majeruhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Harry kane afanyiwa upasuaji,anatarajiwa kukaa nje miezi mitatu

    Mabingwa watetezi wa taji la Ligi Kuu Ujerumani, Bayern Munich, wamepata pigo baada ya mshambuliaji wao nyota, Harry Kane, kufanyiwa upasuaji wa kifundo cha mguu utakaomlazimu kukaa nje ya uwanja kwa miezi mitatu. Kane, ambaye pia ni nahodha wa timu ya taifa ya England, aliumia Ijumaa, Novemba...
  2. A

    HOJA Ni lini Serikali itatoa mwongozo wa matibabu kwa majeruhi wa Oktoba 29?

    Nyuma ya milango iliyofungwa katika mitaa mbalimbali nchini, kuna Watanzania wanaoishi na makovu ambayo hayajapona. Kwa wengine, ni risasi zilizobaki mwilini zikileta maumivu kila usiku unapoingia; kwa wengine, ni viungo vilivyopotea ambavyo vimewageuza kutoka kuwa tegemeo la familia hadi kuwa...
  3. C

    Guinea: Watu 10 wauawa, 13 wajeruhiwa katika makabiliano na vikosi vya usalama

    Takribani watu 10 wamefariki dunia na wengine 13 kujeruhiwa kufuatia mapigano yaliyohusisha waandamanaji na vyombo vya usalama kaskazini mashariki mwa Guinea, wakati vikosi vya usalama vikitekeleza amri madini usio rasmi Taarifa iliyotolewa na wizara ya utawala wa mikoa nchini humo imesema...
  4. C

    Marekani: Mtu mmoja amefariki na wengine watano kujeruhiwa kwa kupigwa risasi Washington DC

    Mtu mmoja ameuawa na wengine watano kujeruhiwa kwa kupigwa risasi katika eneo la Logan Circle, katikati ya jiji la Washington DC, Marekani, katika tukio lililotokea Alhamisi asubuhi. Kwa mujibu wa polisi, shambulio hilo lilitokea saa 8:23 kwa saa za eneo hilo, katika makutano ya barabara za...
  5. C

    Iringa: Watu 21 wafariki dunia kwenye ajali ya basi na Lori

    Watu 21 wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Maokoto Bus Services na lori la mizigo katika eneo la Masumbo, kwenye barabara kuu ya Iringa–Mbeya. Kwa mujibu wa taarifa za awali, ajali hiyo inadaiwa kusababishwa na...
  6. C

    Poland: Watu sita wamefariki na wengine 15 wajeruhiwa katika shambulizi la risasi

    Watu wasiopungua sita wamefariki na wengine 15 kujeruhiwa baada ya mtu mmoja kufyatua risasi katika eneo la Main market square, jijini Krakow, Poland Kwa mujibu wa jeshi polisi wa eneo la Małopolska, mshukiwa aliendesha gari karibu na eneo hilo na kuanza kuwafyatulia risasi watu ovyo majira ya...
  7. F

    PostGE2025 Majeruhi wengi wa Oktoba 29, 2025 waliopelekwa hospitali za Wakatoliki wapo hai, tusirudie makosa

    Hili liwe fundisho, Ukijeruhiwa Kwa dhulma za hawa vibaka wanaojiita walinda amani, kamwe usiende au usipeleke ndugu yako hospitali hizi wanazodai zao, Siku Ile mbaya, ndugu zetu wengi walipojeruhiwa, tulipowafikisha hospitali hizo, tuliamini watakuwa salama, cha kusikitisha hata miili Yao...
  8. Mabasi ya kusafirisha abiria usiku kusitishwa? Ajali mbili za usiku zasababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 37

  9. Hata Merino ambaye ni majeruhi alirukaruka kwa furaha baada ya Arsenal kutwaa ubingwa

    Kwenye Video hapo chini usiku wa kuamkia leo Kikosi kizima cha Arsenal kilikuwa Kwenye chumba uwanjani kwao Emirates wakifuatilia mubashara mechi kati ya City na Bournemouth. Unaweza kumuona Martinelli akikata tamaa baada ya Haarland kusawazisha goli. Lakini baada ya kipenga cha mwisho ni...
  10. Bulldozer lavamia soko la Beijing na kusababisha vifo na majeruhi

