Wadau habarini.
Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa.
Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake...