majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. HERVÉ FALCIANI: MTU ALIYEVUNJA UKIMYA NA KUVUJISHA KWA DUNIA MAJINA YA MAFISADI WANAOFICHA PESA ZAO BENKI YA USWISI

    Usiku wa Desemba 22, 2008, Geneva ilikuwa katika hali yake ya kawaida ya majira ya baridi. Baridi ilikuwa imetanda. Krismasi ilikuwa karibu. Mji ulikuwa ukijiandaa kwa sikukuu, huku katika majengo ya kifahari ya benki za Uswisi, fedha za matajiri wa dunia zikiwa salama nyuma ya milango...
  2. Kama hutaki mkeo afanye kazi. Andikisha Mali kwa majina yenu au yake. Nje ya hapo huo ni uhuni.

    KAMA HUTAKI MKEO AFANYE KAZI. ANDIKISHA MALI KWA MAJINA YENU AU YAKE. NJE YA HAPO HUO NI UHUNI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Yule Shahidi. Moja ya nguzo kuu za maisha kwa Watibeli ni Kufanya kazi. Kazi ni ibada. Iwe ni mwanamke au mwanaume wote lazima wafanye kazi. Kazi ni shughuli...
  3. Kwa nini Biblia ya Kingereza ilitengeneza majina ya Kizungu kama Jesus, John, Luke, Mark na Mathews ?

    Lengo la wazungu lilikuwa nini hasa walipoyabadili majina ya mashariki ya kati kuyafanya ya Kizungu mfano Jesus, John, Mathew, Luke au Mark ? Kwa nini pia majina ya Biblia yakipelekwa kwenye lugha nyingine kama Kiswahili yanabadilishwa mfano kuwa Yesu, Mathayo, Luka, Marko au Yohana?
  4. Hii kitu ina majina mengi, huko kwenu inaitwaje?

    Pussy Mwandu Mpwechelo Kipochi Mfumo
  5. Nafurahishwa na Utaratibu wa Kuita Majina Watoto Bila Kulazimika Kutumia jina la Ukoo la Baba kama Anavyofanya Rais Museven na Diamond

    Mfano ona hapa majina ya baadhi ya Watoto wa Rais Museveni ni , 1.Muhoozi Kainerugaba 2.Patrice Rwambogo 3.Natasha Museven Karugire Kwa sheria za Tanzania unaonekana hauna mtoto sijui mpaka ukaape mahakamani na usumbufu mkubwa sana. ======= Pastor Patience Rwabwogo, binti wa Rais wa Uganda...
  6. Kwanini makampuni ya simu mmeruhusu kusajili line za matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation, ili wawatapeli wananchi?

    Vodacom Tanzania, mmewasajili matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation
  7. Serikali inekana inautamani sana ugaidi maana sio kwa kesi hizi wanazo tupiwa hawa watu wawatu ambao hawajui hata majina ya bunduki.

    Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
  8. Tuongeze thamani ya majina yetu

    Unajisikiaje kutumia jina lile lile ulilopewa na wazazi wako toka udogoni mpaka unakufa nalo? Kama tunaweza kuongeza thamani ya viwanja vyetu, mashamba, majengo n.k, ni muhimu pia kuongeza thamani ya majina yetu. Kama mpaka umri huu, bado unatumia majina yaleyale uliyopewa na wazazi, na...
  9. D

    NATAFUTA MAJINA YA NYIMBO ZA RHUMBA KALI

    Wakuu natafuta nyimbo ambazo Zinamiondoko kama ya nyimbo hizi za rhumba 1. Innos b "avertisement" 2. Fally ipupa "Mh 3. Papa wemba "Emmanuelle" 4. Nyinginezo Yaan rhumba fulani ivi smooth afu solo fulani ivi wakuu Naomba mnitajie majina ya NYIMBO zinazoendanna na izo ziwe old au modern 🙏🙏
  10. Kwanini vilabu vya Tanzania haviingizi sokoni jezi zenye majina ya mastaa wao? Je, ni ukosefu wa mipango ya kibiashara?

