mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bungeni: Kamati ya Bunge yazitaja sababu zinazopaisha bei ya mafuta

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imetaja mambo matatu yanayochangia kupanda kwa bei ya mafuta ikiwemo uwezo mdogo wa maghala ya kupokelea na kuhifadhi mafuta nchini. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dustan Kitandula ameyasema hayo leo Jumanne Februari 15, 2022 wakati akiwasilisha taarifa ya...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Suzuki Escudo. Mwenye kuijua Spea, Mafuta & Utunzaji

    Wakuu katika kuzunguka mtandaoni nimepata Suzuki Escudo 2700cc, MT, japo Bei imechangamka Ila naimudu. Mwenye kujua gari tajwa anishauri kabla sijatuma pesa. Asanteni
  3. JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)

    BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASHARIKI (EACOP) ✍🏻 Huu ni mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleani mkoani Tanga nchini Tanzania. Mradi huu una urefu wa jumla ya kilomita 1443 kati ya hizo kilomita...
  4. JamiiForums Tanzania Mafuta ya kupikia yazidi laki 1

    Nchi hii Ishakuwa shamba la bibi,ukipata fursa piga tuuuu...hakuna mzalendo tena,kila mtu anaangalia urefu wa kamba yake
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda na Total wamechagua Mombasa port badala ya Dar port kupokea mizigo kutoka Ulaya ya kujenga viwanda vya mafuta vya Uganda

    Kuna wakati Watanzania fulani hususan Geza Ulole alipinga vikali nilipomueleza kuwa Uganda watatumia port ya Mombasa kuingiza mizigo itakayotumika kujenga viwanda vya mafuta. Vifaa vingi vitakavyotumika kujenga viwanda hivi vitaagizwa kutoka ulaya na Dar port ipo mbali na Uganda na ndio sababu...
  6. JamiiForums Tanzania Kazakhstan: Serikali yajiuzulu kufuatia maandamano ya kupinga bei za mafuta

    Rais Kassym-Jomart Tokayev amekubali Serikali kujiuzulu kufuatia maandamano yaliyotokana na ongezeko la bei za mafuta. Ametangaza Hali ya Dharura kwa muda wa wiki mbili katika baadhi ya maeneo Nchini humo. Mikusanyiko mikubwa imeripotiwa katika Miji mikubwa kadhaa na Polisi wametumia mabomu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza kushuka kwa bei za mafuta

    Serikali kupitia Mamlaka ya Uthibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta. Taarifa iliyotolewa leo na EWURA inaeleza kwamba, Ikilinganishwa na bei za mwezi Desema 2021, bei za Januari 2022 zitapungua kwa kati ya Shilingi 4 na 35 kwa lita ya petroli; na kati...
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji mafuta ya nazi kuanzia lita 1000

    Nahitaji mafuta ya nazi in bulky kuanzia lita 1000 na kuendelea,aliyenayo atoe offer yake
  9. JamiiForums Tanzania Nikiendesha Gari inakula mafuta hatari

    Wakuu nisaidieni kuelewa kitu nikiendesha gari inakula mafuta sana tofauti na mtu mwingine akiendesha gari hiyo hiyo, Nashidwaa kuelewa ni nakanyaga vibaya pedel ya mafuta au kuna kitu nakosea, msaada wenu wakuu.
  10. JamiiForums Tanzania Hayati Gadafi wakati akiongoza alitumia rasilimali ya mafuta kwa kutokuwa na madeni Tanzania inafeli wapi?????

    Salama wandugu tupitie kidogo Utendaji wa huyu mtu weka pembeni kasoro zake. Aliweza kuifanya Libya kuwa nchi inayoongoza GDP kwa afrika,na hakuwa na madeni mpaka waLe jamaa wanauliza mbona hakopi huyu aliifanya Libya yenye jangwa kuwa kilimo kwa kuweka mto wa kutengeneza ,afya bure,mama...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta kupanda kiasi hiki inasababishwa na nini, na kwanini mamlaka zipo kimya?

