulaya upo mbioni kulegeza vikwazo vya makaa ya mawe kutoka Urusi. NB: Du!
  4. Makaa ya mawe sasa nyumbani

    STAMICO kusherehekea miaka 50, imezalisha makaa ya mawe rafiki kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Makaa yana ufanisi mkubwa na huwaka kwa muda mrefu kuliko mkaa wa kawaida. Pia husaidia katika utunzaji wa mazingira maana yatazuia ukataji wa miti hovyo. BEI yake ni rafiki pia kwani yatapatikana...
  5. Ujerumani waanza kutumia makaa ya mawe kwa ajili ya Nishati

    Amkeni kumekucha hukooo. Putin kawarudisha wajerumani enzi za UJIMA ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Mshtueni J. Makamba kwamba tumepata soko la uhakika la kuuza makaa ya mawe Germany has taken a "bitter" decision to fire up idle coal power plants to reduce its reliance on Russian natural gas, as Vladimir Putin...
  6. Eti STAMICO wanauza Makaa ya Mawe tani moja kwa Tsh 60,000/= Mkataba huu Uvunjwe

    Salaam Wakuu, Imedaiwa Eti, Tanzania kupitia Stamico tumesaini mkataba wa kuuza Madini ya Makaa ya Mawe kwa dola 29.5 ambayo ni sawa na Shilingi 69,444 (Elfu sitini na tisa na Mia nne arobaini na nne tu) kwa Tani moja! Bei ya Soko la Makaa ya Mawe kwenye Market Insider ni dola 315 sawa na...
  7. Rekodi nyingine bandari ya Mtwara: Meli kubwa kutoka Uholanzi yatia nanga tayari kusafirishia shehena ya Makaa ya Mawe

    Chini ya wiki 2, Bandari ya Mtwara imeweka rekodi mpya kwa kupokea meli kubwa yenye uwezo wa kubeba Tani elfu 60 za Makaa ya Mawe.(60,000). Meli hiyo imetia nanga tayari kupakia Makaa ya Mawe kutoka kampuni ya Mwekezaji mzawa Ruvuma Coal Mining Limited. Hii ni baada ya Meli nyingine ya Uswisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