    Mauzo ya jezi ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ya vilabu vya soka duniani, ingawa fedha zote zinazolipwa na mashabiki haziendi moja kwa moja kwa klabu. Kwa kawaida, mapato hayo hugawanywa kati ya mtengenezaji wa jezi, wauzaji wa rejareja na klabu kulingana na makubaliano ya kibiashara. Hivyo...
  11. Chupa ya kipa wa England ilikuwa na majina ya wapiga Penati wa Argentina

    Wachezaji wa Argentina waliiotea chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, ambayo ilikuwa na maelekezo yaliyoonyesha upande ambao kila mchezaji wa Argentina alitarajiwa kupiga penati iwapo wakifika katika hatua hizo. Baada ya kuiona, wachezaji wote wa Argentina walikusanyika kuisoma...
  12. K

    Jina la Yesu lina TBS kuzidi majina mengine yote

    Amani iwe nanyi wapendwa.......Back in days mimi ni under 30 leo nitatoa ushuhuda kidogo kuhusu huyu Yesu kristu aketiye mahali pa juu sana mbinguni 1. Niliitwa nikiwa chini kabisa · Zaburi 40:2 – "Akanitoa katika kisima cha uharibifu, na katika matope matepete; akasimamisha miguu yangu juu ya...
  13. Hapa unawajua wachezaji wangapi kwa majina, wataje

    Hiki ni kikosi cha Yanga miaka ya 2000. Unawajua wangapi kwa majina, wataje tuone…
  14. Waislamu wanajuaje majina ya Kaini, Habili na Hawa wakati hayapo kwenye Quran?

    Kuna jambo linanichanganya Waislamu wanaposema Injili/Biblia na Taurati vimeharibiwa au kupotoshwa, Ikiwa Qurani inasema mambo mengine waulizwe wayahudi au watu wa Kitabu wakati Taurati na Injili zinapingana nayo, basi Quran inajipinga na hivyo ni ya uongo. Ikiwa Taurati na Injili zimeharibiwa...
  15. K

    Majina ya utani kwa wenza wetu, je huwa unamuitaje?

    Nianze na mimi huwa namuita My Racing white darling❤️ yeye huniita Daddy.........................................Je, wewe unamuita kwa jina gani la utani ili kukoleza upendo?
  16. Hivi ndivyo namna ya kutamka haya majina

    PHOEBE = fibi DEBORAH = debra YVETTE = ivet PAULA = pola CHARLOTTE = shalot
  17. Majina ya kibantu yanayofurahisha

    Yapo mengi, mimi naanza na hili, wewe ongezea: 1. Keshomshahara
  18. Majina ya hawa watoto waliouliwa…..

    Kwa vile sasa hivi hatuna serikali iliyo ya wananchi, iliyotokana na uamuzi wa wananchi, na inayotumikia wananchi, basi sisi wananchi tufanye yale tunayoweza kuanza kuwatambua wahanga wa mauaji ya Samia na wahuni wake. Kundi linaloongozwa na Samia halijali chochote kuhusu watu lililowaua. Kila...
  19. Haya hapa ni majina matukufu ambayo yamefanya miujiza mikubwa kwa manabii walipoyatamka tu

    Habari ndugu wanajamii Ningependa kushea nanyi list ya majina matukufu ambayo manabii waliyatumia pia, mfano nabii issa(yesu) aliyatumia majina haya kufanya miujiza mingi hata ya kufufua watu, lakini majina haya yalitumiwa na nabii mussa(moses) kuiamrisha bahari ipasuke, lakini majina haya...
  20. Mliowapigisha show hadi wakataja majina NJOONI HAPA

    Wadau kwema pamoja na kuwa mgeni hapa ningependa kushare stori na nyinyi. Mimi ni kijana mwenye miaka 30, nafanya kazi katika ofisi fulani. Jana, nilipomaliza saa za kazi na kutoka ofisini, sikupita popote nilienda nyumbani yapata saa 1 jioni. Ile nafika tu wife alinipa kumbatio ambalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…