    Wapendwa humu JF bila shaka mtakubaliana nami kwamba kwa miezi kadhaa bei ya mafuta ya petroli na dizel imeendelea kupaa tu hapa Tanzania. Kwa baadhi ya maeneo bei imefika hadi 2,700-2,800 kwa lita moja. Natamani kujua sababu ya bei kwenda juu kiasi hicho, na upandaji huo kuendelea bila...
  12. JamiiForums Tanzania Kama kuna zuio la kuingiza mafuta ya kula kutoka nje, Tunaomba liondolewe wananchi tutakufa jamani

    Nadhani kuna zuio la kuingiza mafuta kutoka nje ya nchi jamani zuio hili kama lipo liondolewe maana hali saivi ni hatari sio siri jana nimeuziwa mafuta ya kula lita moja 7500/= nimeshangaa sana, hivi mbona mambo yanakua magumu kiasi hiki, sasaivi tumerudi enzi za kupika chakula bila mafuta...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania mafuta ya petrol na diesel ni ghali kuliko wanufaika wa bandari yetu?!

    Habari ya uzima ndugu zangu? Nimewaza sanaaa hili jambo,maana naona namna mwananchi wa chini kiuchumi anavyoendelea kuminywa kupitia ongezeko la mafuta. Ni miezi miwili imepita madereva mkoani Mbeya walikuwa wanakimbilia Zambia kununua mafuta,maana ni bei nzuri kuliko kwetu. Au ndio...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ninanauza Mafuta ya Alizeti

    Fakama wharehouse and Processing co.ltd ni wazalishaji na wauzaji wa mafuta ya Alizeti, kiwanda kinapatikana Mapilinga, Misungwi - Mwanza . Kwa yoyote anaehitaji kujiuisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti mikoani - tuwasiliane kupitia simu namba 0755261248 au piga simu moja kwa moja...
  15. JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei kila kitu bei juu, mahindi, mchele na mafuta havishikiki mtaani

    Habari mbaya sana Mtaani kila Kona Rais anasemwa vibaya na mambo yanaenda Kombo, Bei ya Vyakula kama Mahindi na Mchele vimepanda maradufu Ndani ya Awamu ya Samia. Mafuta ya Kula Bei imeongezeka karibia nusu, Diesel imepanda na kusababisha Nauli kuongezeka Vijijini, Nguo na vitu vya kawaida...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya vituo vya mafuta Morogoro hawatoi receipts

    Huu ni uhujumu uchumi, SUMATRA na TRA chunguzeni. Kuna vituo vya mafuta ya petrol na diesel hapa Morogoro wameacha kutoa receipts ili kuikosesha serikali mapato. Chunguzen sitovitaja vituo husika kwani mnalipwa mishahara kwa Kazi hiyo. Sasa basi kama kuna baadhi yenu wana colude na wamiliki wa...
  17. JamiiForums Tanzania Sisi mambo yetu yapo Safi Wapinzani wanaumizwa na bei za mafuta na bidhaa mbalimbali

    Na bado. Sisi CCM hatuna shida haya ya mafuta kupanda hayatuumizi. Unayajua ma VIEITIII? Unayajua? Au unayasikua tu? Ndo tunayoyatumia. Hata hayali kabisa mafuta. Yanatumia upepo tu. So mafuta kupanda bei haituhusu. Sijuu bidhaa zimepanda bei, sijui maisha yamekuwa magumu. Tozo n.k hayo...
  18. JamiiForums Tanzania Licha ya kufanya makubwa Tanzania, kampuni ya mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, yaahidi kufanya zaidi na zaidi!

    Wanabodi, Naomba nianze na facts: 1. Japo Tanzania, tangu tupate uhuru, tuna miradi mingi mikubwa ya uwezekazi iliyoanzishwa, na kuna makampuni mengi yamewekeza Tanzania, hakuna uwekezaji wowote mkubwa, zaidi ya uwekezaji wa kampuni ya mafuta ya TotalEnergies, kupitia mradi wake wa bomba la...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Makamba nchi zinazozalisha mafuta haijaleta tija kama alivyotangaza

    Ndugu zangu, Miezi ya hivi karibuni Waziri Makamba alitembelea nchi za ghuba zinazoongoza kwa uzalishaji wa mafuta ulimwenguni.Baada ya kurejea alituhakikishia kuwa mwezi Disemba mwaka huu mafuta yatashuka bei kwani kafaniiiwa kuwashawishi wazalishaji ili Tanzania kupitia TPDC inunue mafuta...
  20. JamiiForums Tanzania Petroli bei juu. Mafuta ya kupikia bei juu. Mazagazaga bei juu. Maji ya kutumia hakuna. Umeme kukatika hata mara 5 au 6 kwa siku!

    Kutokana na hayo matatizo yaliyotajwa hapo juu. Je, Mama Samia anatupeleka wapi na wasaidizi wake? Tutaishia wapi? Kumbekeni Omicron nayo yatunyemelea kama bado haijafika! Kweli bongo bahati mbaya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…