majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Jifunze kuyasemesha magonjwa yenye majina, yanasikia.

    Salaam, Shalom! Mungu alipomuumba Mwanadamu, aliweka nguvu ya uumbaji ndani yake, ameweka pia mamlaka Katika kinywa kuumba, na kufisha pia KUPITIA kinywa. Tumia kinywa chako kusemesha magonjwa, yanasikia na kutii utakachoyaamuru. Narudia Tena kusema, ukilala mzima wa afya, ukaamka na kujihisi...
  2. Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Uswege = unisamehe Andungwise = ameniongoza Ambwene = ameniona Mwalugano = mwenye upendo Negwako = niwe wako Andombwise = ame nivusha Tusajigwe = tumebarikiwa Ambele = amenipa Subiraga= tumainia Angetile = amenitazama Andolile = amenitafuta Nkundwe= mpendwa Sekela = furahia Lusako=...
  3. R

    Msaada tafadhali: Kuweka majina matatu kwenye Cheti

    Cheti cha kuzaliwa kina majina matatu. Vyeti vyote vya shule vina najina mawili. Ni taratibu gani naweza kufanya ili majina yangu ya vyeti vya shule niweke jina la tatu ambalo liko kwenye cheti za kuzaliwa. Kindly advise, please!
  4. GE2025 Ukataji holela majina ya wagombea,waleta Vurugu za Kisiasa Moshi Mjini: Kikao cha Kamati ya Siasa ya Wilaya ya CCM yavunja kwa makusudi kanuni ya 14

    Katika hali ya kutatanisha iliyojitokeza mjini Moshi, kikao cha kamati ya siasa ya Wilaya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimezua maswali mengi kuhusu uwazi na uaminifu wa viongozi wa chama. Kanuni ya 14 ya chama, inayosisitiza umuhimu wa kuheshimiwa kwa vikao vya ndani na kutokutoa Siri za teuzi...
  5. Ukisikia haya majina yanatajwa nini hukujia akilini kwa haraka?

    1. Shirima 2. Chacha 3. Mwakipesile 4. Rweyemamu 5. Masanja 6. Mwashambwa
  6. Amedai Talaka ili wagawane Mali kumbe mume nyumba zote kaandika majina ya watoto!

    Naishije haya maisha kwani nahisi kuchanganyikiwa. Mimi ni mama wa watoto 5, niliolewa lakini nimedai talaka na imetoka sina hata shilingi mia kaka. Iko hivi, mume wangu ni mfanyakazi wa serikali, ana kipato kikubwa na mara nyingi yuko bize sana kazini, alinifungulia biashara na katika hii...
  7. J

    Utofauti wa majina

    Naomba ambaye alishawahi kukutana na hii changamoto afafanue aliisolve vipi majina katika vyeti yanatofautiana na majina ya kitambulisho Cha taifa
  8. jina Lako Linaweza Kufunga Maisha Yako? (Siri Ya Majina na Uzito Wake)

    Katika tamaduni nyingi za Afrika hasa za Kiswahili jina la mtu halikuchaguliwa tu kwa kupendeza au heshima ya familia. Jina lilizingatia: Asili ya neno hilo (kama lina mizizi ya vita, huzuni, roho, au baraka) Nguvu ya herufi za jina hilo kwa mujibu wa maandiko ya kale (kama Shams al-Ma’arif)...
  9. E

    Maana ya Jina la Kichaga 'Monoruwa' – Msaada Tafadhali!"**

    "Maana ya Jina la Kichaga 'Monoruwa' – Msaada Tafadhali!" "Habari zenu wana jamii! Nina swali kuhusu jina la Kichaga 'Monoruwa'. Naomba mwenye ujuzi wa lugha ya Kichaga au historia ya majina ya Wachagga anisaidie kunielezea maana yake.
  10. Sio "Kwa Majina" ila ni "Kwa Jina"

    Unajua kuna wasomi wamesoma mpaka Masters PhD ila cha kushangaza mtu huyu anapoambiwa jitambulishe anaanza kwa kusema "kwa majina ninaitwa........" kaka na dada zangu sio kwa "kwa majina" ila unapojitambulisha kwa Kiswahili sahihi unatakiwa useme "kwa jina ninaitwa......" kisha unataja jina lako...
  11. N