    Video iliyosambazwa mtandaoni inaonyesha tingatinga likivamia soko huko Beijing, na kusababisha vifo na majeruhi. Mamlaka za China bado hazijatoa taarifa rasmi kufafanua mazingira ya tukio hilo au kuthibitisha maelezo yake.
  11. Q

    PostGE2025 Tuhuma za Jeshi la Polisi kuzuia majeruhi wasitibiwe wapelekwe mochwari ni za kusikitisha. IGP lazima ajiuzulu.

    Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi. Hata kama serikali itakana kama kawaida yake lkn hili tukio ni la kinyama sio la kibinadamu kabisa. Hivi leo polisi waliofanya...
  12. R

    PostGE2025 Rais Samia: Oktoba 29 mamilioni ya watanzania walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais
  13. Kuna mauaji ya majeruhi wa maandamano yanaendelea hospitali ya Muhimbili

    Kwa bahati mbaya hamna chombo kinachoweza kupewa hii taarifa na kuzuia hili. Polisi wamejazwa wodi zote za MNH na kila ambulance ikileta watu , basi hao watu wanapewa caring kidogo kisha polisi wanawachukua na kuondoka nao. Ambapo wote wanaochukuliwa hurudishwa tena lakini wakiwa maiti tayari...
  14. M

    GE2025 Umoja wa Mataifa: Kamisheni ya Haki za Binadamu yasikitishwa na Vifo na Majeruhi katika Uchaguzi wa Tanzania

    Oktoba 31, 2025 Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania. Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
  15. Chui aua askari wa wanyamapori Mwanza

    Askari mmoja wa idara ya wanyamapori ( TAWA) anaefahamika kwa jina la Enock Rugaimukamu Gration mkazi wa Pasiansi wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza amefariki dunia mara baada ya kujeruhiwa na chui katika sehemu mbalimbali za mwili wake. Akizungumzia tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Dcp...
  16. Rai yangu ni picha za majeruhi hoi na kukatwa viungo kutokana na ajali za boda zisambazwe kwa hawa madereva boda boda labda wanaweza kubadirika.

    Yani boda boda na kujitoa ufahamu..:👇🏻
  17. Dakika za majeruhi (nyongeza) kwenye soka ni usanii kwa 100%, wapenda soka wote mmefanywa wajinga kabisa.

    Kama kuna kitu cha kisanii kwenye soka basi ni suala la dakika za majeruhi au dakika za nyongeza ambapo muamuzi huzitoa kufidia dakika zilizopotea. Ukichunguza kwa makini utagundua hilo suala huwa ni utashi wa kamisaa wa mchezo akishirikiana na mwamuzi wa katikati kwa maslahi yao. Hakuna mtu...
  18. Camala kama Manula, wamefungwa baada ya kutoka tu majeruhi.

    Mtampangaje kucheza mechi kubwa mchezaji anaetoka majeruhi? Kama Camala angepona na kucheza derby na Yanga na kufungwa bao lile alilofungwa na Al Masry watu wa hivihivi wangesema amehongwa na Yanga. Manula ndicho kinachomsumbua hadi leo. Kwa maoni yangu, angedaka Ally Salim huenda tofauti...
  19. Naibu Waziri Mahundi awatembelea majeruhi wa ajali Mbeya, apongeza huduma za Hospitali

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amewatembelea majeruhi wa ajali iliyohusisha basi la CRN na Gari la miundombinu ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya iliyosababisha vifo vya watu wanne na majeruhi watano. Miongoni mwa majeruhi waliotembelewa...
  20. Putin Awarudisha Askari Majeruhi Wakiwa Kwenye Magongo Vitani

    Vladimir Putin is forcing wounded Russian soldiers back to battle on crutches as the Kremlin lost a staggering 48,000 troops last month alone. New images have emerged showing exhausted and injured Russian combatants gingerly making their way through muddy trenches using walking aids...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…