majaribio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wachina wametufanya majaribio sana kwenye products zao ila zikifanikiwa wanapeleka ulaya.

    Ukiona mchina kaleta kampuni yake hapa afrika tambua yupo kwa ajili ya test. Nimekumbuka kampuni kama Tecno ilivyokuja afrika na sasa inapeleka products zake ulaya.Mbona ijapeleka mwanzoni. Leo kulikuwa na uzinduzi TVS hizi pikipiki ulaya ila cha kushangaza kajaza test zile pikipiki za mama samia.
  2. F

    Lini Tanzania itaacha kuwa shamba la bibi, kichwa cha mwendawazimu, na sehemu ya majaribio?

    Ukisoma historia ya Tanzania vizuri, ukiondoa kipindi cha Mwalimu Nyerere na kidogo cha Magufuli, Tanzania imekuwa kama sehemu ya machizi kujifunzia kunyoa. Kila ajae, huja bila sera ya kuendeshea nchi. Nyerere alikuwa na ujamaa. Mwinyi alikuja na jaribio la uhujumaa. Mkapa alikuja na ubabe...
  3. K

    Inzi kwenye jalala la dhahabu: Majaribio ya chawa mkuu inchi ya ugagagigikoko

    SEHEMU YA KWANZA: VIOO VYA ENZI NA AMNESIA YA KIFALME Ukumbi mkuu wa ikulu ya nchi ya Ugagagigikoko ulijengwa kwa usanifu uliogharimu nusu ya pato la taifa. Kuta zake zote zilikuwa vioo vikubwa vilivyowekwa kwa pembe maalum ili Malkia Huihui aweze kujiona kutoka kila upande bila kulazimika...
  4. Sheria mpya ya OFFSIDE yaanza kufanyiwa majaribio! Vipi ije na Tanzania au unaona itaharibu mchezo wa Soka?

    Nchini Canada, wanafanyia majaribio sheria mpya ya offside inayojulikana kama ‘Wenger Rule’ na katika tukio hili, bao LILIKUBALIWA kwasababu mchezaji hakuwa ameotea! Kwa sheria hii, mshambuliaji atahesabika kuwa ameotea (offside) pale tu kunapokuwa na nafasi ya wazi (daylight) kati yake na...
  5. B

    Saudi Arabia yazindua majaribio ya Package Visa ya utalii ili kurahisisha usafiri

    07 Julai 2026 Saudi Arabia yazindua majaribio ya Package Visa ya Utalii ili kurahisisha usafiri Julai 7, 2026 | 12:39 AM Picha maktaba ya jiji ls Jeddah Gazeti la Saudia RIYADH — Saudi Arabia imezindua majaribio ya eVisa ya Kieletroniki kupitia watoa huduma za usafiri na utalii...
  6. A

    Iran Kisha Fanya Majaribio ya Nuclear

    Ujumbe ndio huo aliye kuwa anawazuia wasifanye majaribio wamemuwa sa walicho enda kushambulia Iran asiwe nacho kisha kuwa Nacho. Trump na Netanyahu watajuta kumuwa Ayatollah Ali Khomen https://youtu.be/2lMBup-xlVo?si=URBYVLXw-5Udseao
  7. N

    JamiiAI: Mafanikio Katika Majaribio ya Awali ya Akili Mnemba "JamiiAi" niliyewaletea ili kuisaidia jamii ya kiswahili

    LOGO rasmi ya jamiiAi  Utangulizi Katika enzi ya maendeleo ya kasi ya teknolojia ya akili bandia, ujio wa akili mnemba inayojulikana kama Jamii AI umeleta matumaini mapya katika sekta ya kidijitali. Kupitia majaribio ya awali yaliyofanyika, Jamii AI imeonesha uwezo mkubwa wa kiufundi, kasi ya...
  8. R

    Rais Samia: Tunajiandaa kuanza majaribio bima ya afya kwa wote

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Serikali inajiandaa kutoa huduma ya bima ya afya kwa wote ambayo itakua ni kuanza kwa mageuzi ya huduma ya afya nchini
  9. Mpenzi Bila Majaribio ni Hatari

    Ifike mahali suala la kuoa kisheria liliangalie kwa ukaribu, mke pia ajitolee walau miezi 6. Kama ilivyo kuomba kazi, kwanza ujitolee wakuangalie..🫵🏾
  10. S