    Faida za Kutumia Majina ya Asili Kama Utambulisho wa Jamii Yetu

    Faida za Kutumia Majina ya Asili Kama Utambulisho wa Jamii Yetu Katika kipindi cha sasa ambapo utandawazi umeenea kwa kasi, jamii nyingi barani Afrika zimeanza kupendelea kutumia majina ya kigeni hasa ya Kiarabu na ya Kiingereza, huku zikiyapuuza majina yao ya asili. Wapo wanaoona kuwa kutumia...
  12. Boniface Mwabukusi: Tuache propaganda 'Utekaji upo', mnaodai Wanajiteka, waliotoroka nchi na Madeni wekeni majina yao hadharani

    WE DON’T NEED PAINKILLERS — WE NEED A COMPLETE CURE FOR THE DISEASE. Abductions are real, and the abductors exist; some of them have already been cited in the matter of Mdude Mpaluka Nyagali. Also Read > Polisi kuhusu taarifa za watu kutekwa: Ni kujiteka, wivu wa mapenzi na kugombea mali...
  13. Wenye majina ya Kelvin huwa hawakui?

    Tufahamishane jamani, sijawahi kusikia mtu mzima au wa makamo anaitwa Kelvin, kwani wenye haya majina hawakui?
  14. Majina yaliyoandikwa kwenye magari ya zamani

    Kama unakumbuka majina au jina la gari ulipokuwa unaishi kuanzia miaka ya 1962-1990 tushirikishane hapa. Basi la abiria kati Tabora hadi Mwanza liliitwa "MABOYA" Watoto wa 2000 mkalale
  15. Majina ya Timu za Taifa Afrika

    Nimepitia majina ya timu za taifa kwa mataifa yote ya Afrika nikahisi kuwa Tanzania, Ghana na Kenya inabidi tubadilishe majina yatu; neno "stars" linakuwa monontonous. Somalia na South Sudan wamelitumia pia lakini kwao wamelitumia taifauti na sis. Hebu angalia halafu utoe maoni yako. Algeria -...
  16. Tujikumbushe Ubabe na Uhuni wa Zamani Mashuleni,,Taja Watu walio Vuma na kutikisa kwa Majina, Miaka hiyo Ukiwa Skuli

    Asalaam Wakuu,, moja kwa moja Uzi tayari Tujikumbushe Ubabe na Uhuni wa Zamani Mashuleni,,Taja Watu walio Vuma na kutikisa kwa Majina, Miaka hiyo Ukiwa Skuli
  17. Tajiri Mo Dewji yule 'Scout' wako wa Mchongo mpaka sasa ameshakuletea majina ya Wachezaji wangapi wa maana kwa Simba SC yetu ya 2025/2026?

    Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2 ila kwa Hasira wote nawapeleka Yanga na Azam ili nipate 10% yangu.
  18. Kwanini Yesu ana majina mengi kila nchi (Jesus, Yesu, Emmanuel, Yoshua, Jisos, Jesu, Issa)

    Karibia kila nchi ina namna ya kumuita Yesu kwa jina lake, mm mtanzania nikiomba nasema Katika jina la Yesu alafu mwingine anasema in Jesus nama ama Yoshua, to me it feels like maombi yanaenda kwa mtu tafauti! unlike waislam mtume wao wanamwita jina moja dunia nzima Prophet Muhammad, sjawahi...
  19. PreGE2025 Askofu Bagonza: Ukikosoa chama chako utanyang’anywa kadi na kuitwa majina mabaya yote, CCM iwe imara inahitaji upinzani imara

    Wakuu Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD). Askofu wa dayosisi ya Karagwe. SOMENI BILA SHIDA na SOMENI KWA FURAHA. Niliishasema na ninarudia tena. Someni Bila Shida na Someni kwa Furaha: WAPINZANI ACHENI KUIONEA CCM na CCM IACHE KUJIONEA. 1. Taifa hili bila CCM imara...
  20. Kasongo, Zakayo, El Chapo na Naibu Yesu - kwa nini rais wa Kenya ana majina mengi ya utani?

    Mei 2025 Rais wa Kenya William Ruto ni mtu mwenye majina mengi ya utani. Naibu Yesu, El Chapo, Hustler na Muuza Kuku ni baadhi tu ambayo amepata katika miaka ya hivi majuzi. Kama ilivyo ada wakati watu wanapewa majina mbadala, mengine ni kuonyesha mapenzi lakini mengine yanakusudia kumdhihaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…