maisha ya vijana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shukrani kwa taasisi zinazobadilisha maisha ya vijana wa Kitanzania kupitia ajira

    Katika kipindi ambacho changamoto ya ajira imeendelea kuwa kubwa nchini, tunapaswa kutambua na kuthamini taasisi ambazo zimekuwa zikifungua milango ya fursa kwa vijana wa Kitanzania. Baadhi ya taasisi hizo ni: PSRS – Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma VETA-Elimu ya Mafunzo na Ufundi...
  2. C

    Chalamila: Unafaa kuhongwa mashine za CMC na sio chips

    Akinadada, jana kabla hujaja VETA hapa. Mtu alikuwa akikuangalia hivi, hata kama ni mwanamume akikukosogolea, anasema huyu ni muongo chips. Yaani kabla hujaja hapa ulikuwa kwenye hali ya kuhongwa chips."Lakini the moment umekuja hapa VETA, kijana akikuangalia anaona unafaa kuhongwa mashine...
  3. Ni wikiendi nyingine tena ambayo inaenda kuharibu maisha ya vijana kadhaa

    ■KIJANA USIBABAIKE NA MAKEBO MAKUBWA ■DADA USIBABAIKE NA LIFTI YA CROWN NA HAYO MAHARRIER ■AKIKUAMBIA ASIKII UTAMU AKIWA AMEVAA CONDOM JIFANYE UMESAHAU KITU NJE ALAFU UKIMBIE BILA KUGEUKA NYUMA ■HIO CHUPA YA TATU WALIOKUNUNULIA NDIO INAENDA KUKUMALIZA, HIZO MBILI ZINATOSHA , NENDA NYUMBANI
  4. Hakuna sababu ya kupoteza maisha ya vijana

    Uwezo wa watu wanaoongoza nchi unajulikana na uharibifu waliofanya kwa taifa upo wazi. Sasa either wahusika wenye uchungu na nchi waingie kati au tukubali matokeo ya katiba iliyowapa mamlaka ya kuharibu nchi. Kwanini watoto wa watu waumizwe kwanza, kama tumekubali majizi na civil servants...
  5. Maisha ya Vijana

    Vijana wa Mgodini wanavimba sana ukifika Katoro. Wanapanda Juu ya meza mpaka kwenye vibanda vya watu. Vijana wa Katoro acha Ulevi wa ajabu 😂
  6. Miaka 30 Bila Ramani: Hujafa, Lakini Umechoka

    Miaka 18, umemaliza kidato cha sita. Umebeba ndoto zako zote mgongoni kama mzigo mwepesi, macho yako yanang’aa kwa matumaini. Unajiambia, “Nikimaliza chuo nitayabadilisha maisha ya familia yangu.” Miaka 22, degree mkononi, lakini huna pa kwenda. Dunia haijakukaribisha kama ulivyotarajia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…