    Mabasi ya Mwendokasi Mbagala yaanza majaribio kubeba abiria

    Hii siyo kwamba mtoto anaringishiwa nyonyo wakuu? Jana Ajira elfu 41, leo Mwendokasi Mbagala inaanza kubeba abiria kuna vimatukio flani hivi kama vya kupoza moto. === Ni rasmi mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya pili barabara ya Mbagala (Kilwa), yameanza majaribio leo, Msemaji wa Serikali...
  11. GE2025 Humphrey Polepole: Kuna majaribio ya kutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta

    Humphrey Polepole: Kuna majaribio yakutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta
  12. R

    Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited utanufaisha kwa Ajira 3,500-4000 na Kukuza Mapato ya Serikali

    Rais Samia akiwa katika uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited amesema Mradi huo uatwezesha ajira 3500 hadi 4000 huku serikali ikikadiriwa kupata kiasi cha mapato ya dola millioni miatatu sabini na tatu " Tathmini iliyofanywa inaonyesha kuwa...
  13. GE2025 Rais Samia: Serikali inakadiriwa kupata Mapato Mrabaha Dola 373,000,000 Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji wa Madini ya Urani, Namtumbo

    https://www.youtube.com/watch?v=aCAOOMPcPiw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwapungia Mkono Wananchi waliofurika katika Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma kumpokea tayari kwa tukio la Uzinduzi wa Mgodi wa Uchimbaji wa Urani (Uranium) Wilayani...
  14. Urais siyo nafasi ya Majaribio lazima apatikane mtu madhubuti

    GT Hatupaswi kuchezea nafasi ya uraisi kwa tamaa binafsi hili ni suala la kitaifa. Linapokuja suala la uraisi maslahi ya Taifa lazima yakae mbele kwanza vyama pembeni Samia hana uwezo na udhubutu huo.
  15. Hatuhitaji kufanya majaribio Rais Samia ameweza kuivusha salama Tanzania hatuna budi kumuamini muda mwingine tena

    Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena. Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti...
  16. Uongozi wa majaribio na make-up ya kisasa

    "Kumchagua kiongozi kwa majaribio ni kama mke wangu akijaribu mapishi ya YouTube bila kuelewa lugha. Supu inageuka uji, wali unakuwa chakula cha kuku, halafu bado ananiambia ‘hivi ndivyo wanavyofanya Ulaya!’" — Alloyce, P.R. 😂😂
  17. Wenzetu(China) wanafanyia majaribio treni ya umeme yenye mwendo wa Km 450/saa...Vipi sisi na nyungo na fisi zetu?

    Nimeikuta habari hii mtandaoni Kwenye Facebook Ajabu watu wakaanza mahesabu...mara Dar Mbeya masaa 2...mwingine Dar Arusha masaa 3 nk Mbona tunatamani vya watu hali tuna vya kwetu...Fisi wetu na nyungo zetu za usiku hazitutoshi? Ukweli ni kuwa kizuri chajiuza...Acha tuendelee kutopea kwenye...
  18. Mchezaji kufanyiwa majaribio,Je,unajua huwa wanajaribiwa nini?,kwanini wachezaji wetu huwa wanafeli majaribio huko nje?

    Tangu nianze kufuatilia mpira mwaka 1993,mwaka ambao Azim Dewji aliahidi Simba ikishinda kombe la CAF angewapa gari aina ya KIA kwa kila mchezaji,na Simba ikafika fainali na kupigwa chuma mbili pale Taifa na Stella Abidjan,ni wachezaji wengi sana wameenda nje kufanya majaribio lakini huwa...
  19. Tanzania imeanzisha Majaribio ya Ujenzi wa Barabara kwa Teknolojia ya Armarseal

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeanzisha miradi ya majaribio (pilot projects) kwa ajili ya matumizi ya teknolojia mpya katika ujenzi wa barabara ikiwemo Armarseal. Teknolojia hii inalenga kuboresha uimara wa barabara na kupunguza gharama za matengenezo ya mara kwa mara. Moja ya...
  20. RUWASA kusambaza mita za maji za pre-paid baada ya majaribio ya mita hizo mkoani Mnyara

    Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA inatarajia kusambaza mita za maji za malipo ya kabla (mita za prepaid)baada mafanikio ya kufunga mita za majaribio Kwa wananchi ambazo zimeanza kuonesha mafanikio makubwa. Akiongea wakati wa ziara ya ukaguzi wa majaribio ya mita hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…